Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Saudia yaifungia Al Jazeera ya Qatar

Ndugu yangu mimi nimeishi nchi hizo zote kasoro Yemen, nazijua nje ndani kwahiyo nafahamu vizuri mgogoro huu wataoumia,
Qatar kina raia hawafiki hata laki 4 lazima GDP itakuwa juu kutokana na revenue yao. Qatar wataomba wenyewe suluhu na utasikia tu King kapigwa chini mbona sio mara ya kwanza.
 
Hebu acha utani, Saudi Arabia ni super power kiuchumi wakifuatiwa na UAE katika Gulf, Qatar ni nchi ndogo sana kama mji mmoja tu wa Saudia. Lazima ujuwe land border wanategemea wa Saudia na UAE na hii imefungwa. Qatar ni fund mkubwa wa Hezbollah na muslim brotherhood. ziara ya Trump juzi ni big deal na price ni kuget rid ya mfalme wa Qatar na hili lina green light ya USA na utaniambia siku chache utasikia mfalme out na things back to normal. Qatar ni tatizo kubwa ki nchi hata Dar kubwa basi fujo tu ila wakati wao umefika. na kukumbusha tu Qatar ina history ya kufukuzana katika ufalme Baba yao alipindulia na mtoto wake na huyu alimtoa baba yake na hii ni zamu yake. mark my world.

Kwanini Saudia amekuwa na power kuifunga Aljazeer? hili shirika likifanya kazi zake katika nchi gani baina ya hizi nchi mbili? mmiliki ni nani?
 
Usiangalie nguvu ya kiuchumi kwa ukubwa wa eneo la mraba. Unaijua nchi inaitwa Luxembourg? Angalia uchumi wake na ni nchi ndogo sana yenye population isiyofika hata laki 7 . ukubwa wa eneo si tatizo. Saudi Arabia ukiondoa miji mi kubwa bado wana maeneo mengi ya vijiji ambao wananchi masikini ni wengi tu.
 
Saudi Arabia watamtoa mfalme karibuni kama walivyofanya nyuma na pia lazima ujuwe hawa wanashabiana sana wana makabila sawa na ukweli Qatar hawezi kupambana na Saudi na UAE. hii ni plan to overthrow the King of qatar.
 
Kama umewahi ishi nchi hizo emu niambie kwanini Saudia wamekuwa na power kuifungia Aljazeer lakini Qatar wakawa tofauti? na kutishia na wao kuzuia safari za ndege la shrika la Qatar airways kutua Saudia? Kile Kituo cha Aljazeer kilikuwa kinarusha matangazo yake nchi gani na mmiliki ni nani mapaka Saudia amekuwa na ubavu??
Kilichofungiwa saudia ni local office ya aljazeera ni kama leo Magufuli afungie ofisi za BBC Swahili hapo dar. Alajazeera media inamilikiwa na utawala wa kifalme wa Qatar na HQ ni Doha Qatar
 
Qatar kina raia hawafiki hata laki 4 lazima GDP itakuwa juu kutokana na revenue yao. Qatar wataomba wenyewe suluhu na utasikia tu King kapigwa chini mbona sio mara ya kwanza.
Acha uongo Qatar population yake ni zaidi ya laki 4
 
Sina sababu ya kuwa muongo ina jumla ya 2.5 million almost 2.1 ni wageni raia wenyewe ni hiyo number.
 
Kilichofungiwa saudia ni local office ya aljazeera ni kama leo Magufuli afungie ofisi za BBC Swahili hapo dar. Alajazeera media inamilikiwa na utawala wa kifalme wa Qatar na HQ ni Doha Qatar

Shukran.,
 
Na mwezi wa mfungo lakini watu wanafarakana......saudia kama vipi wawazuie na watu wa qatar kwenda kuhiji macca
 
Tatizo ni ukoo wa kifalme saudi arabia. Huu ukoo pesa yao ni ndefu wakitaka wanaweza kulifanya bunge letu lipitishe sheria ya wanaume wote Tanzania kufuga midevu
Labda wewe ndo wanaweza kukuamulia hayo
 
kuvurugana kwa mwarabu ndio furaha ya mmarekan na nduguye israel
Na Israel tayari wametoa official statement kukubaliana na maamuzi ya saudia na wenzake kuvunja uhusiano na Qatar.
Tatizo hapa ni msimamo wa Qatar dhidi ya ubeberu wa marekani na Israel kwa Palestine mashariki ya kati. Hao wengine mi naona kama wanaburuzwa tu
 
Jamani anayeufahamu huu mgogoro kwa kina na sababu zake atuwekee wengine tuujue..!!!
 
Usiangalie nguvu ya kiuchumi kwa ukubwa wa eneo la mraba. Unaijua nchi inaitwa Luxembourg? Angalia uchumi wake na ni nchi ndogo sana yenye population isiyofika hata laki 7 . ukubwa wa eneo si tatizo. Saudi Arabia ukiondoa miji mi kubwa bado wana maeneo mengi ya vijiji ambao wananchi masikini ni wengi tu.
Nchi za Gulf zenye watu maskini zaidi saudia, Bahrain, nchi za Kuwait, Qatar, emirate na Oman watu wake wana mazuri sana kuzidi hao wasaudia, ukitaka kujua warabu ombaomba nenda emirate na Qatar na utakuta ni wasaudia
 
Kama umewahi ishi nchi hizo emu niambie kwanini Saudia wamekuwa na power kuifungia Aljazeer lakini Qatar wakawa tofauti? na kutishia na wao kuzuia safari za ndege la shrika la Qatar airways kutua Saudia? Kile Kituo cha Aljazeer kilikuwa kinarusha matangazo yake nchi gani na mmiliki ni nani mapaka Saudia amekuwa na ubavu??
Hivi Qatar anahitaji nini saudia zaidi ya chakula? Kwa nchi yenye pesa kama Qatar unaweza kutishia kutowauzia chakula? Na pesa yao? Sasa hao wakulima waliokuwa wanatumia soko la Qatar watapeleka wapi mazao yao? Iran na nchi za Africa zitaingiza chakula kwa wingi,
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom