Sauti yaleta balaa..

GENERAL RULE: "A man will say anything just to get in your pants."
I second you as this is said by a man..... thanks for revealing the truth.

HOWEVER: "There are always exceptions to the general rule."
Let exceptions happen to others, as for Kasie A General Rule is perfect ...!!😛

Akili kumkichwa...
Kasie's brain is always on...

Nacho cha ruwa.....!!!! Nkikii.....😀😀

I missed you though, you okey?? nina mzigo wako wa bange(mzigo mpya) ntakutumia hukohuko......😛😛
Halafu nimekumbuka, niliahidi ntakukata mtama naona wakati umefika sasa pamoja na yule mwenzio yulee..... msalimie 😉.
 
Hahaha Kasie huishi kutupa tashwishi kwa threads zako.
Hhhahahahahhaaa atii tashwishwii looh umenikumbusha mbaliii...... enzi za Mwalimu....

Hii stori umeikatisha
Hapo ndo mwisho aka The End... aka Finito... sijaikatisha hataa, Kasie hafichagi vitu mbona, anasemaga yote hapahapa kama kuna lililotokea husema ila kama hakuna pia ntasema hakuna kilichotokea... kukiwa na utamu naanzaje sasa kukatisha na kuacha kusimulia...


Dooh pole sana aiseeh kwa kuvunjika moyo na kukata tamaa baada ya kumuona uliyesikia sauti yake kabla. Hayo hutokea sana maishani hivo nakulaga kobisi tuu kiutu uzima heheheee.

Hapo nilipo bold, wewe ni mtu wa pili kukusikia unasema huo msamiati, hilo neno linamaanisha hisia? ni silka au sulika?
Alamsiki...
 

Hhahahahaa hilo nalitambua haswaa na wala hujakosea, kaka yako Mentor ndo amelisema kama General Rule.
Uzuri wa Kasie wakaka wa hivi huwa anawatambua mapema, hivo kama nyegez zipo basi yey akitaka kidoti nami nafurahia wa jang'ombe.... laah akinikuta sina nyegez nmapa maahadi hewa tukipotezana ndo hanioni tenaaa. Mentor ameniambia, akili ku mkichwa, hata huku JF ni kuishi kwa akili na si hisia wala nguvu....
 
Ha Ha Ha a a a....Kwa sauti gani Bibi wewe alikua anataka aonje asali yako tu hakuna lolo
ote

Kumbeeeh...... nilikuwa sijui, asante kunifahamisha.
 
Story hii bila ka audio cha hiyo sauti inakuwa hainogi.

Unaijua au ulishawahi kuisikia sauti ya Stara Thomas?? kama ulishawahi kuisikia, basi sauti ya Kasie iko hivohivo,kama hujawahi kuisikia sauti ya Bi Stara, basi itafute, gugo wimbo wowote wa Stara uusikilize hapo utakuwa umepata sauti ya Kasie mubashara.
 
Ila mwanaume akiwa mawindoni ana mbinu lukuki,
Yeah ni kweli, nashukuru Mola amenifunulia macho ya kuona walio mawindoni na walio na kheri...

ila bibi una mwandiko mzuri nimejikuta nasabscribe uzi ili niendelee kuusoma.
Asantee, karibu uendelee kuburudika na kufurahia mwandiko.

Sijui kama utapata nafasi nikupeleke mahali ukaone maajabu ya kuvua samaki tani 1 kwenye dimbwi.

Ooooh wooow!!! I love adventures..... for that, I'll fix in my schedules ili nishuhudie samaki wanavyovuliwa...😛😛.
 
hahaha kiswahili lugha tamu kama maji ya mtungi wala hakiishi hamu

Kassie wewe Kassie you never cease to amaze me. You`re a living,breathing fantasy

Hiyo ni silka=Insticts kwa lugha ya malikia. Alamsiki nuru bi nuur
 
aliyeimba kinyago cha mpapuri humkumbuki, alipakiwa hadi ndege kwenda arabuni sijui kwa ajili ya mwarabu kasikia sauti tu

Yeah, naukumbuka huo wimbo ila hiyo story ya ndege kupaki nje ndo naipata kwako, kumbe sauti huweza kusababisha eehh....
 
Tutaaminije kuhusu hiyo sauti bila kuisikia?

Tuma tuhakikishe.
Gugo wimbo wowote wa wa Stara uusikilize, utaipata sauti ya Kasie barabara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…