Hii koment yako inauhusiano na mada tajwa? au chuki zimekujaa?Saudi wana nyodo sana Mungu anawaadhibu.Ujue katika nchi zote za Khalij ni Saudi pekee wanasheria ya kuchinja watu.??Mwanamke saudi hathaminiwi kabisa mwanaume ndo kila kitu Saudi Arabia.Yani kuna vitu ukisikia unaweza kuhisi kama masihara lakin ni kwel
1.Mwanamke haruhusikii kula ice cream hadharani
2.Mwanamke haruhusiwi kukimbia hadharani hata uwe na haraka vip.
3.Mwanamke haruhusiwi kusalimiana hata na kaka yake wa damu hadharani kwa kushikana mikono au kugusana kwa style yoyote
4.Mwanamke haruhusiwi kudai talaka kama nchi zngne wanawake wanavyopewa kipaumbele.
5.Mwanamke harusiwi kushout hadharani yani upuuz puuz tu
Saudia ina madini aina tofauti,na ni miaka mingi,hawezi kuanguka kiuchumi.
Na hawa pia hawakubweteka,kwa masuwala ya madini,walianza kabla ya mafuta.Kwenye viwanda pia wana viwanda vingi sana.Ni sawa na ndio maana nikasema mafuta huko tuendako sio dili tena. Muhimu awe amewekeza kwenye vichwa vya watu wake kwa ajili kuendeleza maeneo mengine ya kiuchumi badala ya kubweteka na mafuta ambayo thamani yake inashuka kwa kasi. Leo hii Venezuela ndiye giant wa proven oil reserves duniani lakini habweteki na hilo; anaangalia alternatives badala ya kutegemea mafuta pekee.
Today,indusrial products make up more than 90 percent of the Kingdom's non oil exports.Saud Arabia exports petrochemicals,plastics,metal goods,constructions materials and electrical appliances to some 90 countries.www.economy watch.com/world_economy/......Ni sawa na ndio maana nikasema mafuta huko tuendako sio dili tena. Muhimu awe amewekeza kwenye vichwa vya watu wake kwa ajili kuendeleza maeneo mengine ya kiuchumi badala ya kubweteka na mafuta ambayo thamani yake inashuka kwa kasi. Leo hii Venezuela ndiye giant wa proven oil reserves duniani lakini habweteki na hilo; anaangalia alternatives badala ya kutegemea mafuta pekee.
...Unamwita mwenzako zezeta, wakati hutaki kufikirisha kichwa! Soma, acha uvivu!Mleta mada ni zezeta, Saud Arabia ikope? Shirika moja tu serikali ya Saudia (ARAMCO) ina Cash namba moja ulimwenguni 3 trillion Usd. Mara moja na nusu Uchumi wote wa Uingereza. Saudia pesa zao nyingi hadi haram.
Hivi umeelewa michango ya wajumbe?
Sijaelewa professor wangu, naomba unieleweshe
Mi sio professor kwanza.
Yeye peke yake kupanga bei?? MmmhhhHivi anaye panga bei ya mafuta ni nani kama sio Saud Arabia? Saud Arabia kufilisika ni ndoto. Hio kuidai ku kopa anacheza game ili achukue pesa zake USA ki ulaini kama hamjui. Saud Arabia msikiti wa Makkah peka yake unamuingiza pesa tosha kabisa kila mwaka. Hapo hujagusa Dhahabu alizo nazo. Kumbukeni Saud Arabia akitaka bei ya mafuta iwe 300 itakuwa tu yeye ndio anaye panga deal.
Sijakutusi mkuu, elewa maana ya ignored
Wewe ni wakupuuzwa, hiyo ndiyo maana yake na wara sio tusi
Wara...wala
Hebu fafanua kidogo, kwanini mafuta yanashuka bei?
Unasemaaa??Saudi akifilisika america hatapona! Maana economy ya marekani percent kubwa inategemea Saudi Arabia
Siku za mwanzo za utawala wa Obama aliwaambia live kama wanaleta nyodo na mafuta yao dunia itatafuta alternative source ya nishati au mafuta. Marekani kaanza kujichimbia yake, Norway, Russia, China, n.k. Gesi na mafuta vinaendelea kugunduliwa sehemu nyingine nyingi duniani - Tanzania na Msumbiji ni mifano ya hivi karibuni kwa upande wa gesi. Ya Uganda yataanza kumiminika miaka miwili ijayo kupitia Bandari ya Tanga hivyo soko la ukanda huu wa Mashariki na Kusini mwa Afrika litaachana na mafuta ghali kutoka Middle East.
Kama waliendekeza starehe wakaacha kutumia mapato ya mafuta kuwekeza kwenye brains za watu wao ili wazalishe bidhaa na huduma mbadala na badala yake wakawekeza kwenye dini yao ya taifa kwenye mataifa ya ng'ambo imekula kwao. Dunia imebadilika sana; hivi kwa mfano vile viwanda vya Uswisi vya kutengeneza saa ghali aina ya Oris enzi hizo siku hizi bado vipo? Maana hata hizo saa sijui kama zina soko tena siku hizi baada ya dunia kutawaliwa na digital.
Oris watakuwa walibadili bidhaa zao ili kuendana na mahitaji yanayobadilika kwa kasi ya ajabu kila uchao. Saudia waendelee kukandamiza wanawake na kuwaweka misukule ndani simply wana pesa za mafuta kuna siku watawatafutia wanaume overseas hayo mafuta yatakapokuwa priceless siku sio nyingi zijazo.
Pamoja mkuuAsante mkuu