Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Kwanza Libya hakuna serikali...lakin pia hao majamaa wa Qatar ndio walishiriki kikamilifu kuandaa mamluki kupigana vita dhidi ya ghadaf..sasa wanaponyukana tena inashangaza
 
Walichobakiza n kubomoana tu tgo
Wajinga hawa
 
Sasa naona baba anamrahisishia mtoto barrier middle east! Barrier kwa mtoto zimebaki mbili Pakistani na Iran ...sasa mtoto ataingia mpaka chumbani Tegemeeni US kukua kiuchumi maana atasema nasululisha mgogoro ...hii MAGA lazma itimie tu... republicans sijuw wakoje. Bila Putin saiv anga la Middle east na Pacific lingekua jeusi...china muoga sana.
 
Mr Hero Hiyo comment yako hapo juu usije uka i edit.... Hawa Qatar mda si mrefu watasalimu amri.... Qatar naitengemea 40% ya chakula kutoka Saudia Arabia.... Saudia amesha funga mpaka wake hamna tena kupitisha chakula kueleke Qatar.... Baadhi ya Mashirika ya ndege yamesha wapiga ban hatatumia tena viwanja vyao.... Wasaudia, wenye maduka makubwa hapo qatar wamesha anza kuyafunga wanaondoka.... Hapo raia wa Qatar watengemee mfumoko wa bei.... Hali hiyo raia watataka wa badilishiwe uongozi hapo ndiyo itakuwa mwisho wa Qatar...

Bei ya chakula qatar ni ghali raia wanapanda ndege hadi saudia ambako bei ya vitu vipo bei rahisi...Syria ya pili hiyo inakuja...
Sikatai kama Qatar anachukua chakula saudia, ila Iran ndio anaingiza chakula kwa wingi zaidi ya saudia, naomba utambue kuhusu chakula Qatar hawatatetereka hiyo sio nchi maskini wanapesa wanamadege ya uhakika kufika kokote duniani kufata chakula, kwa raia wa kawaida wa Qatar wana maisha mazuri na bora kuzidi saudia kwa mbali, Qatar atafungua mipaka na nchi kibao hata kama wasaudia wataondoka nakuhakikishia Qatar hatasalimu amri, nchi ndogo hata iran pekee anaweza kuilisha kwa 100 % hata miaka 20
 
Sipati picha kwenye world cup mfano mojawapo ya nchi hizo mahasiimu wa Qatar wakifuzi wataenda kushiriki kweli
 
Mr Hero Hiyo comment yako hapo juu usije uka i edit.... Hawa Qatar mda si mrefu watasalimu amri.... Qatar naitengemea 40% ya chakula kutoka Saudia Arabia.... Saudia amesha funga mpaka wake hamna tena kupitisha chakula kueleke Qatar.... Baadhi ya Mashirika ya ndege yamesha wapiga ban hatatumia tena viwanja vyao.... Wasaudia, wenye maduka makubwa hapo qatar wamesha anza kuyafunga wanaondoka.... Hapo raia wa Qatar watengemee mfumoko wa bei.... Hali hiyo raia watataka wa badilishiwe uongozi hapo ndiyo itakuwa mwisho wa Qatar...

Bei ya chakula qatar ni ghali raia wanapanda ndege hadi saudia ambako bei ya vitu vipo bei rahisi...Syria ya pili hiyo inakuja...
Hila Qatar wako sahihi saana sema hao arabs league states viongozi ni madikteta na vibaraka wa wazungu , Qatar ana mkataba na uturuki wa kuilinda
 
Kidudu mtu kaingia., Lakini lakushangaza kwanini nchi za kiislamu zinakubali kirahisi kushawishiwa na Western? Marekani alitaka kuwafarakanisha China na Korea Kaskazini, pia Japan na Korea kaskazini akagonga mwamba sasa ameona aje atikise dola za kiislamu.
 
Hizi nchi bwana zinachekesha,nadhani Qatar akichukua hatua wataumia zaidi wengine, hapo ataebaki salama ni Emirate tu lakini nchi zingine zinaihitaji sana Qatar, ikiwa doha wakiamua kuwatimua raia wote wa Egypt, Bahrain,Yemen, saudia na uae, nani ataathirika? Egypt, Yemen, na Bahrain wataumia zaidi kwa sababu Qatar hahitaji chochote toka nchi hizo zaidi ya nchi hizo kujaza wafanyakazi Qatar, wanapotaka Qatar akate uhusiano wake na Iran, wakati Iran ndio anailisha Qatar, nasikia fly dubai,etihad,na fly emirate wanakata safari za doha, Qatar air wana ndege zaidi ya 300 hawana wasiwasi tena wataongeza route zaidi duniani na hayo makampuni ndio yatapungukiwa safari, hii vita sioni dalili ya doha kusalimu amri
Well said
 
poor Arabs.
wana roho mbaya sana hawa acha wamalizane tumtegemee Libya mwingine soon
 
Mr Hero Hiyo comment yako hapo juu usije uka i edit.... Hawa Qatar mda si mrefu watasalimu amri.... Qatar naitengemea 40% ya chakula kutoka Saudia Arabia.... Saudia amesha funga mpaka wake hamna tena kupitisha chakula kueleke Qatar.... Baadhi ya Mashirika ya ndege yamesha wapiga ban hatatumia tena viwanja vyao.... Wasaudia, wenye maduka makubwa hapo qatar wamesha anza kuyafunga wanaondoka.... Hapo raia wa Qatar watengemee mfumoko wa bei.... Hali hiyo raia watataka wa badilishiwe uongozi hapo ndiyo itakuwa mwisho wa Qatar...

Bei ya chakula qatar ni ghali raia wanapanda ndege hadi saudia ambako bei ya vitu vipo bei rahisi...Syria ya pili hiyo inakuja...
Unajua kwamba Qatar ndio nchi ya kwanza duniani kwa kuwa na GDP kubwa.?
 
We huijui Qatar nakwambia hakuna nchi ya kiarabu inayoweza kusimamia nayo kwa kila kitu yani kuanzia uchumi.
Wengi wanadhani Qatar atatetereka kwa hili, ingekuwa Qatar kawekewa vikwazo hivi na western countries ingemuathiri sana Qatar na ingekuwa pigo kubwa kwa uchumi, ila hawa Egypt, Yemen, Bahrain, saudia, wao wanaihitaji mno Qatar kuliko inavyowahitaji wao, kwanza hakuna raia wa Qatar anafanya kazi nchi hizo labda balozi tu, ila wao wamejazana Qatar
 
Kidudu mtu kaingia., Lakini lakushangaza kwanini nchi za kiislamu zinakubali kirahisi kushawishiwa na Western? Marekani alitaka kuwafarakanisha China na Korea Kaskazini, pia Japan na Korea kaskazini akagonga mwamba sasa ameona aje atikise dola za kiislamu.
Wajinga. Qatar amewaambia waangalie mustakbali wa mataifa yao Libya ni vita, Yemen ni vita, Palestine ni vita. Tatizo saudia anawaburuza Hawa wengine kwa maslahi yake binafsi, marekani na Israel. Qatar wamekuwa tofauti nao shida imeanzia hapo
 
We huijui Qatar nakwambia hakuna nchi ya kiarabu inayoweza kusimamia nayo kwa kila kitu yani kuanzia uchumi.
Hebu acha utani, Saudi Arabia ni super power kiuchumi wakifuatiwa na UAE katika Gulf, Qatar ni nchi ndogo sana kama mji mmoja tu wa Saudia. Lazima ujuwe land border wanategemea wa Saudia na UAE na hii imefungwa. Qatar ni fund mkubwa wa Hezbollah na muslim brotherhood. ziara ya Trump juzi ni big deal na price ni kuget rid ya mfalme wa Qatar na hili lina green light ya USA na utaniambia siku chache utasikia mfalme out na things back to normal. Qatar ni tatizo kubwa ki nchi hata Dar kubwa basi fujo tu ila wakati wao umefika. na kukumbusha tu Qatar ina history ya kufukuzana katika ufalme Baba yao alipindulia na mtoto wake na huyu alimtoa baba yake na hii ni zamu yake. mark my world.
 
Sikatai kama Qatar anachukua chakula saudia, ila Iran ndio anaingiza chakula kwa wingi zaidi ya saudia, naomba utambue kuhusu chakula Qatar hawatatetereka hiyo sio nchi maskini wanapesa wanamadege ya uhakika kufika kokote duniani kufata chakula, kwa raia wa kawaida wa Qatar wana maisha mazuri na bora kuzidi saudia kwa mbali, Qatar atafungua mipaka na nchi kibao hata kama wasaudia wataondoka nakuhakikishia Qatar hatasalimu amri, nchi ndogo hata iran pekee anaweza kuilisha kwa 100 % hata miaka 20
Na kama sijakosea pato la raia wa Qatar ndo liko juu kuliko nchi zote duniani inavyoonekana hawa Qatar wako vizuri sana kiuchumi
 
Ndugu yangu mimi nimeishi nchi hizo zote kasoro Yemen, nazijua nje ndani kwahiyo nafahamu vizuri mgogoro huu wataoumia,

Kama umewahi ishi nchi hizo emu niambie kwanini Saudia wamekuwa na power kuifungia Aljazeer lakini Qatar wakawa tofauti? na kutishia na wao kuzuia safari za ndege la shrika la Qatar airways kutua Saudia? Kile Kituo cha Aljazeer kilikuwa kinarusha matangazo yake nchi gani na mmiliki ni nani mapaka Saudia amekuwa na ubavu??
 
Back
Top Bottom