SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

Wapi rasimu ya 2 ya katiba. Heri ya mwaka mpya 2014, mwaka wa uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Naona usingizi umekuchukua kwa muda mrefu; haya kumekucha amka upige mswaki. Achana na ndoto za mchana. Membe PM!!!.
Day dreamer .
 
Habari wakuu,

Gazeti la SAUTI la leo tarehe 01/01/2014, limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.

Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.

CHANZO:SAUTI

MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.
kwa kuwa Ikulu imeamia Frainds coner pale magomeni kagera naamini hayo uyasemayo
 
Hata hao kina membe.mwakyembe.magufuli walikuwa hawajulikani. Kuna mtu aliwajaribu. Let get new faces. Tanzania ina watu wazuri wa kutosha.
 
Membe hataukubali uwaziri mkuu...maana nchi hii ukishakuwa waziri mkuu ni vigumu kuwa rais wa nchi....!
 
Naunga mkono hoja ya rais kufikiria kuacha makatibu wakuu wafanye kazi kwa kipindi kilichobakia haina haja ya kuteua mawaziri, ukiangalia hao wanaotajwa heri na waliojiuzulu. peter serukamba, madilu nchemba kama hawa ndio wanaotegemewa bac huko lumumba kumeishiwa
 
Akikubali amejimaliza hatoweza kupokezana kijiti na mh jk.ingawa kwa CCM kupata nafasi ya Rais ni ngum kdg
 
Maana hao waliobaki ndio hawa tunawaona bungeni na michango yao sio migeni kwetu ati!!!!!!
Kwa kweli kama inawezekana mkulu apunguze safari za nje akae na makatibu wapige kazi kwa kipindi kilichobaki hii ingia toka sasa haina tija tena!!!!!!

Mawaziri wasiwe wabunge jamani utendaji utaongezeka sababu watajua wakivurunda bunge litawashukia
,hii ya sasa uma huku unapuliza inakwamisha saaaaanaaaaa!!!!!

yaani itakuwa jambo la mbolea mno... ila nasikia mkuu yeye ndio ambition zake kutembea....akifika anauliza wapi tunaelekea,hutuba tayari..?
 
Hotel ya Membe Jana imezinduliwa rasmi huku Mtwara
 
Habari wakuu,

Gazeti la SAUTI la leo tarehe 01/01/2014, limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.

Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.

CHANZO:SAUTI

MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.

Pengine hii itakuwa faraja kwa wale wa lile Wizara lilioko Kivukoni!
 
Membe kuwa PM? Asahau kuwa mgombea urais. Zaidi ya Baba wa Taifa,Mwl JK,hakuna PM mwingine aliyefanikiwa kuwa mgombea urais,acha kupata hicho kiti cha urais,ingawa karibu wote walijitosa(isipokuwa Moringe name Warioba).

Akikubali kuwa PM basi JK atakua na hila mbaya kwake na akikubali basi amekubali hila mbaya.
 
Back
Top Bottom