Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
Na wewe unachakachua thread?? Siamini au sababu unabesi??? (Usiniulize nimejuaje)
Umejuaje nina besi? Au wewe mwanga?
Na wewe unachakachua thread?? Siamini au sababu unabesi??? (Usiniulize nimejuaje)
Dah! mtoto wa kiume lake base bwana usidanganyike!sauti nzito inahamasisha nyie duh! wenye sauti za kama wanabana pua pole zao aisee! lazima watakosa comfidence tuu!