Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saudi Arabia: Nani anayeweza kuamini hili?

Discussion in 'International Forum' started by trachomatis, Oct 28, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Jamani nadhani kila mmoja anajua the Biggest Exporter wa Mafuta Duniani ni Saudia. Na kwamba King Abdullah[?] aliwahi kuwa Top Three ya Richest Man of the World nyuma ya Gates, nafikiri na Murdock.
  Huwezi kuamini 70% wanaogelea kwenye umasikini kama wa dunia ya tatu! Hawana uhakika wa kula,mavazi na hata pa kulala panasikitisha mno! Imefikia hatua raia wengi kujitumbukiza kwenye biashara haramu ya madawa ya kulevya! Kwa kuwa sheria ni kali unapogundulika unafanya biashara hiyo,kwa sasa wanatumia watoto ambao nao wanachangamkia kutokana na kipato kinachowasaidia wao wenyewe na familia zao! Source: Press TV [IRAN]
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Unapoona kibatari kinawaka basi ujue mafuta yanateketea mkuu. Hiyo ni kanuni ya kawaida kabisa. Wakoloni walipokuwa wanatutawala, mababu zetu wengi walikuwa wanakufa kwa mateso toka kwa wakoloni huku wao wakiendelea kwao ulaya.
   
 3. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  unajua kuna vita baridi kati ya Iran na utawala wa kifalme wa saud Arabia... sababu saud Arabia ni rafiki wa USA na Iran ni adui na pia saud Arabia ana wa support watawala wa li Sunni wa Bahrain while Iran ipo upande wa wapinzani wa kishia...

  conclusion - since hiyo habari imetoka Iran siiamini...
   
 4. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Thanks for the post. There are lot of beggars and homeless people there. And yes, I am talking about Saudis here; not expats in the Kingdom. Homelessness is not something that is widely discussed or publicized but it does exist in the Saudi Arabia. Oftentimes one can go to one of the local Tamimi (Safeway) grocery stores and see a Saudi national (male or female) who may be begging for his or her family. There are also areas in Mecca where groups of homeless Saudis have created tent cities underneath overpasses for they have nowhere else to go.
   
 5. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  True, kule nasikia Wabangladeshi wanalala nje, hali ni mbaya sana kule.
   
 6. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu saudi kuna ubaguzi wa kazi kama zilipo nchi nyingi.saudi wana nafasi nyingi za kazi lkn wao kipaombele wanachukua wenyeasil ya ki saudi yani watu wa hijaz na riyadh.watu humiminika toka nchi nyingi nakutegemea kupata kazi.na wengine wanatumia viza za dini kufanya biashara.nitabu sana kupata kazi nzuri kama wewe sio rai pale.labda uwe unajua lugha zaidi ya mbili ikiwemo kiarabu na kizungu.

  mtu kuvaa kilemba na kanzu hawi msuudi,kama ilivyo mtu kuvaa suti hawi mzungu.wengi omba omba mitaani ni wenye asili ya kiafrika na bangladesh,hii inatokea sana pindi watu wanapo enda kuhiji hukataa kurudi na kukimbia na kutegemea kupata kazi,mwisho wake anakuwa omba omba.

  wengi sio rai pale wengi ni wahindi bangladesh indonesia misri yemen syria iraq sudan na algeria.na serikali haiwatambui vizuri kwenye haki zao.

  lkn wakuu kule maisha bei rahisi sanaaaaa.(kama unakazi au mtaji)
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Na ndiyo maana nikaipost hii thread,kwa mawazo mbalimbali kutoka kwa Great Thinkers. Asante kwa input yako,ngoja tuangalie na wengine. Kwenye mambo kama haya kuweka source ya information.
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Thanks for inputs. Now I get the picture. Maybe there is something wrong somewhere.. I believe it is hard to believe to many of us though.. Thanks a lot.
   
 9. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Achahasira na takwimu nyingine wametoa kuwa penye Wasaudi watano,mmoja ni masikini kabisa, asiyejiweza kwa mlo,makazi,mavazi.
   
 10. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Achahasira na takwimu nyingine wametoa kuwa penye Wasaudi watano,mmoja ni masikini kabisa, asiyejiweza kwa mlo,makazi,mavazi.
   
 11. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Thanks for inputs. Now I get the picture. Maybe there is something wrong somewhere.. I believe it is hard to believe to many of us though.. Thanks a lot.
   
 12. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Well said

   
 13. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 496
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  Nakubali, saudi arabia wanawake hawaruhusiwi kufanya kazi, assume they make 50 % of population, na wanaume wanaofanya kazi , more than 20% ni wageni, western fill most of the professional vacancy and Indianz wit third world country workers goes for unskilled area. the rest are saudiz.
   
 14. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Thanks for inputs. Now I get the picture. Maybe there is something wrong somewhere.. I believe it is hard to believe to many of us though.. Thanks a lot.
   
 15. k

  kamili JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Bora iwe hivyo kwa sababu wale waliokuwa wanatoa mafuta machache lakini wakayatumia vizuri kuwahudumia watu, wakawapa kila kitu, mwisho tumeona wakiuawa kikatili na maiti zao kudhalilishwa na hatimaye kuzikwa kwa aibu jangwani. (Qaddaffi). Saudia Arabia itaendelea kuwa nchi ya amani licha ya watu wake kuishi kwa shida. Amani ya nchi hiyo itavurugika tu siku viongozi watakaposema mafuta ya saudia ni kwa ajili ya wasaudia, Kama alivyowahi kusema Qaddaffi mafuta ya Libya ni kwa ajili ya walibya.
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Nilibahatika kuwaona "beggars" wa Saudi Arabia. Mwanamke kajaza bangili za dhahabu mikononi, ambazo kwetu hapa thamani yake hukosi nyumba. Anaomba. Nikashangaa.

  Beggars wapo lakini jamani, si wa kawaida.
   
 17. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The Eastern Province police said that they were able to arrest 75 beggars 44 Saudis and 31 foreigners.


  [​IMG]The beggar showing his disguise - Al Yawm

  An Arab man who disguised himself as a woman to beg for money in Saudi Arabia has been arrested.


  According to Saudi daily Al Yawm, the man fooled people who gave him money generously for five months before a special police unit arrested him in Khobar, in the eastern part of Saudi Arabia.

  Beggar disguised as woman arrested in Saudi Arabia | Habib Toumi


   
 18. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
 19. M

  Mwera JF-Expert Member

  #19
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  unayosema wewe nikweli tupu hawa wairani ni waongo wakubwa sana pia ni propaganda zao tu,sababu kuu nikuwa saudia nirafiki mkubwa wa usa na iran ni adui mkubwa wa usa,hakuna muuza madawa yakulevya hata 1 ktk saudia ukikamtwa unakatwa kichwa,pia kuhusu umaskini huo niuongo mkubwasanasana,saudia chakula beiyake nikama bure,na mshahara ni mzuri sana,ktk nchi za kiarabu yakwanza kwa maisha bora ni u.a.e ikiwemo dubai,sharjah,abudhabi na ajman nimuungano wa united arab emirates,yapili ni kuwait naya 3 kwaubora wamaisha kwaraia wake ni saudia,hawa wairan ni mabulushi na mashia ndio nduguze narostam niwakuogopa sana kwa uzushi na umafia.
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Hizi sio tuhuma za leo ni siku nyingi sana, nakumbuka Marehem Mfalme Fahd alijibu: "Ikiwa kuna maskini wa kuomba omba Msaudi, basi huyo itakuwa si mzima au ni mvivu kupita kiasi".

  Nakubali maneno yake kwani Wasaudi wote, nyumba bure, kusoma bure na kama huna uwezo wa kula unakwenda jiandikisha "Bait l'mal" na unapewa mshahara kila mwezi.

  Wengi wa wanaoomba Saudia wanakuwa si Wasaudi.
   
Loading...