Saudi Arabia: The middle east’s real apartheid state

Hilo li nchi hata sio yani halifai kutembelea hata bure labda ukiwa muislam.Nakumbuka yule prince alimpiga sex slave wake wa kiume mpaka kumuua kule London na hakuchukuliwa hatua yoyote japo uingereza ni moja ya nchi zenye haki sawa duniani. Halafu kuna watu watakuja hapa na kuanza kutoka povu kwamba nchi takatifu ina tukanwa.

Waarabu ni kati ya watu wenye roho mbaya sana duniani. Hata enzi za utumwa ndio waliokua wanyanyasaji wa hali ya juu sana. Hiyo nchi siwezi kwenda huko hata kwa kulazimishwa
 
acha uongo. mimi ni black wa kitanzania nimefanya kazi israe two good years nligundua tu wale watu ni wachapa kazi hasa. tena sana na wazalendo wa nchi yao sijapata ona. kuhusu ubaguzi sijawah na sikuwah kubaguliwa. nimeishi yerusalem, nimeishi beersheba, rishon na nazareth. kiukweli sikuwah ona ubaguzi kama ni utamaduni wao ila huwezi kosa mtu mmoja wawili wakawa hawapo interested sana na wewe.... hata tanzania wapo. hata ukienda ulaya watu wa namna hii wapo. mbona tunabaguana hata weusi kwa weusi huku africa?????????
ni uongo kuwa categorize israel kuwa ni wabaguzi mimi sikuwa myahudi,wala mkristo na walikuwa wakijua dini yangu hawakunitenga na walikuwa marafiki. sema ni watu ambao wapo makini sana kwa security na akili wanayo. sijajua kwa nini...wanapenda kazi sana na wanachapa kazi hakuna mfano.

Katika nchi za Middle East muda huu tulio nao ni Israel ndio iko juu katika ubaguzi wa rangi na dini hasa dhidi ya watu weusi Falasha wa Ethiopia. Na dhidi ya Wakristo
 
KVM umesema enzi za zaman ambazo ni zaman enzi zile za ujinga. sasa hawaa waaarabu bado wananishi miaka ambayo wenzao walishatoka. we huoni huo ni upumbavu wa kiarabu? sasa mwananmke akiendesha gari kuna ubaya gani hebu nawe nambie sasa tumia akili ndogo tu hata ya madrasa.achana na elimu ya huku juu juu. iwe tu ya kawaida. whts wrong with a woman driving a car? miarabu ni mijitu ya ajabu sana hapa duniani. mi huwa nikiitizamana nashindwa kuelewa na namuuliza hata mzee alikuaje akawa ana ushirikiano na uarabu? maana yeye amekaa sana huko kwao na story zake ni ukatili wao ile mbaya na wanyanyasaji.
nikiangalia jinsi wanavyouana wenyewe kwa wenyewe na kuua wengine.... asalam aleikhum wallah hawa watu wallassh wataenda motoni wengi sana. huwa najiuliza naye muasisi si alikuwa na ukatili wa hivi? anyway hayo tuyaache ila mimi nimeishia egypt tu sijaenda mbali na wale wa kule ndo wana afadhari kuliko miarabu mingine maana wao at least wametokwa na ukungu kidogo

Enzi za zamani kule Uingereza wanawake walikatazwa kuendesha baiskeli au kupanda farasi kwa vile vingewapigisha nyeto
 
Ngoja waje wasaudi arabia weusi waliozaliwa vizaz na vizaz africa. Wataitetea nchi yao hasa tena kwa kutokwa na mate na mishipa usoni kusimama wakitoa na mifano wa mataifa mengine ya ulaya na marekani to justify their stupidity. Wazungu ni wabaguzi ila waarabu ni wabaguzi na wakatili sana tena sana.

Wacha kumwaga povu we muke wa mwalabu.

Unasoma mipasho kisha unapayuka ka mbuzi jike.
Wazungu wameendesha Taifa la ubaguzi mpk juzi tu mandela alipochukua nchi na Mpk leo Ndani ya Nchi ya WATU WEUSI kuna sehemu mweusi haruhusiwi Kuingia.

Wapi Ktk Saudi Arabia mtu mweusi haruhusiwi kupita?
Wapi ktk Saudi Arabia Kuna sheria inayoruhusu Mtu kuwa na MTUMWA Bila hiari yake.?
Km kawaida ya wagala mnapenda sana kuropoka ovyo.
 
Copy and paste.
Same all same all.
Garbage with no solid evidence whatsoever.

Wagalatia watu wa ajabu sana.
Wakiskia Kuna Nchi ya kiislamu ina kashfa wanafunga vibwebwe na kucheza mdundiko. Bila kutazama Uhalisia.

Ndani ya Saudi Arabia asilimia 35% ambayo ni zaidi ya WATU MILION 10 NI WAGENI ( Foreigners ) wanaofanya kazi hapo.

Ikiwa nchi hii ni mbaya kiasi hicho kutakuwa na Wafanyakazi WASIO WASAUDIA Milion 10 na ?

Acheni chuki zenu za njaa .
Mtakufa kwa wivu.
 
KVM umesema enzi za zaman ambazo ni zaman enzi zile za ujinga. sasa hawaa waaarabu bado wananishi miaka ambayo wenzao walishatoka. we huoni huo ni upumbavu wa kiarabu? sasa mwananmke akiendesha gari kuna ubaya gani hebu nawe nambie sasa tumia akili ndogo tu hata ya madrasa.achana na elimu ya huku juu juu. iwe tu ya kawaida. whts wrong with a woman driving a car? miarabu ni mijitu ya ajabu sana hapa duniani. mi huwa nikiitizamana nashindwa kuelewa na namuuliza hata mzee alikuaje akawa ana ushirikiano na uarabu? maana yeye amekaa sana huko kwao na story zake ni ukatili wao ile mbaya na wanyanyasaji.
nikiangalia jinsi wanavyouana wenyewe kwa wenyewe na kuua wengine.... asalam aleikhum wallah hawa watu wallassh wataenda motoni wengi sana. huwa najiuliza naye muasisi si alikuwa na ukatili wa hivi? anyway hayo tuyaache ila mimi nimeishia egypt tu sijaenda mbali na wale wa kule ndo wana afadhari kuliko miarabu mingine maana wao at least wametokwa na ukungu kidogo
Maneno meengi ka pashkuna la vingunguti lkn hakuna la maana.

NCHI ZOTE ZA KIARABU wanawake wanaendesha magari kasoro Saudia arabia PEKE YAKE lkn Mpumbavu km wewe akili kuambiwa ulieishi Vijijini toka umezaliwa unadhani Nchi ZOOOTE za kiarabu Ziko sawa.

Ukienda Dubai migalatia km nyie mmetapakaa km siafu.
Wale makafiri wengine mnao waabudu wanatembea na Vichupi pembeni ya bahari za waarabu. Na kila mara wanakamatwa wakifanya ngono beach.

Uhuru unaotaka wewe ni Ule wa Kuruhusu ndoa za jinsia moja na wanakondoo kupigwa mimba ovyo.
Uhuru wa namna hio wa kikafiri Kwa Waarabu ni hukumu ya kifo tu.
Kule hakuna lelemama km nchi za kikafiri.

Eti "nayachukia maarabu"
We muhehe mwenye sura ka jiko la mawe unaekula mbwa na Panya nani anakupenda?

Teh teh teh teh.
Mijitu mingine kujaza vyoo tu.
Ukafiri unakupofua bi mkubwa.
Tembea Uone.
 
Galatian look at the FACT here.
Not fictions.

Jimmy Carter: Israel's 'apartheid' policies worse than South Africa's
9dad4084aa0043e8071128bf540369dc.jpg

Former U.S. president Jimmy Carter said in remarks broadcast Monday that Israeli policy in the West Bank represented instances of apartheid worse even that those that once held sway in South Africa.

5bec8c24ca79f7e92c3a7fa2d8871688.jpg

e37a680fdeae47c69863abe751663849.jpg
 
Kama wasichana wa kihindi watumishi wa ndani Saudia ni kama Jehanam kwao. Wananyanyaswa na hata kuuliwa kila siku na mambo yanaisha kimya kimya. Saudia is a last place of choice to live in this world.
Sio kweli, naona unatabia ya uongo.
 
Wee Ilan Ramon acha uongo, hii thread yako kuhusu Saudi Arabia ni uzushi wa dhahiri kabisa. Please acha tabia ya uongo. (Sio kila kitu kilicho andikwa kwenye internet ni kweli), Tafakari. Acha copy and paste bila proof
 
KVM umesema enzi za zaman ambazo ni zaman enzi zile za ujinga. sasa hawaa waaarabu bado wananishi miaka ambayo wenzao walishatoka. we huoni huo ni upumbavu wa kiarabu? sasa mwananmke akiendesha gari kuna ubaya gani hebu nawe nambie sasa tumia akili ndogo tu hata ya madrasa.achana na elimu ya huku juu juu. iwe tu ya kawaida. whts wrong with a woman driving a car? miarabu ni mijitu ya ajabu sana hapa duniani. mi huwa nikiitizamana nashindwa kuelewa na namuuliza hata mzee alikuaje akawa ana ushirikiano na uarabu? maana yeye amekaa sana huko kwao na story zake ni ukatili wao ile mbaya na wanyanyasaji.
nikiangalia jinsi wanavyouana wenyewe kwa wenyewe na kuua wengine.... asalam aleikhum wallah hawa watu wallassh wataenda motoni wengi sana. huwa najiuliza naye muasisi si alikuwa na ukatili wa hivi? anyway hayo tuyaache ila mimi nimeishia egypt tu sijaenda mbali na wale wa kule ndo wana afadhari kuliko miarabu mingine maana wao at least wametokwa na ukungu kidogo
Wewe mbumbumbu, jaribu kutafakari kidogo, sio inchi zote za kiarabu zinazuia wanawake kuendesha gari, katika inchi za kiarabu ni Saudi Arabia tu ndio hairuhusu wanawake kuendasha gari (na hii ni kanunu ya inchi yao, wewe huna haki ya kuipinga, kama unataka kupinga bora kapinge zile ndoa za jinsia moja zinazo fungishwa makanisani), Tafakari.
 
Acha uzushi,

Zaidi ya nusu ya Wasuudia ni watu weusi, watu weusi hawabaguliwi in Saudi Arabia, hata ukiangalia national teams zao (wachezaji wao wote ni weusi).

Huyu President of Saudi Arabian Football Federation Ahmed bin Eid Al-Harbi ni mweusi, mbona hakubaguliwa? Tafakari..

uploadfromtaptalk1455780626612.jpg

Wapo wengi wenye cheo zaidi ya huyu na wao ni weusi.

Acha Uzushi, wewe ulioanzisha mada hii.
 
Copy and paste.
Same all same all.
Garbage with no solid evidence whatsoever.

Wagalatia watu wa ajabu sana.
Wakiskia Kuna Nchi ya kiislamu ina kashfa wanafunga vibwebwe na kucheza mdundiko. Bila kutazama Uhalisia.

Ndani ya Saudi Arabia asilimia 35% ambayo ni zaidi ya WATU MILION 10 NI WAGENI ( Foreigners ) wanaofanya kazi hapo.

Ikiwa nchi hii ni mbaya kiasi hicho kutakuwa na Wafanyakazi WASIO WASAUDIA Milion 10 na ?

Acheni chuki zenu za njaa .
Mtakufa kwa wivu.
Kweli kabisa bro.
 
In USA ndio watu weusi wanabaguliwa sana wanaonwa kama nyani (sometimes wanapewa ndizi kuwasanif).

Usidhanie vile Obama kapewa uraisi ndio hakuna ubaguzi huko USA, hata huyo Obama sio mweusi, mama yake ni mzungu (kuna ubaguzi wa hali ya juu sana huko USA, mpaka unapo intwa hauitwi kwa jina lako unaitwa black, unaitwa kwa rangi ya ngozi yako, mambo haya hayapo kwenye inchi za Kiisilamu)
 
KVM umesema enzi za zaman ambazo ni zaman enzi zile za ujinga. sasa hawaa waaarabu bado wananishi miaka ambayo wenzao walishatoka. we huoni huo ni upumbavu wa kiarabu? sasa mwananmke akiendesha gari kuna ubaya gani hebu nawe nambie sasa tumia akili ndogo tu hata ya madrasa.achana na elimu ya huku juu juu. iwe tu ya kawaida. whts wrong with a woman driving a car? miarabu ni mijitu ya ajabu sana hapa duniani. mi huwa nikiitizamana nashindwa kuelewa na namuuliza hata mzee alikuaje akawa ana ushirikiano na uarabu? maana yeye amekaa sana huko kwao na story zake ni ukatili wao ile mbaya na wanyanyasaji.
nikiangalia jinsi wanavyouana wenyewe kwa wenyewe na kuua wengine.... asalam aleikhum wallah hawa watu wallassh wataenda motoni wengi sana. huwa najiuliza naye muasisi si alikuwa na ukatili wa hivi? anyway hayo tuyaache ila mimi nimeishia egypt tu sijaenda mbali na wale wa kule ndo wana afadhari kuliko miarabu mingine maana wao at least wametokwa na ukungu kidogo
Waona ajabu wanawake Saudia kutoruhusiwa kjendesha gari,kwa sababu za kiafya,hata wanaume pia duniani kote,wakiwa na matatizo ya kiafya,hawaruhusiwi kuendesha gari.
 
upo unafiki mkubwa sana ndani ya serekali za kidini.eti MECCA watu wa dini tofauti hawaruhusiwi lakini inzi wamejaa!
 
Hakuna nzi huko wala mbu,ni jiji safi la uhakika,na hakuna asiyeruhusiwa,hao wanaojenga huko,mafundi wa ujenzi si waislamu,sasa jiulize,imekuwaje wapo na hawaruhusiwi?
 
acha wongo.WAKRISTO HAWARUHUSIWI KUFIKA MEKA
 
Wanaotetea Saudi Arabia kwa kutoa mifano ya nchi zingine kama Israel, USA, etc nazo zina mambo ya kibaguzi hawana hoja. Mfano, ukituhumiwa na majirani kwamba wewe unamnyanyasa mkeo/mmeo huwezi jitetea kwamba mbona na fulani anafanya kama wewe! Two wrongs don't make right. Saud Arabia ni wakatili sana hasa kwa watu wenye ngozi nyeusi. Hilo halina mjadala.
 
Back
Top Bottom