Saudi Arabia mbioni kufilisika

Saudi Arabia mbioni kufilisika

Hivi hazina ikikauka ndio inakuwaje?. Hata hapa Tz tuliwahi kuambiwa hazina umekauka.
 
Saudi kesha change Gia anagani anasema wale watakaokuwa wanaenda kuhiji ndio litakuwa pato lake kuu la uchumi likifuatiwa na Mafuta... so Hawawezi filisika... Haja ni sawa na Utalii pesa kibao .....
 
Sio Iran ndio No.1 Islamic State?

Zaidi ya waislamu bilioni mara tano kwa siku huelekeza vichwa Saudia wakisujudu ikiwemo hiyo Iran. Fikirisha ubongo wako kati ya Saudia na Iran ni yupi No. 1.
 
huo ndo ukweli,unadhani kwani marais wa marekani wanakuaga wanyenyekevu sana wakikutana na king wa saud?.
Uchumi wa marekani kwa kiasi kikubwa uko tied na mfumo wa petroldollar na unaitegemea sana saud.
Pia saud wameinvest sana marekani,
baada ya china nadhani anafuata saud kwa kuinvest hela yao marekani
Yaa wameinvest ila kwa mafuta marekani sasa wanachimba zaid coz technological advancement
 
Back
Top Bottom