Hata mimi nimekumiss sana..ucheki tu. King hajatuangusha kabisaaa!
Kideo cha ukweli sana,na King Kiba kapendeza mnoo.Ndo nimetoka kuangalia hapa. Nawe enjoy Nifah
Usipopenda wewe, wengine tutapenda tuKwa maoni yangu nyimbo ni mbaya sana na sijaipenda
my dia nimekonect hapa nyumba inatetemeka dahKideo cha ukweli sana,na King Kiba kapendeza mnoo.
Hasa pale kwenye shati na kipensi cha blue katisha sana.
Naona sasa hivi video 2 in 1 kama ya Rihanna Work ft Drake ndio habari ya mujini.
Halafu lile dance sio la kitoto,la kibaba heshima kwao...
Kiba nae siku hizi anacheza?Video yote nimemuangalia yeye tu!
ThanksWimbo hauna beat kama wa mchakamchaka.
I am a Kiba fan, I know he probably did not have much of a say in the production, but when you put your name to a song, you put your name to a song.
Kwani umemkubali kisa atamuangusha diamond au? kiba ana sauti nzuri ila tatizo lake ni kwamba kwenye videos haweki vile vitu watu wanatarajia. Akiweza kiweka mbwembwe za kistaa basi tz soko ni lakendugu zangu kiukwel mwanzoni kiba nilikuwa simkubalii kabisaa..ila baadaa ya kuona kibao cha unconditionary dhahiri kibaa muda si mrefuu atamuweka chini diamond..shikamoo alikibaaaa
Acha kabisa mama,sio kwa dance lile!my dia nimekonect hapa nyumba inatetemeka dah
ndo kesha anza hivyooo..daahhh kastail ka kuchezaa hatareee sanaaaaKwani umemkubali kisa atamuangusha diamond au? kiba ana sauti nzuri ila tatizo lake ni kwamba kwenye videos haweki vile vitu watu wanatarajia. Akiweza kiweka mbwembwe za kistaa basi tz soko ni lake
balaa hii ngoma...
