Sauti ya Wema Sepetu iliyosambaa akiwatoa hofu Mashabiki

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alifika kwenye kituo kikuu cha Polisi kati Dar es salaam baada ya kutajwa kwenye list ya wanaotuhumiwa kwenye utumiaji na biashara ya dawa za kulevya, amewatoa hofu Mashabiki zake.

Wema amesikika kwenye sauti aliyoiweka kwenye mitandao na hapa ninamnukuu anachokisema >>> ‘Nadhani natakiwa kusema kitu sababu najua nina mashabiki, nina watu wananipenda na kunifatilia…. nina watu wanani-support, nina watu wana hofu kuhusu mimi’

Nina watu ambao wananijali sana na nina uhakika yani wana wasiwasi sana lakini nataka tu niwaambia kwamba msiwe na wasiwasi‘ –Wema Sepetu

=======
Wema Sepetu kukamatwa na kuhukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya
Yaliyojiri katikati ya mchakato wa upelelezi wa kesi ya wema
Wema kukutwa na kesi ya kujibu
Kuhukumiwa na kuachiwa huru baada ya kulipa faini
 
Back
Top Bottom