Saudi Arabia imepiga waislam wa Congo kuingia macca

Saudi Arabia imepiga waislam wa Congo kuingia macca

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
616
Reaction score
853
Ama kweli maajabu hayaishi duniani

Waislam wa Congo hawatakiwi kusogeza pua zao nchi ya saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya macca
Wametoa sababu kwamba nchi hiyo INA maradhi mengi

Ushauri waarabu wangepunguza ubaguzi dhidi ya watu weusi

Watu wakiugua hukimbilia kwa Muumba/Allah kwa ajili ya uponyaji
Wenyewe wamegeuza macca sehemu ya biashara tu maskini na wagonjwa hawatakiwi?
 
Naomba nisiwe mpenzi mchangiaji kwenye hii mada
 
KUNA WATU WANAPENDA KUCHANGIA KILA KITU KUJIFANYA WAJUAJI NA KUTOA MAONI KWA KILA JAMBO WASILOLIJUA...KWA KUTUMIA AKILI ZAO TOPE...AMBAZO WAMESHINDWA HATA KUNG'AMUA KUWA MUNGU ANAZALIWAJE..?

UISLAAM KILA KITU KIPO KWENYE MAANDISHI YALIYOKA KWA MUUMBA MWENYE...WALA HATUENDI KWA MATAMANIO YA WATU AU VIONGOZI WETU...

UISLAAM KUPITIA QURAN UNATUHITAJI TUSIJIPELEKE KWENYE MADHARA WENYEWE...

ALAFU WATU KWA ISTIHZAI..."si ndio waende kwa Allah wakapewe Tiba"...NYIE NDIO WALE MNAOCHOMWA NA NDUGU ZAKE KIBETERE SIJUI KIBWEKERE...WENGINE HATA DAWA YA MBU MNAPULIZIWA...NA BADO HAMTII AKILI...MNAKUJA KUJIFANYA WAJUAJI KWENYE IBADA ZA WATU...

ALLAH NI MWINGI WA HURUMA NA HUWAONEA HURUMA WAJA WAKE...KUNAPOTOKEA DHARURA YA NOWAY OUT...KILE KILICHOHARAMISHWA KINAKUWA HALALI...

HATA KAMA MAKKA KUNGEKUWA KUNA EBOLA...WAISLAAM WASINGERUHUSIWA KWENDA KUHIJI MPAKA HAYO MARADHI YATHIBITISHWE HAKUNA MARADHI...

SIJUI VIBWENGO WENGINE WANAONGEA MAVITU GANI...UNAKUJA KUHARA HARA TU HAPA...

SIWEZI LETA QUOTES ZA QURAN AU HADITH KWA SABABU HUNA HATA SIFA YA KULETA QUOTES ZA HADITHI...

KAMA NYIE MNAMLETEA ISTIHZAI MOLA WETU...HAYA NENDENI NINYI NA MUNGU WENU MKAIONDOE EBOLA DRC...

WALE AMBAO WALIWEKA NIA YA HIJJA MAKKAH NA IKASHINDIKANA...WAKAFA KABLA YA KUFANIKISHA..ALLAH ATAWALIPA KWA NIA YAO...

HUYO NDIO MUNGU WA WAISLAAM...MUNGU WAO NI MWENYE HURUMA NA MWENYE KUWATAKIA UPOLE NA WEMA WAJA WAKE...NDIO MAANA SISI WAISLAAM(acha wale wenye majina ya kiislaam) TUNAISHI KWA KUFUATA ALICHOTUANDIKIA YEYE ALLAH...HATA IBADA ZETU ZIMEANDIKWA...HATUFANYI ZAIDI YA TULIYOANDIKIWA NA KULETEWA NA MTUME MUHAMMAD.

HAYA NYIE MNAOJIKUTA KUTIA TIA AKILI KWENYE DINI ZA WATU...HEBU NIAMBIENI MWENENDO WENU WA KUFANYA IBADA MMEANDIKIWA KWENYE VITABU GANI...MAANA MLICHOFUNDISHWA KWENYE BIBLE NA MNACHOKIFANYA HIVI SASA MAKANISANI MWENU NI TOFAUTI...

KAMA HUJUI ULIZA...SIO KILA DINI NI YA KUTIA TIA AKILI ZAKO CHAFU...
 
Ama kweli maajabu hayaishi duniani

Waislam wa Congo hawatakiwi kusogeza pua zao nchi ya saudi Arabia kwa ajili ya ibada ya macca
Wametoa sababu kwamba nchi hiyo INA maradhi mengi

Ushauri waarabu wangepunguza ubaguzi dhidi ya watu weusi

Watu wakiugua hukimbilia kwa Muumba/Allah kwa ajili ya uponyaji
Wenyewe wamegeuza macca sehemu ya biashara tu maskini na wagonjwa hawatakiwi?
Hebu unapoleta habari yoyote hapa jaribu kuwa mkweli na usiilete kishabiki.
Congo kuna Mlipuko wa Ebola
Hijja inakusanya mamilioni ya Mahujaji,
Najua unajua fika namna Ebola inavyoenea kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.
Je kwa population ile inayotarajiwa kuingia Makka, ulitaka wafanyeje,
Mbona huwa hamsikiki Nchi za Makafiri wanapozuia watu wao kutembelea Nchi Zenye sintofahamu ya Magonjwa ya Milipuko?
 
Back
Top Bottom