FIFA huru iliondoka na Blatter! Waliowekwa sasa wapo kama vibaraka wa makampuni makubwa ya ulaya na Marekani kwa lengo la kufanya biashara kubwa na zenye faida ya haraka kwa kuitumia FIFA!Bahati mbaya FIFA ni chombo huru ambacho hakiendeshwi na siasa. World cup 2022 Qatar itafanyika despite of what is happening.
Sidhani kama kbc ya kenya ikifungiwa kurusha matangazo yake Tanzania wanachi wataadhirika kwa lolote pia Saudia wanayo bigger news houses ambazo zinawatosheleza.Hihilo pia lipo , lakini wa wananchi wa saudi pia wanakosa habari
Hahahaha, nimekukosea nini mwanakwetu?Chanzo cha yote ni wewe
Sep Blatter aliondolewa kwa tuhuma za rushwa.FIFA SI CHOMBO HURU.
Rejea sekeseke za kumuondoa Sep Blater
Je vyombo vya FIFA vilishindwa kumuwajibisha?Ni USA ndo waliotia miguu UswiziSep Blatter aliondolewa kwa tuhuma za rushwa.
Hii issue ni FIFA ndo wamedili nayo mwanzo ni marekani waliwakamata lakini ni kwa maelekezo ya FIFA.Je vyombo vya FIFA vilishindwa kumuwajibisha?Ni USA ndo waliotia miguu Uswizi
Wapambe.
Ila hata bongo,ardhi yote ni ya RAIS
Waarabu wendawazimu kabisa!Serikali ya Saudia imesimamisha urushaji matangazo na kufunga ofisi za kanali ya televishani ya al-Jazira inayomilikiwa na Qatar nchini humo.
Taarifa iliyotangazwa leo na viongozi wa Saudia imewataka wafanyakazi wote na waandishi wa habari wa kanali hiyo ya Qatar wenye uraia wa Saudia ambao wanaishi nje ya nchi, kurejea nyumbani haraka iwezekanavyo.
Kufuatia hali hiyo, serikali ya Qatar nayo imejibu mapigo kwa kusimamisha safari za Shirika la Ndege la Qatar Airways kwenda nchini Saudia, sambamba na kuwataka raia wanaoishi nchini Saudia kurejea nchini.
Kadhalika Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetangaza kuwa, uamuzi wa Saudia, Imarat, Bahrain, Misri na Libya wa kukata mahusiano na Doha, kamwe hautoathiri kwa namna yoyote maisha ya kawaida ya raia wake au watu wanaoishi ndani ya ardhi hiyo (Qatar.)
Kauli hiyo imetolewa kufuatia uamuzi wa nchi hizo za Kiarabu kutangaza mapema leo kukata mahusiano yao na Qatar ambapo serikali ya Doha imesema kuwa, uamuzi huo umechukuliwa kwa pupa na kwamba madai yaliyochukuliwa na Saudia dhidi yake hayana msingi wowote.
Source: Parstoday.sw
Ni kweli,ila kwa miaka mitano hiyo anaweza kuifanya chochote apendavyo hiyo ardhi.Ila bongo RAISI anachaguliwa kwa miaka mtano au kumi. Nabaada ya hapo anakuja RAISI/mmliki mwingine. Hiyo nitofauti kubwa sana maana al-saud family wamekwama nao tena jinsi trump ananyo wauzia silaa ndio basi tena. Nchi nyingi za kiarabu na waislam hawaupendi huo ukoo. Ila na ukoo huo nao umeamua kujiwekea mizizi .
Mmeshaanza kusingizia wazungu! Saudi Arabia wanapo chinja watu hadharani nayo mtalaumu USA?hivi walishawai kuungana? waarabu wanagawanywa na mapebari hasa USA,unashanga eti Saudi zinaiva sana na USA kuliko na Iran.
Unaota ndoto nini? Eti Marekani kufutwa ktk uso wa dunia! Unapoona waarabu wanakosana, hasa na nchi yenye chimbuko la uislamu! Basi jua hiyo dini ndiyo ina angamia taratibu na itatokomezwa sababu imeleta matatizo sana duniani.Amemshindwa kwa NK ameamua apitie kwa Qatar ajui kwamba Iran na NK pamoja na Russia ukiongeza na laana za Gaddaf hawatamuacha salama mmarekani......
Huu ni Muda wa kuifuta marekani kwenye uso wa dunia...
wazungu kiboko sana,hasa kubwa lao USA....just wondering y now after trump visited the middle east,not coincidence kumbuka pia wazungu walipinga san Qatar kupewa world cup 2022 kwa kulipiza kisasi wakafanya figisu wakamngoa BlatterMmeshaanza kusingizia wazungu! Saudi Arabia wanapo chinja watu hadharani nayo mtalaumu USA?
Kuna Dalili Za Kivita Huko