Saudi Arabia mbioni kufilisika

kweli kabisa. kwa dunia ya leo mafuta hayawez tena kupanda bei coz yapo mengi sana sokoni na wateja wakubwa wa mafuta china, India na nchi za ulaya wanawekeza sana katika solar energy. soon kila kitu kitatumia umeme ambao unzalishwa na jua. hawa saudia wafalme wao wamewekeza sana nchi za ulaya, wanajua siku mafuta yakiisha tu tunakimbia zetu ila raia wa kawaida watateseka sana maana wamezoea sana maisha ya kiboss,

Uko sahihi. Dunia ya leo, renewable and environmentally friend energy ndio mpango mzima. Mwarabu anachojua yeye ni matanuzi, kununua vilabu vikubwa vikubwa, na mambo kama hayo wakati wenzie wakiumiza vichwa kutafuta suluhisho la matatizo yanayoikabili dunia ikiwemo ugaidi unaozalishwa na waarabu hao hao.
 
Saudi wana nyodo sana Mungu anawaadhibu.Ujue katika nchi zote za Khalij ni Saudi pekee wanasheria ya kuchinja watu.??Mwanamke saudi hathaminiwi kabisa mwanaume ndo kila kitu Saudi Arabia.Yani kuna vitu ukisikia unaweza kuhisi kama masihara lakin ni kwel
1.Mwanamke haruhusikii kula ice cream hadharani
2.Mwanamke haruhusiwi kukimbia hadharani hata uwe na haraka vip.
3.Mwanamke haruhusiwi kusalimiana hata na kaka yake wa damu hadharani kwa kushikana mikono au kugusana kwa style yoyote
4.Mwanamke haruhusiwi kudai talaka kama nchi zngne wanawake wanavyopewa kipaumbele.
5.Mwanamke harusiwi kushout hadharani yani upuuz puuz tu
Sasa ushout hadharani ili iweje hizo nyengine sawa lakini namba sita naiunga mkono
 
Yani ile labda mtu kakutangulia hata hatua kadhaa mbele c unaweza kuita kwa sauti labda fulan fulan kwa sauti ya kupaza hairuhusiwi kwa mwanamke wa Saud
 
Ile ni nchi inayofuata tamaduni za kiarabu na sio nchi ya kiislamu kama wanavyotuaminisha.nchi ya kiislamu haitawaliwi na mfalme

Ha ha ha! Unajua official salutation ya Mfalme wa Saudia kama ilivyo "Her Majesty" au "His Majesty" kwa falme nyingine?

Salutation yake rasmi ni "The Custodian of the Two Holy Mosques" iki-refer misikitii mikuu miwili ya Makkah na Madina. Sasa unapotuambia sio nchi ya kiislam simply kwa kuwa inatawaliwa na mfalme sikuelewi ndugu. Sidhani kama unaijua dini kuliko "custodian" wa dini husika.

Na kumbuka misikiti inayozungumziwa hapa sio msikiti wa Kichangani au Nungwi kule. Wala sio msikiti wa Kazimzumbwi; bali ni "the Two Holy Mosques"; sijui hata kama unaelewa maana yake.
 
Mkuu nakushauri kwanza ukaipitie historia ya Hijaz(now saudi arabia).unafahamu kwanini ikabidilishwa jina.unaifahamu vizuri Saudi family,Asili yao na historia yao na jinsi walivyoweza kuitawala hyo inchi.Alafu nenda kasome ujue uongozi wa kiislamu unatakiwa uweje.kwa kukusaidia tu zipo nchi nyingi pamoja na majimbo ya nchii.(i.e naigeria) ambazo zina abide by Sheria law lakini sio nchi za kiislamu.
Pia inawezekana nikawa sijui baadhi ya maswala kuhusu hii dini,kwahiyo si vibaya nikadurusu mawili matatu kutoka kwako.
 
Wachumi wanasema baada ya miaka mitano hazina ya Saudi Arabia itakuwa imekauka.

Kutokana na kushuka kwa bei ya mafuta, Saudi imekopa dolla billioni 10 kutoka kwenye masoko ya kimataifa wiki hii.Hii ni mara ya kwanza katika miaka 25 iliyopita.
...Ni kweli, lakini haimaanishi imefilisika. Ingekuwa hivyo, kusingekuwa na strong demand ya ku supply hiyo loan.

Hii hali ni hatari hapo mbeleni , kuna wasiwasi wa kutokea instability hasa middle east kutokana na ugumu wa maisha kwa sababu ya kushuka kwa bei ya petroli.
...Saudia, chini ya uongozi wa Prince Mohammed, wanafanya project ya 2 Tn USD kuondoka kwenye utegemezi wa mafuta. Imeshaanza.

...Project kama hizi, ukichanganya na budget financing kwa mkopo, inapunguza ugumu wa maisha, unaoweza kuletwa na kupungua kwa oil revenues.
 
Saudi wana nyodo sana Mungu anawaadhibu.Ujue katika nchi zote za Khalij ni Saudi pekee wanasheria ya kuchinja watu.??Mwanamke saudi hathaminiwi kabisa mwanaume ndo kila kitu Saudi Arabia.Yani kuna vitu ukisikia unaweza kuhisi kama masihara lakin ni kwel
1.Mwanamke haruhusikii kula ice cream hadharani
2.Mwanamke haruhusiwi kukimbia hadharani hata uwe na haraka vip.
3.Mwanamke haruhusiwi kusalimiana hata na kaka yake wa damu hadharani kwa kushikana mikono au kugusana kwa style yoyote
4.Mwanamke haruhusiwi kudai talaka kama nchi zngne wanawake wanavyopewa kipaumbele.
5.Mwanamke harusiwi kushout hadharani yani upuuz puuz tu

Sasa hizi ulizotaja hapa mbona ni faida zaidi kuliko hasara? We huoni kama mwanamke hapo anathaminiwa? Kubeba gunia la viazi kariakoo ndo unaona sawa kwa mwanamke, au pale uwanja wa fisi ndio unaona Mungu anapenda??
 
Mkuu nakushauri kwanza ukaipitie historia ya Hijaz(now saudi arabia).unafahamu kwanini ikabidilishwa jina.unaifahamu vizuri Saudi family,Asili yao na historia yao na jinsi walivyoweza kuitawala hyo inchi.Alafu nenda kasome ujue uongozi wa kiislamu unatakiwa uweje.kwa kukusaidia tu zipo nchi nyingi pamoja na majimbo ya nchii.(i.e naigeria) ambazo zina abide by Sheria law lakini sio nchi za kiislamu.
Pia inawezekana nikawa sijui baadhi ya maswala kuhusu hii dini,kwahiyo si vibaya nikadurusu mawili matatu kutoka kwako.

Vyovyote iwavyo, lakini Saudia ndio No. 1 islamic state.
 
Back
Top Bottom