Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

Wiyelele, Acha 'kugegeda' mke wa mtu (yule anayekimbilia kwako mara kwa mara baada ya kupigwa na mumewe) !!
Hiyo 'sauti' unayoisikia ndio 'malipo' ya kazi yako ya kushika-shika mke wa mtu.

Who knows, labda mwenye mke kaamua 'kukutengeneza' a.k.a 'kukufanyia ukarabati' !!
Na hiyo 'sauti' ni chambo cha kukunasa, na jinsi unavyosema mwenyewe, hauko mbali sana na 'ndoano' !!

Sasa ndio utajua mke wa mtu ni sumu hata kama anajileta mwenyewe kwako !!
Kule kwetu kuna msemo unasema kuwa "..sasa ndio utajua kuwa kachumbari sio mboga, na majani ya mbuyu sio kisamvu.."
 
Mbona mimi nilishamuacha kitambo? Wala simuwazii tena kabisa. Huamini kwamba mtu anaweza kutubu na kuwa muumini na mfuasi wa kweli? Nimekuwa kiumbe kipya katika Kristu.
 
Hapo kwenye blue,
Kama ni kweli, basi na iwe hivyo na kufahamika hivyo kwake (mke wa mtu), na kwa mumewe.
Maana, hata kama umemuacha, lakini hujamtamkia yeye mwenyewe (mke wa mtu), basi atazidi kuja kwako.
Pia kama mumewe alikuwa anajua uhusiano wenu, basi na yeye anatakiwa ajue kuwa sasa hamna uhusiano huo.
Vinginevyo, kama mumewe bado anaamini kuwa unaendelea na uhusiano na mkewe, atakutengeneza tu, hata kama umemuacha mkewe !!

Ndio maana Biblia imetuagiza wanaume tuwapende wake zetu (bila kujali wakoje).
Amri ni kuwapenda wake zetu.
Kama mke ana mambo yasiofaa, kaa naye umuonye, pia muombee.
Usipompenda mkeo, shetani atakutafutia 'mke' mwingine,
Na usipoangalia utampenda huyo 'mke' toka kwa shetani (iwe ni jini mahaba au mwanamke wa nje).
Mpende mkeo bila masharti yoyote, na hakika hiyo 'sauti' hutaisikia tena.

Soma hapa chini...

Waefeso 05:25-33 inasema...

25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;
26 ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno;
27 apate kujiletea Kanisa tukufu, lisilo na ila wala kunyanzi wala lo lote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa.
28 Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.
29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa.
30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake.
31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.
32 Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa.
33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.
 
Usipompende mkeo, shetani atakutafutia 'mke' mwingine,

Mkuu, nakushukuru sana kwa ushauri wako ila hili la kwamba nimjuulishe mmewe mbona unanza kunitega? Mi niliyasahau na kama nilitubu Mungu alinisamehe, iweje nianze kuyarudia ya nyuma? Take it from me that i am a new creature.
 
'

MwaJ, bahati mbaya huwezi kuyaona machozi yangu yakichuluzika hapa JF, na huwezi kuiona sura yangu ikiwa na huzuni hapa JF. Unachoweza kukiona na maandishi yanayoelezea uhalisia wa mambo yanayonipata.

Pole, basi fuata ushauri wa watu wa Mungu. Ombewa nawe pia sali sana.
 
Mkuu, nakushukuru sana kwa ushauri wako ila hili la kwamba nimjuulishe mmewe mbona unanza kunitega? Mi niliyasahau na kama nilitubu Mungu alinisamehe, iweje nianze kuyarudia ya nyuma? Take it from me that i am a new creature.

Swali la msing..
Je mumewe alikuwa anajua uhusiano wenu ??
Kama alikuwa anajua, basi inabidi ajulishwe kuwa uhusiano huo haupo tena, na aamini hivyo !!
Kama alikuwa hajui, basi kaa kimya.
Siku nyingina ukiona mke wa mtu anakuja kwako huku analia, kimbia mbali sana.
 
Mimi nilijua tu, kumtoa kasoro na kumchukia mkeo kiasi kile ni dalili ya kuwa na spiritual husaband; sasa fuatilia business au kazi zako; uwezekano mkubwa zinayumba, hopefully hautasema mkeo ana gundu.

Kabisa umenena...huyo ni spirtual wife,so ukizembea kitakachofuata ni ndoa kuvunjika au kuingia kwny mgogoro mkubwa!....inabidi uchukue hatua ya kuombewa,tena na m2 aliyesimama haswa sio blah blah
 
Kuwa makini. Isijeikawa unazungumza na viumbe wasio na miili.
 
sio anamnyemelea hilo ni jini mahaba kamili
anachotakiwa ni kuchukua hatua na kukutana na watumishi wa Mungu ili aweze kufunguliwa
maana huwa yanakuwa kizuizi hasa pale unapofika wakati wa wewe kutaka kuanzisha mahusiano na mwanamke mwingine

zingatia mapema kweupe kabla haijwa ndivyo sivyo

the guy is already married kama umesoma vizuri post yake! kifuatacho ni jamaa kumchukia mkewe na ugomvi utakaopelekea ndoa kuvunjika ili jini limmiliki vizuri!
 
Na mie kuna sauti ya kiume inanisumbua usingizini:confused2:

😕 Yawezekana kabisa! Mi ndo napata ushauri hapa nadhani nawewe fuatilia uweze kupata ushauri. Nimeambiwa nisali sana, nawe sali usije ukaingia majaribuni na hizi sauti.
 
Mi nitaomba tu iwapo kweli zitapungua maombi yatazifanya zirudi maana sikuchagua kuwa niwe naitwa au kusumbuliwa na hii sauti.
 
Kama ni jini mbona siku nikiitwa nakuwa na furaha sana?
Hahahaahaha! kama kawaida yako, huwa unanifurahisha sana Wiyelele, hiyo ni hisia tu, kwa sababu unaweza kuta mchana kutwa kulikuwa unawaza kupata mwanamke mzuri na mwenye sauti nyororo. ukifika wakati wam kulala akili inaanza kurudia kile ulichokiwaza wakati wa mchana.
 
Yawezekana lakini nataka nisiwe naziskia sauti hizi. Bora niwe naskia sauti ya kuimba kwaya ambazo zitanipeleka kuzuri kuliko hii sauti nyororo ya mwanamke. Kusema kweli ni sauti nzuri sana ambayo mtu yeyote angependa kuifuatilia. Nashukuru Mungu kwamba kila nikiiskia siitikii kabisa japo naamka kwamba inatokomea wapi!
 
Mhhh kaka au usiku ndio unaishi ndoto zako?
 
Ngoja Nikwambie, Siku Hizi Majini Pamoja Na Masheta Nayo Yamecopy Mfumo Wa Digitali ,..Yaani nao Wametoka Analogia Wamekwenda Digitali, Sasa Huyo Anayekuita Ni Jini Aina Ya PoPoBawa , Cku Hizi PopoBawa Wanakuja Na Sauti Nyororo, Ukiona Ivyo Anataka Achezee Choo Chako Na Unaambiwa Bao Lake Moja Ni Sawa Na Lita Moja Ya Maziwa Ya MtiNdi...Jirani Nakupenda Ndio Maana Nimekwmbia Ili Nikuepushe, Alafu Angalia Sana Pindi Unapoaamka Maeneo Ya Ikweta Kama yapo Salama Vingnevyo Utapotea Na hizo Sauti....www.dr.manyaunyau.com
 
Back
Top Bottom