Mkuu unajuwa hao samaki wamelishwa nini? au wamekuzwa kwa lishe gani !! Take care ......china ina ujanja mwingi !!Kuna sato na sangara hai na waliogandishwa wanauzwa mwananyamala na Wachina. Bei yake ni poa kuliko Sato na Sangara tika Mwanza. Hao samaki ni zao la vifaranga waliochukuliwa Lake victoria kijanja na kuoteshwa kwenye bwawa kubwa huko Gwanzhu. Sera za Serikali yetu zinatoa fursa kwa wachina/wageni na kudidimiza wavuvi na viwanda vya ndani. Jadili kwa hoja. Hatua thabiti zichukuliwe haswa kuhakikisha Wachina hawa wamefuata taratibu na wanalipa kodi kuwaingiza tz.
Siku tatu zilizopita nilienda soko la samaki la Kivukoni,Dar es salaam kwa bahati nzuri nilikuwa na expert wa masuala ya samaki.Kuna samaki wengi alinikataza nisiwanunue akaniambia hao wanatoka China na wamewekewa madawa ya kuwazuia wasiharibike kwa kweli nilistushwa sana na taarifa ile ikanibidi niende eneo ambalo wavuvi huwa wanashusha samaki waliotoka kuvuliwa muda huo huo ndo nikawanunua.
Kuna sato na sangara hai na waliogandishwa wanauzwa mwananyamala na Wachina. Bei yake ni poa kuliko Sato na Sangara tika Mwanza. Hao samaki ni zao la vifaranga waliochukuliwa Lake victoria kijanja na kuoteshwa kwenye bwawa kubwa huko Gwanzhu. Sera za Serikali yetu zinatoa fursa kwa wachina/wageni na kudidimiza wavuvi na viwanda vya ndani. Jadili kwa hoja. Hatua thabiti zichukuliwe haswa kuhakikisha Wachina hawa wamefuata taratibu na wanalipa kodi kuwaingiza tz.
kama kweli hapo kodi haijalipwa. bila hivyo nchi nzima tutageuka destitutes.Kuna sato na sangara hai na waliogandishwa wanauzwa mwananyamala na Wachina. Bei yake ni poa kuliko Sato na Sangara tika Mwanza. Hao samaki ni zao la vifaranga waliochukuliwa Lake victoria kijanja na kuoteshwa kwenye bwawa kubwa huko Gwanzhu. Sera za Serikali yetu zinatoa fursa kwa wachina/wageni na kudidimiza wavuvi na viwanda vya ndani. Jadili kwa hoja. Hatua thabiti zichukuliwe haswa kuhakikisha Wachina hawa wamefuata taratibu na wanalipa kodi kuwaingiza tz.
Kuna sato na sangara hai na waliogandishwa wanauzwa mwananyamala na Wachina. Bei yake ni poa kuliko Sato na Sangara tika Mwanza. Hao samaki ni zao la vifaranga waliochukuliwa Lake victoria kijanja na kuoteshwa kwenye bwawa kubwa huko Gwanzhu. Sera za Serikali yetu zinatoa fursa kwa wachina/wageni na kudidimiza wavuvi na viwanda vya ndani. Jadili kwa hoja. Hatua thabiti zichukuliwe haswa kuhakikisha Wachina hawa wamefuata taratibu na wanalipa kodi kuwaingiza tz.
kama kweli hapo kodi haojalipwa. bila hivyo nchi nzima tutageuka destitutes.Kuna sato na sangara hai na waliogandishwa wanauzwa mwananyamala na Wachina. Bei yake ni poa kuliko Sato na Sangara tika Mwanza. Hao samaki ni zao la vifaranga waliochukuliwa Lake victoria kijanja na kuoteshwa kwenye bwawa kubwa huko Gwanzhu. Sera za Serikali yetu zinatoa fursa kwa wachina/wageni na kudidimiza wavuvi na viwanda vya ndani. Jadili kwa hoja. Hatua thabiti zichukuliwe haswa kuhakikisha Wachina hawa wamefuata taratibu na wanalipa kodi kuwaingiza tz.
Kuna sato na sangara hai na waliogandishwa wanauzwa mwananyamala na Wachina. Bei yake ni poa kuliko Sato na Sangara tika Mwanza. Hao samaki ni zao la vifaranga waliochukuliwa Lake victoria kijanja na kuoteshwa kwenye bwawa kubwa huko Gwanzhu. Sera za Serikali yetu zinatoa fursa kwa wachina/wageni na kudidimiza wavuvi na viwanda vya ndani. Jadili kwa hoja. Hatua thabiti zichukuliwe haswa kuhakikisha Wachina hawa wamefuata taratibu na wanalipa kodi kuwaingiza tz.
Hawa wachina wanatukamata sehemu moja tu, wafanya biashara wengi sana wa Tanzania wanataka super profit, kwa mfano unga wa Dona kilo kwa mchaga ni 700 hadi 800 Tsh, lakini ukienda kununua ugali mfano Bar unakuta kaugali kama ngumi kanauzwa Tsh 1500, mfano mwingine Sado moja ya viazi mbatata ni elfu 2000Tsh, lakini ukienda kununua chips sahani moja ambayo ni kama viazi viwili vikubwa unaambiwa 1500 - 2000 Tsh, sasa hapo usawa uko wapi, kwa hiyo Sado moja mtu anataka kupata faida mara kumi. Kingine ni hao hao samaki toka baharini, bahari ni yetu kila kitu chetu lakini unaambiwa samaki mmoja elfu 25 hadi 30, sasa watanzania wangapi wataweza kumudu bei kama hizi. Kingine nyama ya ng'ombe steki unakutwa inauzwa elfu 8 hadi 9, wakati ng'ombe wanafugwa humu humu ndani nchini. Sasa hivi vitu vyote ukiangalia wachina wamekuja wakalisoma soko la Tanzania na wakajua wanainchi tunataka nini, basi na wao wakafanya ubunifu wao. Kuhusu hayo madawa hata vitu vyetu vingi vya hapa nchini vina madawa tena ya kutosha tu, ukianzia yale makuku ya plastic tunayokula, haya majuice ya pakti na vingine vingi. Kwa hiyo hapa solution ni kujirabu kupunguza bei ya vitu vyetu wenyewe hapo sidhani tena kama kutakuwa na samaki au sukari toka China, ila kwa free market tulionayo tutegemee mengi tu toka China. Kitu kingine kinachosikitisha hao hao wafanyabiashara wetu wanawakandamiza sana wakulima na wafugaji, kwa mfano mtu anaenda kununua kuku Singida huko kwa Tsh 2000, lakini akifika Dar kuku huyo huyo anauza kwa elfu 15, ukiuliza nini anakwambia ni usafirishaji. Mi nakwambia hawa wachina wateleta petrol hapa lita 500 tu, unafikiri kuna mtu atahangaika na mafuta ya Puma na Panone tena. So kwa ufupi tusiumizane na kukomoana wenyewe kwa wenyewe.
Unachosema ni kweli mkuu...Ila lazima tuzingatie Ubora ili kuzuia matatizo kama Kansa n.k na Pia kuhakikisha Tunalinda Wazalishaji wa Ndani...
Kama kila kitu tutakuwa tunakula toka China sababu ni rahisi sisi tutazalisha nini? Kumbuka Makampuni makubwa ya nje yana mitaji na fedha na gharama za uzalishaji ni ndogo kwao..tukiacha yaingize kila kitu kwa kigezo cha Urahisi uchumi utakuwa taabani zaidi.