Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
Wamarekani wanamaliza weusi kwa risasi huko na hakuna hatua yeyote inachuguliwa !saudia ubaguzi upo kwenye damu sio kwa waafrika tu wahindi hata waarabu wenzao wanabaguliwa sana
Wamarekani wanamaliza weusi kwa risasi huko na hakuna hatua yeyote inachuguliwa !saudia ubaguzi upo kwenye damu sio kwa waafrika tu wahindi hata waarabu wenzao wanabaguliwa sana
Hapa kwenu mlifuta sheria ya kunyonga kwa kitanzi !?Mwaka jana a Saudi Arabia imewakata vichwa watu wengi kuliko ISIS ilivyofanya Iraq na Syria.
There is a country in the Middle East where 10 percent of the population is denied equal rights because of their race, where black men are not allowed to hold many government positions, where black women are put on trial for witchcraft and where the custody of children is granted to the parent with the most “racially superior” bloodline.
This Apartheid State is so enormously powerful that it controls American foreign policy in the Middle East even as its princes and princesses bring their slaves to the United Kingdom and the United States.
That country is Saudi Arabia.
Saudi Arabia abolished slavery in 1962 under pressure from President Kennedy, who accomplished what the Ottoman Empire and the League of Nations had not been able to, but that hasn’t stopped its citizens fromselling castrated slaves on Facebook or its princes from beating their black slaves to death in posh London hotels.
The Saudis had clung to their racist privileges longer than anyone else. When rumors reached Mecca that the Ottoman Empire might be considering the abolition of African slavery and equal rights for all, the chief of the Ulema of Mecca issued a fatwa declaring “the ban on slaves is contrary to Sharia (Islamic Law)... with such proposals the Turks have become infidels and it is lawful to make their children slaves."
But Saudi Arabia’s oil wealth eventually made slavery economically unnecessary. Early on, African slaves worked for foreign oil companies which paid their masters, but they were a poor fit for the oil economy. The Kingdom no longer needed agricultural slaves and pearl drivers; it needed trained technicians from the West and international travel made it cheaper to import Asian workers for household labor and construction than to maintain its old trade in slaves.
The Saudis replaced the 450,000 slaves of the 1950s with 8.4 million guest workers. These workers are often treated like slaves, but they are not property and are therefore even more disposable than the slaves were. Exact numbers are hard to come by, but Nepal alone reported 265 worker deaths in Saudi Arabia in a single year.
Human Rights Watch has described conditions for foreign workers in Saudi Arabia as resembling slavery.
Meanwhile the three million Afro-Saudis are denied equal rights, prevented from serving as judges, security officials, diplomats, mayors and many other official positions. Afro-Saudi women are not allowed to appear on camera.
“There is not one single black school principal in Saudi Arabia,” the Institute for Gulf Affairs, a Saudi human rights group, reported.
Kafa'ah, equality in marriage, is used to establish that both sides are free from the “taint” of slave blood. The blood of Takruni, West African slaves, or Mawalid, slaves who gained their freedom by converting to Islam, is kept out of the Saudi master race through genealogical records that can be presented at need.
Challenges to the Kafa'ah of a marriage occur when tribal members uncover African descent in the husband or the wife after the marriage has already occurred. The racially inferior party is ordered to present “proof of equality” in the form of family trees and witnesses. If the couple is judged unequal, the Saudi Gazette reported, “Children’s custody is usually given to the ‘racially superior’ parent.”
These Saudi efforts at preventing their former slaves from intermarrying with them have only accelerated their incestuous inbreeding. In parts of Saudi Arabia, the percentage of marriages among blood relativescan go as high as 70%.
Saudi Arabia has the second highest rate of birth defects in the world, but a Saudi Sheikh blamed this phenomenon on female drivers, even though women are not allowed to drive in Saudi Arabia.
Source: frontpagemag.com
well said.Ndio hizo ni sheria zao kali imewakata watu 40 vichwa akiwemo Sheikh wa madhehebu ya Shia lakini asiwe avumae baharini papa. Mime sikubaliani kabisa na Saudi Arabia na hasa wanachokifanya Yemen muda huu naandika, lakini kama tunalaani nchi na matendo tulaani zote hata hapa kwetu Tanzania.
Marekani imeuwa mamilioni katika Vietnam, Korea, Iraq, na sasa Syria, Libya, Yemen na Afganistan na hata ndani ya States zao Polisi wanauwa Wamarekani weusi kama vile ni Virodo. Jana tu eti askari 6.wamechishwa kazi kwa kuuwa Kijana mdogo na mwanadada wenye asili ya Africa. Tanzania wacha mbali Ujambazi, Video tunaziona hapa watu wanavyowatandika maqe wahalifu wadogo wadogo na wengine mnawavisha mipira na kwachoma, panya road nao. Vyombo vya usalama vemeuwa wangapi hasa kisiasa na waandisho wa habari. Mashehe wa Zanzibar mpaka wamelawitiwa. Kule Israel wanawake wa ki Africa wamepigwa sindano za kuhujumu mafuko yao na uzazi. Wakimbizi wa Sudan Kusini amabako Israrl yenyewe imeshriki kuigawa nchi sasa wanawafikuza kule kwa matusi ya nguoni.Wakristo na makainsa yao wanabaguliwa na kunajisiwa na kuandikwa grafiti.
Hata sheria zao za kiyahudi wanampinga Yesu kuwa sio Masihi.
Kwa lugha nyingine ni kuwa mtoa mda mada yake haina mashiko?Katika nchi za Middle East muda huu tulio nao ni Israel ndio iko juu katika ubaguzi wa rangi na dini hasa dhidi ya watu weusi Falasha wa Ethiopia. Na dhidi ya Wakristo
Hapa JF uko uzi mfanya kazi wa nyumbani amelawitiwa na bosi wake huyo ni Mtanzania kwa mtanzania mwenzie kuwa objective tukiambiwa waafrika wabaguzi bora tukubali tu. Au Nyani haoni Kundule?Wacha watutese tu, sisi Waafrika wenyewe tunabaguana mwanzo mwisho, hatuna umoja na tumejaa uroho, chuki na wivu. Kila mmoja wetu anapothubutu kujitoa, anamiminiwa chuki na majirani. Hadi ile siku sisi weusi tutaweza kujikomboa kiuchumi kwenye bara letu hili lililobarikiwa na kila aina raslimali, hiyo ndio siku tutaheshimiwa hata huko nje.
Dada zetu wanafanyiwa unyama wa kila aina huko uarabuni, wanakwenda baada ya kukosa namna kwenye nchi zao. Halafu la kushangaza hawa Waarabu wanaamini eti dini imewaruhusu kutesa watumwa. Nayo mijitu ya kiafrika inatokwa na povu huku ikiwatetea kwa misingi ya kidini. Tufe wote bloody-hell.
Ndio hizo ni sheria zao kali imewakata watu 40 vichwa akiwemo Sheikh wa madhehebu ya Shia lakini asiwe avumae baharini papa. Mime sikubaliani kabisa na Saudi Arabia na hasa wanachokifanya Yemen muda huu naandika, lakini kama tunalaani nchi na matendo tulaani zote hata hapa kwetu Tanzania.
Marekani imeuwa mamilioni katika Vietnam, Korea, Iraq, na sasa Syria, Libya, Yemen na Afganistan na hata ndani ya States zao Polisi wanauwa Wamarekani weusi kama vile ni Virodo. Jana tu eti askari 6.wamechishwa kazi kwa kuuwa Kijana mdogo na mwanadada wenye asili ya Africa. Tanzania wacha mbali Ujambazi, Video tunaziona hapa watu wanavyowatandika maqe wahalifu wadogo wadogo na wengine mnawavisha mipira na kwachoma, panya road nao. Vyombo vya usalama vemeuwa wangapi hasa kisiasa na waandisho wa habari. Mashehe wa Zanzibar mpaka wamelawitiwa. Kule Israel wanawake wa ki Africa wamepigwa sindano za kuhujumu mafuko yao na uzazi. Wakimbizi wa Sudan Kusini amabako Israrl yenyewe imeshriki kuigawa nchi sasa wanawafikuza kule kwa matusi ya nguoni.Wakristo na makainsa yao wanabaguliwa na kunajisiwa na kuandikwa grafiti.
Hata sheria zao za kiyahudi wanampinga Yesu kuwa sio Masihi.
Soma vizuri kauli yangu nimesema siwaungi mkono Saudia kwa kila uvunjaji haki za Bindamu wanazofanya lakini tuwe wakweli kulaani kila pahali zinapovunjwa haki za Binadam. Nyinyi ndugu zetu muko so biased na agenda ya "Anti- Arab and Islamophobia" huwezi kufumbia jicho uovu hata anao ufanya mdogo wako kama wewe mtu mwenye Integrity.so ? its ok yanayofanyika saudi arabia kwa kuwa na kwingine yanafanyika? see? nlisema watakuja wasaudi arabia hapa weusi kuliko mimi ambao watatetea huu ujinga wa kunyonga watu 151 mwaka jana kuanzia jan mpa feb. hizo nchi ulizotaja hakuna nchi ya kikristo hapa. we unaweza nitajia nchi ya kikristo katika hizo? sisi tunakutajia nchi ya kiislamu tena nchi takatifu kama jamaa yangu mmoja ambaye ni msaudia mweusi anavyojinasibu. israel kumkana yesu au masihi hawakuanza leo ni toka miaka 2000 iliyopita kwa kutumia kalenda inayotumika dunia nzima. ni utabiri ambao ulitabiria na ulitokea kwa makusudi kabisa . so hamna ajabu hata wao kuukataa ukristo kwa kuwa wayahudi si waliouleta ukristo na israel si taifa la kikristo hata kidogo. so wanayo madhaifu mengi tu ambayo kama wangekuwa ni nchi ya kikristo tungeshangaa maana kwenye ukristo nasikia kumeandikwa usiue na umpende hata adui yako.
saudi arabia ni nchi yenye kuongozwa kwa misingi ya dini gani? basi kwa nini wawe wabaguzi na wakatili hivi? usa inaongozwa kwa misingi ya dini gani?
israel kumkana yesu au masihi hawakuanza leo ni toka miaka 2000 iliyopita kwa kutumia kalenda inayotumika dunia nzima. ni utabiri ambao ulitabiria na ulitokea kwa makusudi kabisa . so hamna ajabu hata wao kuukataa ukristo kwa kuwa wayahudi si waliouleta ukristo na israel si taifa la kikristo hata kidogo. so wanayo madhaifu mengi tu ambayo kama wangekuwa ni nchi ya kikristo tungeshangaa maana kwenye ukristo nasikia kumeandikwa usiue na umpende hata adui yako.
Umeporomoka kama unasombwa na maji,suala hapa in saudia na ubaguzi na unyanyasaji WA watumishi wao wasio waarabu,binafsi nimekutana na muhanga mmoja na alichonisimulia kilinifanya nipigwe na mshangao kama hayo yanaweza kufanyika kwenye ardhi takatifu.Ndio hizo ni sheria zao kali imewakata watu 40 vichwa akiwemo Sheikh wa madhehebu ya Shia lakini asiwe avumae baharini papa. Mime sikubaliani kabisa na Saudi Arabia na hasa wanachokifanya Yemen muda huu naandika, lakini kama tunalaani nchi na matendo tulaani zote hata hapa kwetu Tanzania.
Marekani imeuwa mamilioni katika Vietnam, Korea, Iraq, na sasa Syria, Libya, Yemen na Afganistan na hata ndani ya States zao Polisi wanauwa Wamarekani weusi kama vile ni Virodo. Jana tu eti askari 6.wamechishwa kazi kwa kuuwa Kijana mdogo na mwanadada wenye asili ya Africa. Tanzania wacha mbali Ujambazi, Video tunaziona hapa watu wanavyowatandika maqe wahalifu wadogo wadogo na wengine mnawavisha mipira na kwachoma, panya road nao. Vyombo vya usalama vemeuwa wangapi hasa kisiasa na waandisho wa habari. Mashehe wa Zanzibar mpaka wamelawitiwa. Kule Israel wanawake wa ki Africa wamepigwa sindano za kuhujumu mafuko yao na uzazi. Wakimbizi wa Sudan Kusini amabako Israrl yenyewe imeshriki kuigawa nchi sasa wanawafikuza kule kwa matusi ya nguoni.Wakristo na makainsa yao wanabaguliwa na kunajisiwa na kuandikwa grafiti.
Hata sheria zao za kiyahudi wanampinga Yesu kuwa sio Masihi.
Hiyo kweli.. Kwa kuwa ni WAHALIFU na MAJAMBAZI lazima wale Panga "THE SWORD" hiyo tunaiafiki na kuishadidia... Sheria ni Msumeno na haki !!Mwaka jana a Saudi Arabia imewakata vichwa watu wengi kuliko ISIS ilivyofanya Iraq na Syria.
Wadada wengi huenda kupeleka Aids huko!!Wacha watutese tu, sisi Waafrika wenyewe tunabaguana mwanzo mwisho, hatuna umoja na tumejaa uroho, chuki na wivu. Kila mmoja wetu anapothubutu kujitoa, anamiminiwa chuki na majirani. Hadi ile siku sisi weusi tutaweza kujikomboa kiuchumi kwenye bara letu hili lililobarikiwa na kila aina raslimali, hiyo ndio siku tutaheshimiwa hata huko nje.
Dada zetu wanafanyiwa unyama wa kila aina huko uarabuni, wanakwenda baada ya kukosa namna kwenye nchi zao. Halafu la kushangaza hawa Waarabu wanaamini eti dini imewaruhusu kutesa watumwa. Nayo mijitu ya kiafrika inatokwa na povu huku ikiwatetea kwa misingi ya kidini. Tufe wote bloody-hell.
Wenye misimamo madhubuti !! (black & white)Salafism....nini?
Soma vizuri kauli yangu nimesema siwaungi mkono Saudia kwa kila uvunjaji haki za Bindamu wanazofanya lakini tuwe wakweli kulaani kila pahali zinapovunjwa haki za Binadam. Nyinyi ndugu zetu muko so biased na agenda ya "Anti- Arab and Islamophobia" huwezi kufumbia jicho uovu hata anao ufanya mdogo wako kama wewe mtu mwenye Integrity.
Hata hivyo mimi siku base jawabu yangu kwa utashi wa kidini na wala sikatai kuwa Saudia inajiita nchi ya Kiislam so hizo USA na Israel ( so called Jewish State) kama si nchi zinazoongozwa kwa misingi udini pia haiwapi right kuuwa Mamilioni ya watu wasio hatia na kuwabaguwa watu kwa misingi ya rangi au dini.