SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

Membe kuwa PM? Asahau kuwa mgombea urais. Zaidi ya Baba wa Taifa,Mwl JK,hakuna PM mwingine aliyefanikiwa kuwa mgombea urais,acha kupata hicho kiti cha urais,ingawa karibu wote walijitosa(isipokuwa Moringe name Warioba).

Membe hawezi kuwa waziri mkuu, pinda ataenda na JK hadi mwisho wa awamu ya JK
 
Kuruka kimba kukanyaga uharo ...

hahaha heri ya pinda kulko membe mzee wa vsasi huyu joka la mdmu si alsema ana maadui 11 sasa akipewa wazr mkuu si ndio wataongezeka naona kaweka watu wake ndio wanashnda apa kumsapot mwambien membe labda awe wazr mkuu wa chuo si nchi akajlambe hukoo hafai kabsa huyu
 
Membe ni uozo ule ule hana jipya.Niambie lamaana moja tu la Membe.Mi ninalo likumbuka alisema tujiunge OIC tupate hela za waarabu.Sijui ndiyo vision hiyo?
 
Nijuavyo mimi bunge ni lazima liidhinishe jina la waziri mkuu, je litaitishwa bunge la dharura? Tafakari.
 
Membe ni uozo ule ule hana jipya.Niambie lamaana moja tu la Membe.Mi ninalo likumbuka alisema tujiunge OIC tupate hela za waarabu.Sijui ndiyo vision hiyo?
 
Aaaah,kwani mtoto wa mkulima amesha ng'atuka...
 
bato;Membe kuwa PM? Asahau kuwa mgombea urais. Zaidi ya Baba wa Taifa,Mwl JK,hakuna PM mwingine aliyefanikiwa kuwa mgombea urais,acha kupata hicho kiti cha urais,ingawa karibu wote walijitosa(isipokuwa Moringe name Warioba).
People make exceptions mkuu ila point of correction Baba wa Taifa alivyokuwa PM ile nafasi ndiyo ilikuwa Imperial or Supreme ndiyo maaana ikawa rahisi kwake kuwa raisi because alichofanya Nyerere ni mererly conversion of title from PM to President japokuwa alijiuzuru kabla ya kuwa raisi na kumbuka kwa Tanzania for now is at the dawn of enlightenment just as it was in Europe around 19th Century..hutujui huenda wapinzani wakashika nchi au raisi akawa mwanamke au kijana it depends on how the society thinks,TIME IS THE GREATEST JUGDE OF ALL hebu tusubiri tuone ila enjoy THE GAME OF THRONES (Membe Vs Lowassa) a showdown of history
 
Ben Saanane;Akikubali kuwa PM basi JK atakua na hila mbaya kwake na akikubali basi amekubali hila mbaya.
Heshima kwako kaka Ben kuna msemo wanafalsafa wengi wanaupenda kuusema WALK THROUGH YOUR PROBLEM AND NOT AROUND IT,..hapa pana mengi saaana tutakuwa tunafikiri lakini kumbuka the strongest man in the world is the one with the best information na huwezi kupata information unless you get to the core of your problem (THE INNER CIRCLE) ndiyo maana mara nyingi Mzee wetu Slaa huwa anajiamini saaana because he has the best information about the enemy movements.Swali,Je Unadhani haitakuwa vizuri sana kwa Membe kuikubali hiyo nafasi ili ajue enemy movements?:wink2:
 
Membe anaweza lakini tumuache pinda amalizie muda wake, membe akipewa fisadi lowasa atazidi kuumwa mwacheni membe na kimataifa zaid
 
Ukidai uwaziri mkuu, na ushaambiwa usidai hilo utapigwa tuu, mi nasema muwapige tu mana hakuna namna nyengine, tumechoka sasa
 
Back
Top Bottom