SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,074
Aljazeera ipo Doha,Saudia wameifungia isirushe matangazo kwao,ila Aljazeera inaendelea kurusha matangazoKwanini Saudia amekuwa na power kuifunga Aljazeer? hili shirika likifanya kazi zake katika nchi gani baina ya hizi nchi mbili? mmiliki ni nani?
