Averoes
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 986
- 513
Mtumwa ni wewe unaeishi katika madhila ya uongo na chuki huo ndi utumwa wako tafuta ukweli upate uhuru.Daaaaah!!! Kuna jamaa yangu anaitwa Walid na mtoto wake wa mwisho kampa Hilo jina pia....kumbe Lina maana ya mtumwa aliyebadili dini na kuwa Muislamu. Eeeeeh Mola weee!!!!
Akili