KVM umesema enzi za zaman ambazo ni zaman enzi zile za ujinga. sasa hawaa waaarabu bado wananishi miaka ambayo wenzao walishatoka. we huoni huo ni upumbavu wa kiarabu? sasa mwananmke akiendesha gari kuna ubaya gani hebu nawe nambie sasa tumia akili ndogo tu hata ya madrasa.achana na elimu ya huku juu juu. iwe tu ya kawaida. whts wrong with a woman driving a car? miarabu ni mijitu ya ajabu sana hapa duniani. mi huwa nikiitizamana nashindwa kuelewa na namuuliza hata mzee alikuaje akawa ana ushirikiano na uarabu? maana yeye amekaa sana huko kwao na story zake ni ukatili wao ile mbaya na wanyanyasaji.
nikiangalia jinsi wanavyouana wenyewe kwa wenyewe na kuua wengine.... asalam aleikhum wallah hawa watu wallassh wataenda motoni wengi sana. huwa najiuliza naye muasisi si alikuwa na ukatili wa hivi? anyway hayo tuyaache ila mimi nimeishia egypt tu sijaenda mbali na wale wa kule ndo wana afadhari kuliko miarabu mingine maana wao at least wametokwa na ukungu kidogo