Saudi Arabia mbioni kufilisika

Saudi Arabia mbioni kufilisika

Kwani kikwete kawakosea nini mzee wa watu? Aliwafanya mkaangalia bunge live mpaka wabunge wakawa na hofu ya kusinzia? Mpeni heshima yake bwana
Hata mm namkubali yapo mengi mazuri aliyoyafanya.Lakini pia kasoro zilikiwa nyingi katika uongozi wake
 
Saudi Arabia wana vyanzo vingi vya mapato ni swala la ku-balance tu, kuporomoka kwa Saudi Arabia ujuwe nchi zote za kiarabu zitaporomoka.
 
Nmekuelewa mkuu ila sisi tunaelekea kule wakti wa ibada regardless nani anatawala lile eneo.Point yangu kuu ni kuwa the saudi kingdom sio sehemu ya kuitolea mfano kama utawala wa kiislamu.wale ni madhalimu wa kutupwa afadhali hata ya kikwete

Hilo wala halina ubishi, hawa jamaa ni wadhalimu hawana mfano.
 
Saudia ikiporomoka uchumi italeta shida sana duniani... Kutakua na ugaidi wa hatari sana
 
Mleta mada ni zezeta, Saud Arabia ikope? Shirika moja tu serikali ya Saudia (ARAMCO) ina Cash namba moja ulimwenguni 3 trillion Usd. Mara moja na nusu Uchumi wote wa Uingereza. Saudia pesa zao nyingi hadi haram.
 
Hata uchumi wa Dubai hali ni tete.
Hivi sisi mtikisiko huu wa uchumi kwa nchi hizo za kiarabu utatuathiri vipi?
sisi hatuathiriki,ndo raha kwetu maana tunapata mafuta kwa bei powa,ulaya ndo wataathirika na wakimbizi as waarabu watakimbilia ulaya kutafuta maisha bora,Iran anawakomoa Saudi arabia
 
Hao wakoloni waarabu wa dubai kwa kipindi sasa waliamua kuujenga mji wao wa dubai na kuufanya wa kibiashara hata mtu kuweza kupewa resident permit ili mradi ufanye uwekezaji wowote au ununue apartment, etc.

Hawa machale yaliwacheza na kuamua kuwekeza kwa upande huo.
 
Siku za mwanzo za utawala wa Obama aliwaambia live kama wanaleta nyodo na mafuta yao dunia itatafuta alternative source ya nishati au mafuta. Marekani kaanza kujichimbia yake, Norway, Russia, China, n.k. Gesi na mafuta vinaendelea kugunduliwa sehemu nyingine nyingi duniani - Tanzania na Msumbiji ni mifano ya hivi karibuni kwa upande wa gesi. Ya Uganda yataanza kumiminika miaka miwili ijayo kupitia Bandari ya Tanga hivyo soko la ukanda huu wa Mashariki na Kusini mwa Afrika litaachana na mafuta ghali kutoka Middle East.

Kama waliendekeza starehe wakaacha kutumia mapato ya mafuta kuwekeza kwenye brains za watu wao ili wazalishe bidhaa na huduma mbadala na badala yake wakawekeza kwenye dini yao ya taifa kwenye mataifa ya ng'ambo imekula kwao. Dunia imebadilika sana; hivi kwa mfano vile viwanda vya Uswisi vya kutengeneza saa ghali aina ya Oris enzi hizo siku hizi bado vipo? Maana hata hizo saa sijui kama zina soko tena siku hizi baada ya dunia kutawaliwa na digital.

Oris watakuwa walibadili bidhaa zao ili kuendana na mahitaji yanayobadilika kwa kasi ya ajabu kila uchao. Saudia waendelee kukandamiza wanawake na kuwaweka misukule ndani simply wana pesa za mafuta kuna siku watawatafutia wanaume overseas hayo mafuta yatakapokuwa priceless siku sio nyingi zijazo.
Saudia ina madini aina tofauti,na ni miaka mingi,hawezi kuanguka kiuchumi.
 
Saudi wana nyodo sana Mungu anawaadhibu.Ujue katika nchi zote za Khalij ni Saudi pekee wanasheria ya kuchinja watu.??Mwanamke saudi hathaminiwi kabisa mwanaume ndo kila kitu Saudi Arabia.Yani kuna vitu ukisikia unaweza kuhisi kama masihara lakin ni kwel
1.Mwanamke haruhusikii kula ice cream hadharani
2.Mwanamke haruhusiwi kukimbia hadharani hata uwe na haraka vip.
3.Mwanamke haruhusiwi kusalimiana hata na kaka yake wa damu hadharani kwa kushikana mikono au kugusana kwa style yoyote
4.Mwanamke haruhusiwi kudai talaka kama nchi zngne wanawake wanavyopewa kipaumbele.
5.Mwanamke harusiwi kushout hadharani yani upuuz puuz tu
Hawaruhusiwi kuendesh magari ila ni mwaka huu ndo wameruhusiwa.pia wanawake wanakeketwa ila sina hakika sana.mwanamke haruhusiwi kuwa na wadhifa wwte ispokuwa ni km mwezi umepita ndo imetokea mwanamke wa kwanza kuwa mbunge
 
Tutaanza kulipia kuhiji sasa kama hii nchi uchumi wake utashuka
 
Back
Top Bottom