Saudi Arabia mbioni kufilisika

Saudi Arabia mbioni kufilisika

America na europe pia zitaporomoka

Huwez kumporomosha America kwa kushusha bei ya mafuta,iyo fute kabisa,ivi unajua ni kwa nni dollar kwa sasa inakuwa strong?....ivi unajua "oil price is inversely related to dollar price?"...
Yaan kumwangusha US inatakiwa upigane na vita kali for 20yrs bila kukoma..Hapo utamshake but sio kwa economic war mkuu
 
Saudi Arabia bado haijafilisika, ikiuza 5% hisa katika kampuni yake ya mafuta ARAMCO itapata pesa nyingi sana za kuwezesha kuwekeza na kupata faida ya kuendesha uchumi bila kutegemea sana mafuta. Pia ina mpango wa kupanua viwanda vyake vya petrochemicals kuweza kutumia mafuta mengi nchini kama mali ghafi kwa kutengeneza plastics na chemikali nyinginezo kwa ajili ya kusafirisha nje
Aramco ina thamani kuliko makampuni mengi duniani ukiyajumlisha pamoja

Too Big to Value: Why Saudi Aramco Is in a League of Its Own
 
Hata uchumi wa Dubai hali ni tete.
Hivi sisi mtikisiko huu wa uchumi kwa nchi hizo za kiarabu utatuathiri vipi?

Utatuathiri kwenye mrengo chanya.

Kwanza tutaendelea kununua mafuta kwa bei rahisi toka hizo nchi.

Ila kama unawaza uchumi wetu utashuka sio sawa, kwasababu zaidi ya mafuta hakuna tunachopokea toka kwao.

Ila kama tunapeleka chakula biashara haitaharibika kwasabbau chakula ni bidhaa muhimu, hivyo hawataacha kununua.
 
Saudia haitaporomoka kiuchumi kwani mbali na mafuta wana madini mengi ardhini ambayo yalipatikana tangu enzi za Mfalme Suleyman miaka hiyo alitengeneza utajiri mkubwa kutokana na copper.

Kuna Cooper, Zinc na phosphate ambayo ni utajiri mkubwa sana huo na hela za kuchimba wanazo,, hii ya kusema watafilisika siafiki labda litokee la kutokea.

Kuna utajiri mkubwa falme za kiarabu sio kwa ushabiki bali ni ukweli ulivyo.

Rasilimali zipo kila mahali ila tulichelewa tu na sisi tutafika tu na Africa itakuwa next Oil superpower
 
Ivyo tuu basi?
...Ndio. Hiyo ndio msingi. Nini kimesababisha supply ikawa kubwa, hilo ni suala jengine.

...Pamoja na kwamba bei ya WTI au Brent -kama benchmarks- ni futures, na kwa maana hiyo speculative, inategemea wanunuzi -read speculators- wanategemea hali ya mafuta itakuwaje.
 
Unasemaaa??
huo ndo ukweli,unadhani kwani marais wa marekani wanakuaga wanyenyekevu sana wakikutana na king wa saud?.
Uchumi wa marekani kwa kiasi kikubwa uko tied na mfumo wa petroldollar na unaitegemea sana saud.
Pia saud wameinvest sana marekani,
baada ya china nadhani anafuata saud kwa kuinvest hela yao marekani
 
Zaidi ya mafuta, taja vyanzo vingine vikubwa vya mapato.
Mkuu Bav.!!
Mapato mengine ya SA ni UTALII (hajj/umrah) wageni millioni 2 huingia na $$$ kila mwaka.. kodi za usafiri.....
Madini ya dhahabu,Copper,zinc,Phosfeti,Alum,iron nk.nk.
Mazao (ngano,Tende,samaki na chumvi) !!
 
Waache wafilisike tu kwa maana hamna namna Na hata ugaidi unaweza kupungua
 
Proved saudi arabia oil reserve bilion 270 barrels,for price of 40 usd it amount to USD bilion 5400.
Production per day is 10 million barrels,means it will take 73 years from today to finish the oil reserve

Thing is she is not the only oil producer, the price will keep on going down, and existence of other sources of energy like gas(discovered in many places around the world) and technological advancement in solar energy and nuclear energy pose greater threat on oil producing countries as they might have oil reserves even for hundred years but no market, or sell a barrel for $10 to $15. So trust it man when we reach to that stage, there is no other way than going down
 
Still wata survive na pilgrims,kila mwaka.
 
saud waliamua bei kuipunguza ya mafuta ili kuyaondoa makampuni ya marekani katika biashara,
wamarekani wanatumia technology ya kuchimba ambayo ni too expensive kuliko wasaud ambayo mafuta yao licha ya kuwa grade one lakini pia wanayachimba kwa gharama na ndogo na hivyo wanaweza kuafford kushusha bei mpaka chini kabisa ili kumaintain marketshare.
Tayari makampuni ya marekani mfano chevron na shell yametangaza kupata hasara na wanapunguza kazi watu karibu 10000.

Wakati huu saudi wamejenga miji,special economic zone ambayo itakua operational kabla ya 2020,
mpaka sasa utalii unawaingizia dollar billion 80 na hiyo ni pembeni ya wale wa hija na umra
 
Uko sahihi. Dunia ya leo, renewable and environmentally friend energy ndio mpango mzima. Mwarabu anachojua yeye ni matanuzi, kununua vilabu vikubwa vikubwa, na mambo kama hayo wakati wenzie wakiumiza vichwa kutafuta suluhisho la matatizo yanayoikabili dunia ikiwemo ugaidi unaozalishwa na waarabu hao hao.
Mpaka leo hujatambua tu nani mzalisha ugaidi??
 
Saudi Arabia has no plans to introduce income tax any time soon, despite the damage done to its finances by the oil price crash.
The kingdom made clear Monday that taxes on income or basic goods are not part of its 15-year strategy for breaking the economy's dependence on oil.
Here are the key points of the sweeping reform plan:
The world's biggest wealth fund
Riyadh's has outlined an ambitious plan to create a huge sovereign wealth fund, which will invest at home and abroad to diversify the economy and create new revenue streams for the government.
It says the fund will be worth 7 trillion riyals ($1.9 trillion) by 2030. That's more than double the size of Norway's sovereign wealth fund, the world's biggest.
Related: Saudi Arabia tries to break 'dangerous' addiction to oil
Privatization
Saudi Arabia will transfer its giant oil company, Saudi Aramco, as well as other state-owned companies, into the fund. It is planning to sell a part of Aramco on the stock market, and wants to transform the company into a "global industrial conglomerate."
It wants the private sector to account for nearly two thirds of the economy by 2030, up from 40% at present. It's also hoping to attract more foreign investment,.
New industries
The new fund will help develop local manufacturing, technology, tourism and mining industries, the government said.
It's hoping to boost the revenue it gets from activities other than oil to 1 trillion riyals ($266 billion) by 2030 from 163 billion riyals ($43 billion).
Source CNN
 
habari njema hii..waarabu walileta madharau sana kwa walimwengu..hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.SOON karibia kila nchi itakuwa inachimba mafuta yake yenyewe.Kenya,Uganda,Tanzania,Msumbiji,South sudan,Sudan etc...Tutaheshimiana tu,ufalme unakaribia kuhamia Afrika
 
Back
Top Bottom