Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
Kwa wife lazma tuonyeshane upendo...
Nenda kale
Miss u too dear, btw naipenda sauti yako..
Nshamjua...
asimtaje vipi?...wakati sisi wengine mbalamwezi ndio chimbo letu...Ucmtaje jina
Miss u too dear, btw naipenda sauti yako..
DA mzima wewe?Habari zenu wote......
Hapa nazungumzia sauti kwa wanaume (Msinipige mawe)
Napenda kupata maoni yenu may be mie nakosea
kufikiria hivyo.......................
Nimekuwa nikiona mwanaume mwenye sauti nzito (besi)
huwa wanakuwa na confidence sana katika kuzungumza
kuliko wale wenye sauti nyembamba kama ya wanawake
huwa hata hawapendi kuzungumza sana wanaona kama
hawaheshimiwi hivi wanakuwa hawajiamini sana kama hawa
wenye sauti nzito (nimekutana na mmoja jana) mwenye sauti
nyembamba alikuwa akiongea bila kujiamini kabisa.........
Nikamuuliza mbona unanielekeza kitu huku huna confidence
akasema huwa sipendi kuongea sana sauti yangu ina shida
sikutaka kumuuliza sana nilijua ni shida gani anayozungumzia
Wanaume mpo??? Hebu nipeni mauzoefu yenu tafadhali
DA
hehehehe. Nimeipenda respond yako. Ndo kale kasauti ka kike ka Erick unakapenda?
asimtaje vipi?...wakati sisi wengine mbalamwezi ndio chimbo letu...
Labda sio erick nimjuae mimi.. The one i know has a gentle voice of a man!
asimtaje vipi?...wakati sisi wengine mbalamwezi ndio chimbo letu...
Tunaonyeshana woteMnaonyeshana au unaonyesha?
Amy mzima jamani....Labda sio erick nimjuae mimi.. The one i know has a gentle voice of a man!
Hahahaaaa kwani inakuhusu?Ki JF JF sio?
Cjaona Amy akikuonesha
Bagah mambo!!!
DA mzima wewe?
Huu uzi wako naomba nichangie kwa sauti ya chini coz anayeniwekeaga mshahara banki sauti yake ni km kabint kalikovunja ungo jana sasa nahofia akinisikia anaweza nicheleweshea changu mawisho wa mwezi!
Yani huwa ana aibu,huko kwenye meeting ndio usiseme hua hana comment au ana agree kila kitu!!
Binafsi napenda sauti nzito na tamu km ya papa rejao mme wangu lol!
Hahahaaaa kwani inakuhusu?
Umbeya tu umekujaa
Ukwel unauma ee?