SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

SAUTI: Membe kuwa Waziri Wkuu

Nikiambiwa nikamshauri kikwete Leo nani awe Waziri Mkuu nitampendekeza Stephen Wassira atleast anawezakumsaidia kuivusha serikali yake miaka iliyobaki.
 
Huyu membe na makamba akili zao hazifai hata kwenye huo uwaziri zaidi ya kubebana.
 
Inaweza kuwa manake nasikia jamaa ana undugu nae na ndio maana wamwaribia hamna kitu pale mema nasikia alikuwa bwana shem ndo yale ya undugu naizesheni nchi ishakufaa hii tumebaki kupayuka na kutembea kama mazombi.
 
Mtu anampa shemeji yake uwaziri mkuu!

CCM tupa kule!
 
Mbona sielewi kaoteshwa au?
Habari wakuu,

Gazeti la SAUTI la leo tarehe 01/01/2014, limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.

Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.

CHANZO:SAUTI

MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.
 
Mtu anaefaa na kuweza uwaziri mkuu ni Lowasa tu,ningemshauri anefanya uteuzi ampe u-PM tupate Big result now
Nikiambiwa nikamshauri kikwete Leo nani awe Waziri Mkuu nitampendekeza Stephen Wassira atleast anawezakumsaidia kuivusha serikali yake miaka iliyobaki.
 
Habari wakuu,

Gazeti la SAUTI la leo tarehe 01/01/2014, limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.

Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.

CHANZO:SAUTI

MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.

Ndio ume post nini hapa natokalini gazeti likaitwa sauti likaja na habari za kweli?
 
Habari wakuu,

Gazeti la SAUTI la leo tarehe 01/01/2014, limeripoti kuwa waziri wa mambo ya nje mh.Bernad Membe ndie atakuwa waziri mkuu.Pia gazeti hili limeripoti kuwa Dr Asha Rose Migiro ndie atateuliwa kuwa waziri wa mambo ya nje.

Vile vile gazeti hilo linasema mh Pinda kaamua kuachi ngazi kufuatia kelele za kumtaka ajiuzulu.

CHANZO:SAUTI

MY TAKE:
Lisemwalo lipo kama halipo laja.

Jamani kuna gazeti na ka-gazeti. Si dhani kama JK anaakili ndogo kiasi hicho. Mwenyewe anajua kuwa Membe kalala usingizi wa pono akisubiri ndoto za kuwa Rais ili aweze kudili na jamaa zake 11,halafu JK amzindue kwa kumpa Uwaziri mkuu?,akishtuka si ataanza na yeye mwenyewe?. JK akili mia,anajua anachofanya. Na akitaka uenyekiti wa CCM auundie TUME ajaribu.
 
Magufuli anabaniwa sana, sijui kwa vile kanda ile haipendi kuongea sana, ni zamu yake sasa, amerukwa muda mrefu
 
kila mtu anabuni lake
wacha tutajua ukweli.
 
Magufuli anabaniwa sana, sijui kwa vile kanda ile haipendi kuongea sana, ni zamu yake sasa, amerukwa muda mrefu
Nani ampe magufuri hata Ccm wanamjua ni mlamba viatu via wakubwa hata akiambiwa abomoe nyumba yake ili maradi kumfurahisha boss wake ni swala la sekunde
 
Back
Top Bottom