Sauti yaleta balaa..

hahaha kiswahili lugha tamu kama maji ya mtungi wala hakiishi hamu
Hheheheheheeee unaona sasaaa....... kumbe wewe ni mtaalam wa vina na mizani na mashairi kwa ujumla eehh... Itabidi nikae karibu na wewe unifundishe... napenda sana hiyo lakini kupangilia hivyo siwezi.... Ila ntajifunza tuu, umenipa nguvu na hamasa ya kujifunza kupangilia vina na mizani.

Kassie wewe Kassie you never cease to amaze me.
Heheheheheheeeee jamaniii, nimefanye tena...??

You`re a living,breathing fantasy
Oooohhh thanks.... you know what..... you have all characters...... just like him, I hope its you... yes you are the one....🙂🙂

Hiyo ni silka=Insticts kwa lugha ya malikia. Alamsiki nuru bi nuur
Oooh thanks for clarification, shleeep welll....😛
 
Kasie bado umekufa, umeoza kwa Mmasai wako mwenye kirungu au tutume applications?

Age never an issue though..,

Hhahahahahaaaaaaa ngoja nimuite aje ajibu mwenyewe...... babaaa yoyooooo taakweeenyaaaa.... kuja sikia hii naita weweee..... subiri atakuja hapa sasa hivii...
 
Gugo wimbo wowote wa wa Stara uusikilize, utaipata sauti ya Kasie barabara.
Wimbo wa Stara,ila ntaipata sauti ya Kasie.

Ni sauti tu au na vitu vyako vingine vipo kwa watu?
 
Unapatikana wapi Kasie nithibitishe hiyo sauti. Kama ilimtoa huyo jamaa kimasomaso
 
Basi sawa, Stara Thomas namjua vizuri tu.
 
 
Alitembea vizuri sana, kumbe alifananisha hadi sauti yako na ya stara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…