Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Sautisol ft. Ali Kiba - Unconditionally Bae

Mimi sio shabiki mkubwa wa kiba, ila ni mpenda mziki mzuri. Binafsi hii unconditionally bae nimeipenda kinoma, na lazima niseme ukweli kua kiba kainogesha sana. Jamaa mziki anaujua. heshima nyingi kwake. And I belieeeeeeve yeyote anaejua mziki atakubaliana nami
 
Sana kaka mjomba kakaza vya kutosha
 
Ahlan Wasahlan brothers and sisters!
Imagine anasema "jina langu Ali Sasa lazima Nile" Sasa hii maana Yake Nini? Alikosa Kabisa cha kuandika hapo?

Hivyo Kwa maoni yangu Ni kwamba Alikiba KAHARIBU wimbo wa watu, Hebu piga picha ule wimbo wangeimba wenyewe tu Sauti Sol, ungependeza sana!

Sasa ambacho hujaelewa kwenye huo mstari ni kitu gani? Hapo ni fasihi imetumika.
Anasema jina lake ni ali, ila huyo demu anaetaka kuishi nae ndo kama chakula hivyo hana budi kula tu (ingawa jina lake ni ali), maana asipokula atakakonda mazima, sababu wote tunahitaji love, nae ndo kashampenda huyo demu.

Sasa ambacho hujaelewa hapo ni nini? Acha ushabiki maandazi. Mtu akifanya vizuri ni vyema kumpa sifa anayostahili
 
Sasa ambacho hujaelewa kwenye huo mstari ni kitu gani? Hapo ni fasihi imetumika.
Anasema jina lake ni ali, ila huyo demu anaetaka kuishi nae ndo kama chakula hivyo hana budi kula tu (ingawa jina lake ni ali), maana asipokula atakakonda mazima.

Sasa ambacho hujaelewa hapo ni nini? Acha ushabiki maandazi. Mtu akifanya vizuri ni vyema kumpa sifa anayostahili
Huyo huyo ndo alikuwa anapinga nashukuru umempata hahahahaaaaa
 
msanii mkongwe kwenye muziki wa kibongo katika video yake mpya akiwa na saut sol ametumia idea ya wimbo wa sorry wa kijana bieber. sasa sjui huu ni ubunifu ama ni wizi.
 
Sawa... tutafanya uchunguzi maalumu na ikithibitika ni kweli basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya mhusika ikiwa ni pamoja na kutoruhusiwa kutengeneza tena video ndani na nje ya mipaka ya Afrika Mashariki.

Tunahitaji ushirikiano wako tafadhali ili kufanikisha hili!
 
Wimbo wa Sauti Sol halafu unasema Ali Kiba kaiba idea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom