MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
we ulikuwa wapi, karibia judgement anaitwa baba kijacho.
Kwa nini hukunipa mwaliko?
Kweli nimewashindwa nyie watu kwa kuchakachua jioni njema
oh! Interesting.............DA sauti inasadia na inakupa uhakika haswa unapokuwa unaongea kwenye kundi la wanawake
Au kwenye kikao unaposisitiza jambo
Au home ukiwa na mke watoto wanajua baba anaongea
Au kwenye kundi la vijana au wanaume wenzako pia kuna command fulani ya sauti yako
Hahahaaaaa eti Fanta Orange!Fanta orange ndo kinywaji cha husband...
Juu juu ndo poa....umemsahau huyu kijana...juu juu kama nanii za nyani!
DA sauti inasadia na inakupa uhakika haswa unapokuwa unaongea kwenye kundi la wanawake
Au kwenye kikao unaposisitiza jambo
Au home ukiwa na mke watoto wanajua baba anaongea
Au kwenye kundi la vijana au wanaume wenzako pia kuna command fulani ya sauti yako
Nilisema nini Erick ? naona nimekuwa celebrity flani chitchat siku hizi wala sipiti MMU lol!Juu juu ndo poa....
Halafu kuna kitu Uporoto alikisema siku moja kabla kikao cha kupanga kamati....Mnakumbuka wewe,Mtei na SweetLady?
HahahaaaaaNilisema nini Erick ? naona nimekuwa celebrity flani chitchat siku hizi wala sipiti MMU lol!
Hahaha! unajua baada ya kuchakachuliwa majukwaa mengine ndio tukafunguliwa chitchat ambayo pamoja ya kujadili tunasalimiana,taniana n.k. Chichat maana yake chatter =talking about nathing in particular kwa maana hiyo =kelele.Eish! sredi imechakachuliwa mpaka na mtoa mada! sasa sijui nianzie wapi kuijadili au tuendelee tu kuichakachua?
ha haaaaaaaaaaaaaaaa, I love your polite way of telling me to shut up!Hahaha! unajua baada ya kuchakachuliwa majukwaa mengine ndio tukafunguliwa chitchat ambayo pamoja ya kujadili tunasalimiana,taniana n.k. Chichat maana yake chatter =talking about nathing in particular kwa maana hiyo =kelele.