Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Kuna Dalili Za Kivita Huko

Bifi baina ya Qatar na Saudia ni ya kimaslahi/influence na inaogopa sana ukoo wa kifalme kupinduliwa kwa kupitia mbinu za colour revolution, utawala wa Kifalme hawajiamini hata kidogo - katika mbinu zake za kutaka kujihami linataka ndiyo liwe Taifa linao wika Mashariki ya kati i.e a mimi Super Power - watumie uwezo wao kijeshi kuwatishia Waarabu wenzake na raia wa Saudia ili wasifurukute, vile vile Saudia inatumia vibaya utajiri wake kuendeleza siasa zake Mashariki ya kati zenye lengo la kutaka kuvuruga amani kwenye Nchi washindani wao notably IRAN na Syria kwa support ma rebels kwa kuwapatia silaha na fedha. Binafsi siamini kama Trump anahusika katika ku-influence mifarakano ya Saudia na Qatar we sema labda Saudia ilitumia ujio wa Trump nchini mwao kuikandia Qatar kwamba ina support Ugaidi wakati kila mtu mwenye akili timamu anajua Sadia ndiye kinara wa kuvurunga nchi za watu hasa Sysria na Iran.

Narudia kusisitiza kwamba Saudia ina wasi wasi na IRAN, Syria na sasa Qatar, kwa akili zao wanafikiri nchi hizo tatu zinaweza kuwapa mafunzo na ku-finance waasi wa kupidua utawala wa Kifalme, ndiyo maana kwa kupitia ushawishi wake wa kifedha inajaribu sana ku-influence mataifa mengine ya Kiarabu yamtenge Qatar na wao wanakubali bila ya kutafakari undani wa tatizo, mwishowe anaweza kuwashawishi waungane kuishambulia Qatar kijeshi kwa madai kwamba wanafunga ugaidi - Saudia hawataki kuchukua jukumu hilo peke yao baada ya enyeshwa na waasi wa Yemeni, huu sijui mwaka wangapi tangu wavamie Yemen pamoja na Saudia kuwa na silaha nyingi za kisasa bado wameshindwa kutimiza malengo yao huko Yemen, wanajua wakijiingiza Qatar mambo yanaweza kuwa mabaya zaidi ni afadhali wajaribu kuwashurutisha Waarabu wenzao ili washirikiane nao kijeshi/uvamizi just in case.
 
Sure kabisa na email zilizovuja zinaonyesha huu mkakati wao wa kuipaka matope Qatar.
 
Tatizo ni ukoo wa kifalme saudi arabia. Huu ukoo pesa yao ni ndefu wakitaka wanaweza kulifanya bunge letu lipitishe sheria ya wanaume wote Tanzania kufuga midevu
Utawala wa kifalme wa saudia ni kioja.
 
IMG_1507.GIF
Qatar ni miongoni mwa nchi inayowafadhili akina nyinyi(IS/ISIS/ISIL)
MIMI NI GODDESS ISIS! Google basi kidogo!
 
America biggest military base in the middle-east is in Qatar that is enough to tell you know one can do anything in that land for now.
 
Qatar ata-surrender! this thing is so massive. Hata multi-trilion projects, among others linked to Qatar world cup 2022, is in jeopardy. Lazima wataomba poo!
 
Qatar ata-surrender! this thing is so massive. Hata multi-trilion projects, among others linked to Qatar world cup 2022, is in jeopardy. Lazima wataomba poo!
Kuna large trade deficit kati ya EU-GCC total on goods in 2016 amounted to €138.6 billion. In 2016, EU exports to the GCC amounted to €100.8 billion. In the meantime, EU imports from the GCC accounted for only €37.7 billion, generating a significant trade surplus for the EU.

Gulf region - Trade - European Commission

Na hapo ukikwangua utakuta wanaofaidika na hiyo trade ni usual suspect UK, Germany, France. On the other hand wao wana import gas kwa kiasi kikubwa katika zama hizi ambazo wanatafuta namna ya kupunguza Russia reliance wanakila sababu ya kuona hizo nchi zinatatua migogoro yao soon as possible.
 
Sikatai kama Qatar anachukua chakula saudia, ila Iran ndio anaingiza chakula kwa wingi zaidi ya saudia, naomba utambue kuhusu chakula Qatar hawatatetereka hiyo sio nchi maskini wanapesa wanamadege ya uhakika kufika kokote duniani kufata chakula, kwa raia wa kawaida wa Qatar wana maisha mazuri na bora kuzidi saudia kwa mbali, Qatar atafungua mipaka na nchi kibao hata kama wasaudia wataondoka nakuhakikishia Qatar hatasalimu amri, nchi ndogo hata iran pekee anaweza kuilisha kwa 100 % hata miaka 20
Of course chakula chakul ila bei itaongezeka , 40% ya chakula kinapitia saudi kwa nchi kavu ,'kwa hiyo iitabidi ndege na meli kutumika ,
 
Na kama sijakosea pato la raia wa Qatar ndo liko juu kuliko nchi zote duniani inavyoonekana hawa Qatar wako vizuri sana kiuchumi
Qatar zamani walikuwa masikini saana baada ya ugunduzi mafuta na gesi wakawa matajiri
 
Qatar Airwaya wamenyanganywa Leseni ya Kuruka Saudi

Phillipines wamepunguza wafanyakazi Qatar

Qatar itadondoka tu
 
Hebu acha utani, Saudi Arabia ni super power kiuchumi wakifuatiwa na UAE katika Gulf, Qatar ni nchi ndogo sana kama mji mmoja tu wa Saudia. Lazima ujuwe land border wanategemea wa Saudia na UAE na hii imefungwa. Qatar ni fund mkubwa wa Hezbollah na muslim brotherhood. ziara ya Trump juzi ni big deal na price ni kuget rid ya mfalme wa Qatar na hili lina green light ya USA na utaniambia siku chache utasikia mfalme out na things back to normal. Qatar ni tatizo kubwa ki nchi hata Dar kubwa basi fujo tu ila wakati wao umefika. na kukumbusha tu Qatar ina history ya kufukuzana katika ufalme Baba yao alipindulia na mtoto wake na huyu alimtoa baba yake na hii ni zamu yake. mark my world.
Qatar ni ndogo sawa, Qatar ana mkataba na turkey kwa ajili ya ulinzi , mbona saudi wanaipa funds IS , hatusikii kelele ,Qatar wanapenda na kuunga mkono haki popote pale , hao wengine ni wanafiki tu
 
Qatar Airwaya wamenyanganywa Leseni ya Kuruka Saudi

Phillipines wamepunguza wafanyakazi Qatar

Qatar itadondoka tu
Sasa hao phillipines wataumia wenyewe, Qatar yuko karibu na iran, turkey na syria , iran ina watu 80m, turkey 75-80M
 
Back
Top Bottom