trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Jamani nadhani kila mmoja anajua the Biggest Exporter wa Mafuta Duniani ni Saudia. Na kwamba King Abdullah[?] aliwahi kuwa Top Three ya Richest Man of the World nyuma ya Gates, nafikiri na Murdock.
Huwezi kuamini 70% wanaogelea kwenye umasikini kama wa dunia ya tatu! Hawana uhakika wa kula,mavazi na hata pa kulala panasikitisha mno! Imefikia hatua raia wengi kujitumbukiza kwenye biashara haramu ya madawa ya kulevya! Kwa kuwa sheria ni kali unapogundulika unafanya biashara hiyo,kwa sasa wanatumia watoto ambao nao wanachangamkia kutokana na kipato kinachowasaidia wao wenyewe na familia zao! Source: Press TV [IRAN]