Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Ni per capital gdp na sio nominal.jifunzi kujua izo gdp.ni sawa na norway inaizid ujeruman kwa per caputal lakin nominal ujeruman ipo juu
Ndio nazungumzia per capital income
 
Hili la Qatar ni option B ya kujaribu kuyaondoa mashindano ya Kombe la Dunia yasifanyike Qatar! Nchi za Ulaya na Marekani zina wivu wa ajabu katika maendeleo ya uchumi dhidi ya mataifa hasimu kwao! Sishangai baada ya muda utasikia sauti za kuzuia mashindano hayo yasifanyike Qatar! Wajinga hapa jukwaani wanaaminishwa na kuimba juu ya ugaidi! Eti Qatar inafadhili ugaidi! Qatar haiwezi kuizidi Irani na Saudi Arabia katika kufadhili ugaidi!
Aisee wanatofautiana waarabu, wanalaumiwa wazungu!! Sasa waliopanga ilo kombe la dunia lifanyike Qatar sio ndio hao hao wazungu, wakina sepp blatter. Mbona mnapenda kutafuta wa kuwasingizia matatizo yenu nyie waarabu weisi?
 
Nchi za Gulf zenye watu maskini zaidi saudia, Bahrain, nchi za Kuwait, Qatar, emirate na Oman watu wake wana mazuri sana kuzidi hao wasaudia, ukitaka kujua warabu ombaomba nenda emirate na Qatar na utakuta ni wasaudia
Inaelekea wewe ni shia. Unaandika kama vile wengine hawazijui hizo nchi
 
Inaelekea wewe ni shia. Unaandika kama vile wengine hawazijui hizo nchi
Huo ushia na usunni ndio uliofikisha warabu hapo walipo, saudia aliingia Yemen kutafuta nini? Bahrain kafata nini na mwenzake iran?
 
Inaelekea wewe ni shia. Unaandika kama vile wengine hawazijui hizo nchi
Nilijua utafikiria hilo , mimi ni sunni , sema sijali saana hayo matabaka ,kwa hiyo kama unaisapoti saudi kwa sababu ni sunni basi umeliwa ,tuache ubaguzi sisi sote ni wamoja , kama issue ingekuwa sunni na shia basi Qatar hasingegombana na saudi kwani wote ni wasunni wanaofuata salafi version ,kwa hiyo lets focus to the matter , binafsi wanauonga mkono iran naona hawa jamaa zetu wa sunni wametuangusha saana kazi yao kujipendekeza kwa US hili wasitolewe madarakani huo ufalme wa saudi unaosifu ww , ingekuwa iran anajali usunni na ushia hasingewasapoti palestine kwani wengi ni sunni, hao saudia umesikia hata sikumoja hakiikemea israel kwa jinsi inavyowafanjia wapalestine
 
Mkùu na ndivyo ilivyo yaan damu ya gadafi haitawaacha salaama njama za kuuangamiza utawala wa ghadafi ulifanyikia hapo qatari na sasa naona ni zamu yake sasa kuonja shubiri
Yaani wameanza kufarakana wao kwa wao tena badala ya kuungana!!!!
 
Back
Top Bottom