SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

Kwa hiyo kwa mara nyingine baraza linavunjwa lote?
 
nilitoa huo ushauri mwezi november. Yaani ukiangalia walio bench unaweza kuona ni wabovu kuliko walio ndani na kinyume chake pia.

Mtendaji wa kweli kabisa hawezi kuwa na nasaba na chama cha siasa,sasa waziri wa serikali kuwa mbunge ni kiini macho tu sababu katokana na chama sasa kama chama kinazingua huyu hatii neno asilani hata akiona mchana kweupe party caucus inambana!!!!!!

Tunafeli hapo tu!!!!!
Na ndio maana katibu wa chama ana nguvu juu ya mawaziri!!!!!!
 
Hata achaguliwe MALAIKA kwenye serikali hii ni lazima atakuwa SHETANI!

Ningekuwa mimi ningekataa kabisa kuchaguliwa kwenye serikali hii,ya nini kuharibiana CV!?
 
hahaa Waandishi wa habari wa Tanzania wanachekesha kweli yaani Membe waziri mkuu kabisaa? si afadhali hata Salma apewe huo uwaziri mkuu!
 
Membe kuwa PM? Asahau kuwa mgombea urais. Zaidi ya Baba wa Taifa,Mwl JK,hakuna PM mwingine aliyefanikiwa kuwa mgombea urais,acha kupata hicho kiti cha urais,ingawa karibu wote walijitosa(isipokuwa Moringe name Warioba).

Mkuu, Moringe alikuwa jembe yule. Alikuwa na msimamo. Angeweza kugombea na kuupata u Rais kwani wananchi awlimpenda kwa misimamo yake. Hata Nyerere na Kawawa walikuwa wanamgwaya. Kuna wakati Nyerere alimleletea longolongo alimwachia ofisi na akasema anarudi Monduli kuchunga ng'ombe wake. Thubutu yao mbona walikwenda kumuangukia ndo akarudi kuendelea na operation yake ya kamatakamata ya wahujumu uchumi ambao hawakupendwa na wananchi kupelekea wananchi wa kawaida kumpenda. Sio hawa kina Pinda wachumia tumbo
 
Hata achaguliwe MALAIKA kwenye serikali hii ni lazima atakuwa SHETANI!

Ningekuwa mimi ningekataa kabisa kuchaguliwa kwenye serikali hii,ya nini kuharibiana CV!?

Mkuu Kajirita umesahau kuwa SHETANI ni MALAIKA muasi?!
Mi namuamuru Mr President akusanye suti zake aipishe ikulu coz keshapoteza credibility ya yeye kuwa kwenye makazi hayo.
Hajui ni wapi amejikwaa, tatzo ni ccm na corruptive ways zlzomfanya akapata Urais.
Kuendelea kuteua Mawaziri kutoka ndani ya CCM ni sawa na zoezi la kuzunguka mbuyu, hivyo tusitegemee lolote bali swaga za ulanguzi wa raslimali za Nchi zitaendelea kushamiri.
Palipo baki nipachungu kuliko alikotoka.
Madaktari wa Rais kazi mnayo make presha ya jamaa itapaa badala ya kupanda.
 
Maana hao waliobaki ndio hawa tunawaona bungeni na michango yao sio migeni kwetu ati!!!!!!
Kwa kweli kama inawezekana mkulu apunguze safari za nje akae na makatibu wapige kazi kwa kipindi kilichobaki hii ingia toka sasa haina tija tena!!!!!!

Mawaziri wasiwe wabunge jamani utendaji utaongezeka sababu watajua wakivurunda bunge litawashukia
,hii ya sasa uma huku unapuliza inakwamisha saaaaanaaaaa!!!!!


Katiba mpya imepitishahilo hakuna shaka nalo tena:clap2:
 
Sasa kanchi ketu kamekuwa ka kujifunzia kuongoza.my poor Tz.
 

[/COLOR]
Katiba mpya imepitishahilo hakuna shaka nalo tena:clap2:

BALAKI ni mpaka itapoatimizwa hiyo si unajua lugha zao za "bila kuathiri" "ispokuwa kwa mamlaka ya" na nyingine kama hizo
 
Last edited by a moderator:
Napendekeza Dk Mwakyembe awe waziri mkuu na Mh Dk Migiro awe waziri mambo ya nje
 
Back
Top Bottom