Sauti ya nimechoka kwa mwanamke during sex ina maana gani?

Wakuu naomba Kuuliza ukisikia ke anasema amechoka time ya sex ina maana gani na unatakiwa uchukue hatua gani kipind cha sex?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu kuna jitu litasema ooh serikali haijali wananchi wake,wakati mada Kama izi Ni kielelezo tosha Kuna furaha na amani nchini hadi inafika atua watu kuchoshana that is very good..acha niachie wachangiaji wengine watiririke

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Cheki wanaume wanavomkatisha tamaa mwanamme mwenzao halafu cheki Goddess na Mahondaw walivotoa majibu ya kutia moyo na kuamsha ari kwa jamaa.. Wanaume Jf tumezidi ujuaji. Swali la hivi nadhani walipaswa wajibu wagongwaji..


Nilitee povu nikuzushie una korona ukapigwe karantini siku 14 vichwa panzi wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom