Hawa ndio waswahili.....Siajawahi kuona nyimbo mbovu kama hii..kwanza kiba kaonekana mparakujenda..hajui kuvaa..mshamba..limbukeni..iga mfano wa jirani yako baba tee
Nlivoipata tu hiki kichupa nkakukumbuka Nifah,team K mwenzanguKideo cha ukweli sana,na King Kiba kapendeza mnoo.
Hasa pale kwenye shati na kipensi cha blue katisha sana.
Naona sasa hivi video 2 in 1 kama ya Rihanna Work ft Drake ndio habari ya mujini.
Halafu lile dance sio la kitoto,la kibaba heshima kwao...
Kiba nae siku hizi anacheza?Video yote nimemuangalia yeye tu!
Sasa unamponda Kiba kwa beat ya wimbo alioshirikishwa?..kiba wamchangani tu kama simba ataishia humu ndege apandi kimchangan channgan video nzur sema beat mbovu
Kwa kweli inabore sana sometimes ni bora kuficha upuuziwatu tunaongelea habari za alikiba ye analeta mondi sijui kafanya nini, watu wengine bwana
Haya saaaaasa,kama kawaida yenu.Wimbo mbaya bora Lupela. Huu wimbo nilichokiona ni vichupi tu. Nitashangaa kama utaachwa upigwe hapa nyumbani.
Wimbo upigwe usiku wa manane, unaharibu maadili ya kitanzania.
Wimbo mbaya bora Lupela. Huu wimbo nilichokiona ni vichupi tu. Nitashangaa kama utaachwa upigwe hapa nyumbani.
Wimbo upigwe usiku wa manane, unaharibu maadili ya kitanzania.
nyimbo mbayaaa. mikelele mitupu.
Leo lupela umekuwa mzuri, teh! hawa jamaa bhanaWatu wenye chuki binafsi utawajua tu, kila ukitoka wimbo mpya wanasema afadhali uliopita, chuki ni mbaya sana.
Ona sasa ulivyo chuki, wala huna taarifa za kutosha kuhusu ule wimbo, coz hata hujui kama ule wimbo una video mbili.
Badilika ndugu yangu, kuwachukia waliofanikiwa haikusadii wewe kuwa kama wao, jifunze kuwa na upendo kisha fanya kazi kwa bidii.
Ova
ila hili swala liko vibaya. ingekuwa fresh neno nyimbo lingekuwa linawakilisha umoja na uwingi.Acha nikufundishe kidogo, ukiwa mmoja huitwa WIMBO, na zikiwa nyingi ndio huitwa NYIMBO.
Kwa kawaida elimu hii ya wingi na umoja hutolewa kwa wanafunzi wa darasa la pili tu, sasa sijui mwenzetu ulikimbia umande.
Ova
kumbe ww nae mwehu sasa alishikiwa bunduki aingize mistari kwenye beat mbovu? au ndio ushamba wa kushirikishwa na kupanic jiamin kama beat mbovu unasema sio unakwenda kama upepo wakat ni msanii wa miaka nenda rudiSasa unamponda Kiba kwa beat ya wimbo alioshirikishwa?..
Ficha upumbavu wako mkuu..Usiifiche hekima yako...
Kiba kashirikishwa kuingiza vionjo na Sauti Sol...Wewe kwa ujuha wako na wivu wako wa Kiswahili unaanza kumponda Kiba badala ya producer aliyewatengenezea Sauti Sol beat...
Acha kuongea UKWELI HADHARANI...Asee hako kasauti alivyomalizia "and I beliiieeeeveee...." Domo haimbi, walai haimbi miaka mia
Mnajikita sana kwenye video semeni na kwenye kuimba nani mkali?... Mshaurini diamond pia PLAYBACK ni ujinga kwa jina lake kwa sasa..Mnakua hamumsadii Kiba! Mnatakiwa mseme mapungufu kwa video zake Ili awe bora, at the end wote wanawakilisha Tanzania, kwani Ni uongo kuwa Video za Diamond Ni kali kuliko Kiba? Tatizo liko wapi? Mbona ham'mwambii ukweli? Ushabbiki huu haumjengi Kiba Mkuu!
Ulitaka ya KASWIDA?kiba wamchangani tu kama simba ataishia humu ndege apandi kimchangan channgan video nzur sema beat mbovu