wanafunzi wa SAUT ni wajinga kweli.
Hebu jiuzeni tu,hata nyie wanaume mjiuze ili muwasaidie
wadada hela za kujikimu.
Yaani nyie hamjuagi kudai hela zenu,mnakalisha makalio chuni tu mnasubiri
wengine wapige kunji na nyie mfaidike. nyambafu zenu,JIUZENI,HAMJAANZA JANA WALA LEO.
Wenje usipokee simu,utakufa njaa,jenga tumbo lako jaduong'
Wenje usipokee simu zao.
kazi yake ninini?, wanafunzi kutoka jimboni kwake wamepata matatizo yeye yuko karibu na serikali, achukue hoja zao aziwakilishe panapohusika. Linapokuja swala la kamanda mwenzetu kuzembea tusimtetee.
tukumbuke pia ni Wenje huyuhuyu ndiye alipewa karapio kali na chama chake pale walipong'amua jaribio lake kuhamia CCM baada ya kuhongwa mil 200. Jaduong haponi 2015.
ninaposema yuko karibu na serikali simaanishi ananyanao kazi ofic moja. Kwa kutumia nafasi yake ya kibunge ni rahisi kuwasiliana na serikali. Shirikisha akili yako kufikiri mkuu.
tukumbuke pia ni Wenje huyuhuyu ndiye alipewa karapio kali na chama chake pale walipong'amua jaribio lake kuhamia CCM baada ya kuhongwa mil 200. Jaduong haponi 2015.
hayo si yangu, hizi ni taarifa za wanafunzi toka jimbo la Wenje na zimeandikwa kwenye gazeti la SAUTI HURU.
Leta ushahidi, ongea kwa facts, jana alipewa karipio leo anateuliwa kua mkurugenzi wa mambo ya nje?
Hatari zaidi ni kuwa hawa wasomi=wataalamu watarajiwa hawalioni hilo. Nahisi walitegemea mbunge atoe mfukoni na kuwatimizia mahitaji yao. Uzembe wa kufikiri kwa viongozi watarajiwa.Ndiyo tatizo ya title ya "ubunge" Tanzania. Watu hawajui mipaka ya mamlaka ya wabunge ma wajibu wao kitu kinacho pelekea kila tatizo wananchi kudhani inaweza tatuliwa na mbunge. Ndio maana unakuta mtu akikosa ada ya mtoto anaenda kwa mbunge, mtu akitaka pesa za kuanzishia mradi anaenda kwa mbunge, michango ya harusi kwa mbunge, nk. Ila ina sikitisha zaidi pale hata wasomi wa chuo wanapo shindwa kutambua mipaka ya mamlaka ya wabunge wao.
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustine-Mwanza wamemtupia lawama mbunge wao mh. Wenje kwa kile kinachoelezwa kwamba amewatelekeza.
Ikumbukwe kwamba Mh Wenje wanafunzi wa SAUT ambao idadi yao ni zaidi ya 15000 ndio waliomwezesha kiasi kikubwa kupata ushindi. Pia ni hawa hawa wanafunzi ndio walikesha kwenye vituo kulinda kura zisichakachuliwe.
Chanzo cha kumtupia lawama mbunge wao Wenje ni kutokana na wanafunzi wenzao 215 hadi sasa semister imeisha hawajapata pesa zao za kujikimu kutoka bodi ya mikopo.
Inaelezwa kwamba uzembe mkubwa kutoka uongozi wa chuo na serikali ya wanafunzi SAUTSO inayojipambanua kwamba ni makamanda wapiganaji wameshindwa kufuatilia pesa za wanafunzi hawa kitendo kilichopelekea wawasiliane moja kwa moja na Wenje kupata msaada zaidi.
Lakini hadi sasa si Wenje ambaye amewapa taarifa juu ya hatima yao huku wakidai muda mwingine wakimpigia simu hapokei.Imefikia baadhi yao kuacha chuo, wengine wameanza kujiuza miili yao ili wapate pesa za kujikimu.
Na wewe Mkuu unajiuza?Moja ya ahadi zake Wenje pindi alipokua akigombea ni kwamba pindi atakapoingia bungeni suala la ucheleweshwaji wa mikopo kwa wanafunzi wa SAUT litakuwa ndoto. Pia aliahidi kuwa karibu na wanafunzi kwa jambo lolote pale watakapomhitaji.
Mh! hao ndo aina ya wasomi wetu, walitaka mbunge afanye nini katika hilo?
Huu ni muendelezo wa mkakati wa kutaka kuwafarakanisha wabunge na wananchi wao, mlianza kwa kina Lema, Mdee, Nassari ,Sugu sasa kwa Wenje.....endeleeni tu, ila hamtafanikiwa!
sshhhh....! ishia hapo, mimi ni CDM kindakindaki ila panapotokea mbunge ameteleza kidogo si mbaya kumkumbusha. SAUT pekee ni taasisi kubwa ina idadi kubwa ya watu zaidi hata ya majimbo mengi .