Hahahahaaaaaaa maoni yako Mzee ungekuwa fair ungezungumzia na zile sauti zilizopanda za I beliiiiiiiiiiieve.... Ningejua umeskiza na umehukumu kwa haki ila kusema hakuna jamaa alichofanya kwenye wimbo ule ni kumuonea Mzee... Ali katisha sana mule haswa kwenye I belieeeeeeeeeve..Ahlan Wasahlan brothers and sisters!
Acheni tuwe wakweli, binafsi nimeanza kumfuatilia Huyu Msanii Muda mrefu lakini zaidi sana Na Kwa undani Ni kuanzia 2007 mpaka Leo.
Kwa kifupi Ni Msanii mzuri mwenye uwezo wa kucheza vizuri Na sauti Yake, sijui Kama hua anatunga mwenyewe Au anatungiwa hizo nyimbo zake Ila Kwa kiasi kikubwa anajitahidi.
Ila Sasa kuna huu wimbo wa kuitwa Unconditionally bae, Alikiba ameshirikishwa, Kwa jinsi ninamvyomjua Na uwezo wake katika huu wimbo hajafanya kazi yeyote, Yaani kaimba vibaya!
Imagine anasema "jina langu Ali Sasa lazima Nile" Sasa hii maana Yake Nini? Alikosa Kabisa cha kuandika hapo? Au Ndio mambo ya mizani? Huo wimbo Ni mzuri sana Anzia vionjo vyake Ktk beat mpaka mpangilio wa sauti za hao wenye wimbo wao lakini Huyu Msanii wetu kapooza sana katika nafasi Yake ingawa upande wa video kafanya vizuri.
Hivyo Kwa maoni yangu Ni kwamba Alikiba KAHARIBU wimbo wa watu, Hebu piga picha ule wimbo wangeimba wenyewe tu Sauti Sol, ungependeza sana!
Ushauri wangu; Next time Alikiba akipata nafasi ajitahidi kuimba serious Na mistari yenye mashiko, unapoleta utani Ktk issue serious haujiangushi wewe tu, unatuangusha mpaka sisi Watanzania wenzio.
NB: Hayo Ni maoni yangu Mimi binafsi Mgibeon, sina team yeyeto ya kushabikia hapa bongo zaidi ya Young Africans Sports Club! Kila mtu anasikio lake la kusikilizia uzuri Na ubaya wa wimbo, hivyo hala hala Na matusi jamani, tafadhari sana!
Kuna harufu ya utimu Fulani hapa japo hutaki kuweka waziSasa Ndio Nini hicho Mkuu? Huo Ndio ule utani niliosema mwanzoni, issue serious analeta maskhara! Fikiria jinsi alivyo ghani katika nyimbo Kama Njiwa, mapenzi yanarun Dunia, Mackmuga Na hata ule waliimba Na kina R.kelly linganisha Na huu utaona!
Me sina utimu Mkuu! Frankly speaking nawakubali wasanii wanaofanya vizuri including Kiba mwenyewe, shida ya Kiba amepanic, Mwambieni tampolise!Kuna harufu ya utimu Fulani hapa japo hutaki kuweka wazi
Katika hiyo nyimbo umemuonea mkuu... Hiyo nyimbo jamaa kaitendea haki from audio to video Mzee.Me sina utimu Mkuu! Frankly speaking nawakubali wasanii wanaofanya vizuri including Kiba mwenyewe, shida ya Kiba amepanic, Mwambieni tampolise!
Ngoja tutapata jibu very soon.Katika hiyo nyimbo umemuonea mkuu... Hiyo nyimbo jamaa kaitendea haki from audio to video Mzee.
From where na nyimbo tumeiskia!...hahahahaaaa bro umeboronga MzeeNgoja tutapata jibu very soon.
Pale juu nikisema Kila mtu anasikio lake Mkuu!From where na nyimbo tumeiskia!...hahahahaaaa bro umeboronga Mzee
Sauti Sol (Kenya) and Alikiba (Tanzania) release UNCONDITIONALLY BAE, a danceable love ballad. In the song, Sauti Sol and Alikiba sing about the difficulty of finding love in the modern day world. The music video is poised to unite fans across East Africa and Africa at large, through dance and its strong message.
#SautiSolAlikiba
#UnconditionallyBae
Shot in Kenya’s beautiful North Coast of Mombasa at the English Point Marina, the official video of UNCONDITIONALLY BAE has been shot by the super talented South African video director Justin Campos of Gorilla Films.
Sources: Ghafla.co.ke || Sauti Sol || YouTube
Basi hilo lako liwahishe Hosp Mzee maana linapoelekea mmmmmmhPale juu nikisema Kila mtu anasikio lake Mkuu!
Sijui kwa nini maneno yako yamenisisimua!Kawimbo katamu haka..nakaimba bafuni,jikoni,chumbani...yaani everywhere. Kiba ameua... tuache chuki za kijinga.

Kale kakichwa Slim5 ....Sijui kwa nini maneno yako yamenisisimua!