SAUT: Wenje ametutelekeza

Acha uongo, Serikali ya CCM ilifunga vyuo vyote wakat wa uchaguzi, hizo kura mlimpia wapi???
 
Mbona hili liko wazi, kijana alitaka kuteleza na akaonywa na chama. Nakumbuka vyombo vya habari viliandika hili.

Ninachokumbuka ni gazeti lilimnukuu Dr Slaa akisema Mbunge huyo anatoka kanda ya ziwa, but hakumtaja na akasema chama kitalishughulikia hilo.
ndiyo maana nikasema kua leta ushahidi kua alietajwa na Dr Slaa ni Wenje, la sivyo zitakua ni stori za mitaani
 
kazi yake ninini?, wanafunzi kutoka jimboni kwake wamepata matatizo yeye yuko karibu na serikali, achukue hoja zao aziwakilishe panapohusika. Linapokuja swala la kamanda mwenzetu kuzembea tusimtetee.

Chuo chenu hakina afisa mikopo?? kazi yake ni nini??? na je vipi kuhusu Waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi hayupo??? Kazi yake ni nini??? Malalamiko yenu hayana msingi wowote!!!
 
Acha uongo, Serikali ya CCM ilifunga vyuo vyote wakat wa uchaguzi, hizo kura mlimpia wapi???

una uhakika unachosema?. Ingia hata google utaamini hawakufunga. Tena iliwaletea mgogoro hadi radio yao ikafungiwa. Tusizungumze vitu kiushabiki hapa.
 
Napita tu hapa,nahisi naweza chapa mtu makofi kabsaa
 
Kwahili naomba wanajamii tuwe wakweli.Wanafunzi wanahaki ya kumlalamikia Mbunge wao kama wameishampa taarifa bila kupata majibu.Kama tunasema Wenje halazimiki kushughulikia hili sijui kama angelikuwa Mbunge Masha michango ingekuwaje?
 
mkuu mbunge alituahidi sasa wewe unatuambia tuache kumuuliza wakati ni sehemu ya ahadi zake wakati wa kampeni? kama nasema uongo aje akanushe hapa. mambo ya udsm usilete hapa.
 
Acha uongo, Serikali ya CCM ilifunga vyuo vyote wakat wa uchaguzi, hizo kura mlimpia wapi???

SAUT waligoma na kwa kweli waliinua CHADEMA. Point hapa ni kuwa, Wenje hahusiki
 
hovyoooooo.....!
 
Chuo chenu hakina afisa mikopo?? kazi yake ni nini??? na je vipi kuhusu Waziri wa mikopo wa serikali ya wanafunzi hayupo??? Kazi yake ni nini??? Malalamiko yenu hayana msingi wowote!!!

exactly, kuna afisa mikopo wa chuo, waziri wa mikopo. Yaani Wenje mnamshusha. Acheni ujinga
 
Kwahili naomba wanajamii tuwe wakweli.Wanafunzi wanahaki ya kumlalamikia Mbunge wao kama wameishampa taarifa bila kupata majibu.Kama tunasema Wenje halazimiki kushughulikia hili sijui kama angelikuwa Mbunge Masha michango ingekuwaje?

anachoweza kufanya Wenje ni kwenda HESLB kukaa kwenye mabenchi kama wanachuo, akiruhusiwa aingie ofisi namba 24 kisha ataambiwa, 'tunalishughulikia'. Wana SAUT nchi haiendeshwi na CDM, wote huu ni ushetani wa CCM.
 
Watu wa SAUT Tabora walikuja Dar kwenda Loan board, hawakwenda kwa yule msomali muuaji Rage. Je wao wajinga?
 
mkuu mbunge alituahidi sasa wewe unatuambia tuache kumuuliza wakati ni sehemu ya ahadi zake wakati wa kampeni? kama nasema uongo aje akanushe hapa. mambo ya udsm usilete hapa.

Kikwete aliahidi pia! Mbona vyuo vya Dar hawakwenda ikulu bali Loan board? Hili ni tatizo la vyuo vyote nchi nzima, si nyie tu
 
watanzania bwana asa wenje ndo mwenyekiti wa bod ya mikopo ( nimesoma history 4m6 kuwa LUDDISM WALIFELI KUDAI HAKI ZAO KWASABABU WALISHINDWA KU IDENTIFY ADUI YAO NI NANI) WENJE C ADUI YENU WA KUTUPIA LAWAMA NENDENI DAR KWA MWENYEKITI WA BOD YA MIKOPO
 
SAUT iko ndani ya jimbo la Nyamagana. Wanafunzi wameona wamtumie Wenje awakilishe matatizo yao wizara husika hapo si mtu sahihi? Hii ndio shida ya kusoma HKL combination ya vilaza, swali lina majibu mawili uongo mtupu.
 
kaka nimesoma HKL nikapata one ya 5 nikaenda UDSM na kusoma sheria na sasa ni wakil acheni ujinga wa kumlaum mbunge wakati mnajua adui yenu ni bod. this is glossly Ubsurdity
 
exactly, kuna afisa mikopo wa chuo, waziri wa mikopo. Yaani Wenje mnamshusha. Acheni ujinga

Binti Nyakageni, mbona unaongea vitu utadhania bado hujaondolewa ungo?. Wenje ni mbunge jimbo la Nyamagana, moja ya majukumu yake ni kusikiliza matatizo yaliyopo jimboni kwake na kuyawasilisha wizara husika. Hata kama waziri wa mikopo yupo, yeye acheze nafasi yake.
 
SAUT iko ndani ya jimbo la Nyamagana. Wanafunzi wameona wamtumie Wenje awakilishe matatizo yao wizara husika hapo si mtu sahihi? Hii ndio shida ya kusoma HKL combination ya vilaza, swali lina majibu mawili uongo mtupu.
hiv kumbe kuna chuo kinaitwa SAUT? kama kipo bs hawjui kudai haki waulizen udsm wanajua vema hata werma jana kazungumza bungeni vizur sanae
 
SAUT iko ndani ya jimbo la Nyamagana. Wanafunzi wameona wamtumie Wenje awakilishe matatizo yao wizara husika hapo si mtu sahihi? Hii ndio shida ya kusoma HKL combination ya vilaza, swali lina majibu mawili uongo mtupu.

kwa hilo la kumuagiza awasaidie sawa.
 
kaka nimesoma HKL nikapata one ya 5 nikaenda UDSM na kusoma sheria na sasa ni wakil acheni ujinga wa kumlaum mbunge wakati mnajua adui yenu ni bod. this is glossly Ubsurdity

Law is a noble profession, haiwezi kuchukua kilaza kama wewe. Nikiangalia comments zako nikiuanganisha 'dots' ndio zinasababisha nikuweke kundi la vilaza. Usipende kudandia fani zisizokuhusu, wewe kazi inayokufaa ni bongo flavour kwani ndio unafanana nao.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…