inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 18,133
- 18,477
Iran mwenyewe hajafanya Kama houthi japo ni proxy yake,huwezi ingiza nchi vitani wakati unasaka maendeleo ya kiuchumi na kijamii,ni heri utumie proxy au msaada mwingine,nadhani hakuna nchi inayotoa hela nyingi kwenda Palestine kuzidi saudiaKwa hadhi yake mbele ya Palestina Hakukutakiwa tamko.Kilichotakiwa ni vitendo kama vya Houth
Hata israhell labda ashinde na njaaHamas anashinda nini?labda anashinda njaa,lakini kushinda vita Hilo sahau.
Nimeshasoma hilo mda sana ,sio ila Jambo lililowezekana wakati fulani basi linawezekana kwa wakati mwengine.. halafu majambo yanapimwa kwa athari zake Vilevile..Msome Mfalme Faisal aliwaadhibu Marekani kwa njia ipi nyakati za mgogoro kama huu!
Nikusaidie, aliwaadhibu kwa kuwawekea vikwazo, kutoruhusu mafuta kwenda kwao.
Hao vibaraka wa 🌈 ni washenzi sana.Hongera IranKwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.
Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.
Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.
Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.
Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.
Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Ila kaka itakua habari kuhusu Saudi Arabia ilikupita.Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.
Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.
Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.
Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.
Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.
Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Brother, unatetea kitu ambacho kinawezekana kufanyika.Nimeshasoma hilo mda sana ,sio ila Jambo lililowezekana wakati fulani basi linawezekana kwa wakati mwengine.. halafu majambo yanapimwa kwa athari zake Vilevile..
Naomba uniangaze nina swali katika hili!Saudia haiitambui Israel kama ni taifa middle east.
Hii habari kaka itakua ilikuponyoka.
Hamas wanashinda???😳😳😳Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.
Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.
Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.
Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.
Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.
Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Kuna vitetesi tetesi Marekani anataka Kuigawa Hio Nchi kuwe na Israel na Palestina Chini ya Saudia, ndio maana wanatoka toka.Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.
Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.
Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.
Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.
Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.
Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Tofautisha familia ya Saudi na taifa kwanza ndio utajua usichokijua.Kwa hadhi yake mbele ya Palestina Hakukutakiwa tamko.Kilichotakiwa ni vitendo kama vya Houth
Saudi ni selfish tu, kwenye Hela mbona Wana Disagree na Marekani? Issue ya Urusi mbona wananunua Mafuta ya Urusi na Kuuza Ulaya? Mbona wanajiunga Brics? Mbona Wana trade na China?Mkuu fahamu Saudia ni kama koloni la Marekani! Hakuna cho chote ambacho Saudia inaweza kuamua bila US kukubali!
Sasa US nao wanaanza kuishauri Israel ikubaliane na Two state solution! Kwa hiyo si ajabu Saudi kuanza kujitutumua na kutoa kauri hizo!
Hamas hawezi kushinda vita jamani. Labda kujipa tu moyo . Gaza imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.dunia ilivyo sasa watu wapo very trick mzee,naamini saudi hawakuwa kimya for nothing mzee,
pengine nyuma ya panzia walijua Hamas wanashinda hii vita kabla mtu yoyote kujua sasa ndo wameanza kucheza part muhimu mbele ya hadhira...km israel wanaona kuna faida kudumisha urafiki na saudia unadhani watafanya nini!!!
mzee unatakiwa uelewe mada...hapa kinazungumziwa Hamas na Israel sio GAZA na Israel,GAZA hawana jeshiHamas hawezi kushinda vita jamani. Labda kujipa tu moyo . Gaza imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.
Mani alikwambia HAMAS wanataka Two States?Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.
Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.
Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.
Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.
Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.
Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Mkuu umetumia misamiati migumu kidogo sijakupata?Naomba uniangaze nina swali katika hili!
Kama Saudia haiitambui Israel kama taifa hapo middle east vipi ilipikwa ama walieendea sera ya kuanzisha mahusiano mema na nchi ya Israel?