Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

watu hawatofautishi maongez rasmi na maongezi ya faragha,pale membe hahutubii,story za kawaida baina ya wawili,hata hivyo naanza kuamini zinaleakishwa on purpose
 
Usikute kuna mtu kaajiriwa na anapokea mshahara mkubwa kuzidi mwalimu Kwa kazi ya kuifuatilia maongezi ya watu kama hivyo inasikitisha sana.
 
Hizi clip zinatoka kitengo mkuu. Wamedukua simu zao kwa kushirikiana na mitandao ya simu. Hili liliwahi kutokea kipindi Lissu anadhambuliwa nao walikuwa wamedukua simu yake. Pia Jiwe ana mtambo maalum pale juu huwa anacheza na yeyote atakaye
Uongo wa PhD ya kabudi Tz itoe wapi mtambo semea matunguri sio mtambo
 
Hivi inakuwaje huyo wa jalalani mwingine Bashiru na chupaki polepole wako kimya kupita kiasi!? Wana mgomo baridi au wamepigwa marufuku kuongea!? Haiwezekani katibu mkuu na katibu mwenezi wawe kimya hivi wakati kuna sakata zito linafukuta.

Kimya kingi KINA MSHINDO.
 
Mkuu wa wakuu wamikoa nae yupo kimya kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
JF kila mtu ana akili na uwezo wa kuchambua mambo kuliko mwingine.
Ni rahis tu..jiulize haya..umewahi kusikia muito wa sim kwenye hizi audio zote!!?
Lingine rudia ile audio ya kinana na nauye..utasikia kinana ndo anaongea zaid kufunguka haswa na nauye anajib kiufup sana...hali hii imetokea hata kwa clip hii..huyo muigiza saut ya nape ambae ndo katibu wa kijiji sijui mwenyekiti anaonekana kutokuwa anajua mambo vizur..anachombeza ili muigiza saut ya membe na ndie aliyeigiza saut ya kinana anaonekana kufunguka zaid...hata eneo ambalo mwenyekti wa kijiji hana hoja bado membe muigizaji anatafuta cha kusema...
 
Huyu sishangai Mkuu wakati Baba yake anasulubiwa lazima awe na hofu kubwa na hajui aseme nini, lakini hao wawili wananishangaza sana tusishangae kusikia nao teuzi zao zimetenguliwa maana si kawaida hata chembe.

Mkuu wa wakuu wamikoa nae yupo kimya kweli.
 
Kazi yao ngumu kweli...!!!Ninawaza yawezekana mmoja wao amerekodi mazungumzo yao....swali kwa nini!??!!! Halafu miangwi ya sauti mbona haipishani sana...!? Yaani kama wapo chumba kimoja (joking)...wanatumia 5G network nadhani( joking again)!!!
 
Yona anachekesha sana aliandaa vi clip uchwara vitano na mataga naona amebakiza viwili ,yeye mwenyewe na mataga na vi clip vyao vya kubumba wanajiona wajanja ,kuliko kuvivujisha kama za kweli si mpeleke mahakamani ,ushahidi unautoa mtandaoni ? Akili ya musiba na mataga ya ajabu .
 
Ni rahis tu..jiulize haya..umewahi kusikia muito wa sim kwenye hizi audio zote!!?
Lingine rudia ile audio ya kinana na nauye..utasikia kinana ndo anaongea zaid kufunguka haswa na nauye anajib kiufup sana...hali hii imetokea hata kwa clip hii..huyo muigiza saut ya nape ambae ndo katibu wa kijiji sijui mwenyekiti anaonekana kutokuwa anajua mambo vizur..anachombeza ili muigiza saut ya membe na ndie aliyeigiza saut ya kinana anaonekana kufunguka zaid...hata eneo ambalo mwenyekti wa kijiji hana hoja bado membe muigizaji anatafuta cha kusema...
Mchezo huu unachezwa kishamba Sana na usikute Gentamicine ndio anaefanya yote.
 
Yona anachekesha sana aliandaa vi clip uchwara vitano na mataga naona amebakiza viwili ,yeye mwenyewe na mataga na vi clip vyao vya kubumba wanajiona wajanja ,kuliko kuvivujisha kama za kweli si mpeleke mahakamani ,ushahidi unautoa mtandaoni ? Akili ya musiba na mataga ya ajabu .
Yona gani mkuu
 
Back
Top Bottom