Achahasira
JF-Expert Member
- Mar 9, 2011
- 1,213
- 215
minaona tatizo ni neno hili MSUUDI,mimi nilipo ishi muda mchache kule.nimeona wazi kabisa tofauti ya msaudi na mtu wa nchi nyingine.msaudi ni raia wa saudi arabia.anapewa vitu vingi sana bure na serikali yao.mamangu alikuwa analipwa na serikali alipokuwa anasoma shule.kiasi cha 300000 za tz kila mwezi.mtu anayeishi kule ha qualify kuwa msuudi moja kwa moja.mfano nilikutana na omba omba wengi lkn wanaongea kiarabu cha kisuudi wana tabia za kisuudi lkn SIO wasuudi.kwa mtu ambaye haijuwi hii nchi vizuri atasema,suudi kuna omba omba wengi kumbe ni kinyume.
naamini wakuu mumenipata
naamini wakuu mumenipata