Samaki fresh sato na sangara kutoka ziwa Victoria

swtlady

Senior Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
156
Reaction score
103
Ninauza Sato na Sangara wabichi kutoka Ziwa Victoria,kwa yeyote anaehitaji jumla na rejareja .
*Bei ya Jumla Sato 9500/= per Kg na Sangara 7000/= per kg.
*Bei za rejareja Sato 10,000/= na Sangar 7500/= per Kg.
*Kuku wa kienyeji pure pia wanapatikana kwa bei ya shilingi 20,000/=
Huduma hii inapatikana Kijitonyama Dar Es Saalam na Delivery inafanyika Majumbani na Maofisini.
*Kwa anaehitaji tuwasiliane kupitia 0762108434[eView attachment 1187203View attachment 1187204moji120]
 
Sisi wa Mbagala rangi 3 tunapataje

unaniagiza Mkuu utapata mzigo wako ndani ya muda mfupi...kutokana na gharama za usafiri kwa maeneo ya nje kidogo ya mji delivery tunaanza na kilo 5.Bei ya jumla pia ni kuanzia kilo 5.Karibu sana Mkuu
 
Napokea oda za jumla na rejareja kwa yeyote anaehitaji Samaki aina ya Sato na Sangara kutoka Mwanza.Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar ( jumla na rejareja),Dodoma na Arusha (jumla tu)...Karibuni sana
 
Safi sana.
Ungetuelezea kidogo bei ikoje kwa samaki aina zote kwa kilo - Jumla na rejareja
 
Bucha nyingi Dar Sato ni 9500 retail
 
Ninauza Sato na Sangara wabichi kutoka Ziwa Victoria,kwa yeyote anaehitaji jumla na rejareja .
*Bei ya Jumla Sato 9500/= per Kg na Sangara 7000/= per kg.
*Bei za rejareja Sato 10,000/= na Sangar 7500/= per Kg.
*Kuku wa kienyeji pure pia wanapatikana kwa bei ya shilingi 20,000/=
Huduma hii inapatikana Kijitonyama Dar Es Saalam na Delivery inafanyika Majumbani na Maofisini.
*Kwa anaehitaji tuwasiliane Inbox[emoji120]

Ungeweka namba ingependeza zaidi, kuna watu bado wana prefer anonymity watu kama hao hawatapenda uwafahamu kisa wanataka kununua samaki kwako, kwa hio kuna soko utalipoteza
 
IMG_0682.JPG
 
Sawa Mkuu nashukuru kwa Ushauri...huduma hii unaweza ipata kwa haraka zaidi kupitia no.0762108434[emoji120]
 
Napokea oda za jumla na rejareja kwa yeyote anaehitaji Samaki aina ya Sato na Sangara kutoka Mwanza.Huduma hii ni kwa wakazi wa Dar ( jumla na rejareja),Dodoma na Arusha (jumla tu)...Karibuni sana
 
Sawa Mkuu nashukuru kwa Ushauri...huduma hii unaweza ipata kwa haraka zaidi kupitia no.0762108434[emoji120]

Sasa hii namba nashauri uiweke pale juu kwenye bandiko la mwanzo.
 
Back
Top Bottom