GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,468
Nlivyoiona hii topic tu moja kwa moja nikashuka kwenye comments…
Sawa Mkuu Sasa hao waliyo apishwa baada ya uchaguzi kwa vitabu vyao !! Ndo wanayo haki ya kuwalaza na kuwaanika juani na kunyeshewa mvua watu wa Mkwajuni na Jangwani !!! Huo si ubaguzi wa kibinaadamu!!Hii mada ingalikuwa nzuri ingaliletwa na hoja iso ajenda ya ukabila na dini. Changamoto yangu na hii mada haina lengo la kuunga mkono vitendo ya serikali ya Saudia na hilo nilitanguliza mwanzo kabisa katika maandishi yangu. Ninachopinga hapa ni stereo typing dhidi ya waandishi wanaojipa haki ya kuambatanisha vitendo vya serikali hio na Uislam au Kabila la Waarabu. Na hili ndio limewashika ndugu zetu wengi wa Kikristo katika JF na hata katika jamii.
Kule Hiroshima (Nuclear), Vietnam (Agent Orange), Cambodia ( Killing Fileds) hapo zamani na miaka ya hivi karibuni Intrahamwe wa Ruwanda na Antibalaka (Animists) wa CAR wamefanya ukatili wa Kimbari hatuajona watu kulaani hapa kwa ukabila wa dini. Huu ndio udhaifu wa mtoa mada na wanao endeleza hii ajenda ya udini na ukabila.
Na kusema vitendo vya nchi hizo havihusiani na dini sawa lakini kila kiongozi wa nchi hizi anapoapishwa haapishwi kwa kushikilia Katiba bali Kitabu Kitakatifu ama Biblia au Qur'an au Taurat au Veda. Hatujamwona kiongozi hata mmoja akishilia, mti au mnyama au tunguli kuwa mtiifu na kuilinda katiba na nchi yake.
There is a country in the Middle East where 10 percent of the population is denied equal rights because of their race, where black men are not allowed to hold many government positions, where black women are put on trial for witchcraft and where the custody of children is granted to the parent with the most “racially superior” bloodline.
This Apartheid State is so enormously powerful that it controls American foreign policy in the Middle East even as its princes and princesses bring their slaves to the United Kingdom and the United States.
That country is Saudi Arabia.
Saudi Arabia abolished slavery in 1962 under pressure from President Kennedy, who accomplished what the Ottoman Empire and the League of Nations had not been able to, but that hasn’t stopped its citizens fromselling castrated slaves on Facebook or its princes from beating their black slaves to death in posh London hotels.
The Saudis had clung to their racist privileges longer than anyone else. When rumors reached Mecca that the Ottoman Empire might be considering the abolition of African slavery and equal rights for all, the chief of the Ulema of Mecca issued a fatwa declaring “the ban on slaves is contrary to Sharia (Islamic Law)... with such proposals the Turks have become infidels and it is lawful to make their children slaves."
But Saudi Arabia’s oil wealth eventually made slavery economically unnecessary. Early on, African slaves worked for foreign oil companies which paid their masters, but they were a poor fit for the oil economy. The Kingdom no longer needed agricultural slaves and pearl drivers; it needed trained technicians from the West and international travel made it cheaper to import Asian workers for household labor and construction than to maintain its old trade in slaves.
The Saudis replaced the 450,000 slaves of the 1950s with 8.4 million guest workers. These workers are often treated like slaves, but they are not property and are therefore even more disposable than the slaves were. Exact numbers are hard to come by, but Nepal alone reported 265 worker deaths in Saudi Arabia in a single year.
Human Rights Watch has described conditions for foreign workers in Saudi Arabia as resembling slavery.
Meanwhile the three million Afro-Saudis are denied equal rights, prevented from serving as judges, security officials, diplomats, mayors and many other official positions. Afro-Saudi women are not allowed to appear on camera.
“There is not one single black school principal in Saudi Arabia,” the Institute for Gulf Affairs, a Saudi human rights group, reported.
Kafa'ah, equality in marriage, is used to establish that both sides are free from the “taint” of slave blood. The blood of Takruni, West African slaves, or Mawalid, slaves who gained their freedom by converting to Islam, is kept out of the Saudi master race through genealogical records that can be presented at need.
Challenges to the Kafa'ah of a marriage occur when tribal members uncover African descent in the husband or the wife after the marriage has already occurred. The racially inferior party is ordered to present “proof of equality” in the form of family trees and witnesses. If the couple is judged unequal, the Saudi Gazette reported, “Children’s custody is usually given to the ‘racially superior’ parent.”
These Saudi efforts at preventing their former slaves from intermarrying with them have only accelerated their incestuous inbreeding. In parts of Saudi Arabia, the percentage of marriages among blood relativescan go as high as 70%.
Saudi Arabia has the second highest rate of birth defects in the world, but a Saudi Sheikh blamed this phenomenon on female drivers, even though women are not allowed to drive in Saudi Arabia.
Source: frontpagemag.com
We unafikiri kwa nini wa Iraq,Syria etc wanakimbilia Europe na sio Saudia?Ngoja waje wasaudi arabia weusi waliozaliwa vizaz na vizaz africa. Wataitetea nchi yao hasa tena kwa kutokwa na mate na mishipa usoni kusimama wakitoa na mifano wa mataifa mengine ya ulaya na marekani to justify their stupidity. Wazungu ni wabaguzi ila waarabu ni wabaguzi na wakatili sana tena sana.
Kwa sababu wengi ni Wayahudi na WaKristoWe unafikiri kwa nini wa Iraq,Syria etc wanakimbilia Europe na sio Saudia?
so ? its ok yanayofanyika saudi arabia kwa kuwa na kwingine yanafanyika? see? nlisema watakuja wasaudi arabia hapa weusi kuliko mimi ambao watatetea huu ujinga wa kunyonga watu 151 mwaka jana kuanzia jan mpa feb. hizo nchi ulizotaja hakuna nchi ya kikristo hapa. we unaweza nitajia nchi ya kikristo katika hizo? sisi tunakutajia nchi ya kiislamu tena nchi takatifu kama jamaa yangu mmoja ambaye ni msaudia mweusi anavyojinasibu. israel kumkana yesu au masihi hawakuanza leo ni toka miaka 2000 iliyopita kwa kutumia kalenda inayotumika dunia nzima. ni utabiri ambao ulitabiria na ulitokea kwa makusudi kabisa . so hamna ajabu hata wao kuukataa ukristo kwa kuwa wayahudi si waliouleta ukristo na israel si taifa la kikristo hata kidogo. so wanayo madhaifu mengi tu ambayo kama wangekuwa ni nchi ya kikristo tungeshangaa maana kwenye ukristo nasikia kumeandikwa usiue na umpende hata adui yako.
saudi arabia ni nchi yenye kuongozwa kwa misingi ya dini gani? basi kwa nini wawe wabaguzi na wakatili hivi? usa inaongozwa kwa misingi ya dini gani?
Kama alisisitiza upendo kwa nini aliyemsalita,anayeitwa Yuda alikufa kifo kibaya na kumlaani?Ngoja nikwambie kitu ambacho nadhan wewe unaona ni kigumu sana. Yesu alisisitiza sana Upendo na msamaha. Nadhan kama umewahi kuwasikisikia wakristo Yesu mwenyewe aliomba akisema "UWASAMEHE MAANA HAWALIJUI WALITENDALO" huo ndo msingi wa upendo kuwasamehe wanaokukosea. HIZO HABARI ZA JICHO KWA JICHO jino kwa jino kwa miaka hii pasipo unafiki nani angebaki na viungo hivyo? wewe unayetaka kumchinja mtu kwa sababu ana iman tofaut na wewe au labda amezini unampiga mawe wewe kuna dhambi ngapi umefanya? so hizi ni sheria z kinafiki,kishetani na kizandiki. mataifa ya israel,marekani n.k kama yangekuwa ya kikristo yasingekuwa yanafanya huo uovu unaousema.
kuwa mkristo is kuitwa john. kuwa mkristo ni matendo ya kikristo ambayo yanajengwa na msingi mkubwa wa upendo na kusamehe saba mara sabini. Biblia inasema "msilipe kisasi, iacheni ghadabu ya Mungu maana kisasi ni juu yake" huu ndo msingi wa kikristo na roho ya kikristo.
sasa mimi sitaki kuuongelea uislamu maana hapa si mahali pake ila kaam ukitaka tuongelee hizi dini nzuri kwa kuelimishana na kisomi mi nipo tayari maana naijuia kuran naijua biblia. nitaelezana nawe kwa aya na maelekezo mujarab kuhusiana na aya hizo.
mimi binafsi sina tatizo na uislamu, uhindu,upagan n.k maana kuna damu ya kislamu upande wangu pia. ila napenda kuwaelimisha wale maamuma wasioijua dini ya kikristo na kiislamu pia. acha hawa wanaojiita waislamu au wakristo kwa majina. Mkristo HAUWI, MKRISTO HALIPIZI KISASI, MKRISTO HABAGUWI. akifanya hayo tayari si mkristo. Muislamu anaruhusiwa kuita wengine kafiri,kuwaua "AKIPIGANIA DINI NA KUMPIGANIA MUHAMAD" Hiyo ni haki yake wala siwezi mlaumu ndo uislamu wenyewe toka misingi ya uenezwaji wake na kwa mujibu wa maandiko yake. so siwezi malumu mtu akilipua wengine kwa sababu ya kuwa amepishana nao kiimani. Ni mkristo Mpumbavu ambaye atagombana nawe kwa kuwa umemtukana Yesu na hatokuwa Mkristo hata kidogo.
anayway...ningekupa falsafa zaidi ya dini hizi mbili lakini hapa si mahali pake ndugu yangu. ila ukitaka zaidi mi nipo nimejaa tele huwa napenda niwafundishe vijana mambo haya maana wengi hawayafaham.ukitaka kuuelezewa kuhusu wayahudi ntakuelezea. na wayahudi pia wakristo waliambiwa wawapende, waarabu pia wakristo waliambiwa wawapende, na wazungu pia wapendwe. so haijalishi walimkubali.walimtkana Yesu walimfanyia nini yeye aliacha amri moja kuu PENDANENI. WE HUONI KAMA DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEPENDANA NA KUSAMEHEANA? KWA Nini tutengeneze dunia yenye watu wenye jicho,mkono guu mmoja mmoja ? eti kulipiza kisasi? KISASI ILIKUJA KUONEKANA NI MPANGO WA SHETANI SIKU ZOTE.
Kutoka na kauli ya Mtoa mada sisi waTanZania ni waauwaji na makatili wakubwa Duniani kwa kuwakatakata na kuwauwa wa Albino.
Watu wengi wana fikiria Uarabu ndio Uislamu.Quraan imeandikwa kwa Lugha ya Mtume Wetu ambaye ni Muarabu.
Waarabu wengi sio waUmini wa DINI ya Kiislam na Wengi ni wakristo na Wayahudi.Nchi za Kiarabu ambazo wa Kristo na Wayahudi Misri,Lebanon,Siria,Jodan na Palestina.
Jamani kabla hamjaandika Utumbo
Someni ELIMU NI BURE
Kama alisisitiza upendo kwa nini aliyemsalita,anayeitwa Yuda alikufa kifo kibaya na kumlaani?
Na mpaka leo Yuda anaitwa msaliti,na hapewi heshima yoyote katika dini yake,na wakati alikuwa karibu na Yesu.
Kwa nini amitwe msaliti na mpaka leo anaitwa msaliti,na kulaaniwa?Mkuu Yuda alijinyonga hakuuawa na Yesu hakuagiza auawe na pia usaliti wa Yuda ni utabiri wa biblia ambao lazma ungetimizwa kama tabiri zingine zilivotimizwa
Wewe unataka aitwe jemedari?tatizo lenu mmezidi kkusifia magaidi waonekane wakomboziKwa nini amitwe msaliti na mpaka leo anaitwa msaliti,na kulaaniwa?
Kama alisisitiza upendo kwa nini aliyemsalita,anayeitwa Yuda alikufa kifo kibaya na kumlaani?
Wewe unataka aitwe jemedari?tatizo lenu mmezidi kkusifia magaidi waonekane wakombozi
Enzi za zamani kule Uingereza wanawake walikatazwa kuendesha baiskeli au kupanda farasi kwa vile vingewapigisha nyeto