sata hakwenda Australia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sata hakwenda Australia

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Oct 26, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Rais Sata amesema ni ngumu kusafiri kwenda australia kuhudhuria mkutano wa commonwealth kwa sababu ya kazi nyingi
  badala yake amemwomba makamu wa raisi Guy Scoot kwenda badala yake
  sasa hapo ina maana Rais wetu hawezi kuwapa wengine nafasi wahudhurie mikutano?
  kwani lazima ahudhurie mikutano yote anayo alikwa?kazi zake anamwachia nani?
  hana mzigo na taifa?hizo starehe anazofata huko zitamsaidia nini?
  kwani ni yeye peke yake mtanzania?
   
 2. HT

  HT JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mvumilie tu JK, halafu uulize haya maswali siku nyingine akiwapo rais responsible!
   
 3. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Moja ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu in Kuuza Sura..
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Mkweree ameacha kuwa VASCO DAGAMA sasa amegeuka kuwa YOHANA MTEMBEZI!!
   
 5. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwacheni abembee bana!!
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ni aibu kwa taifa'kenya news paper
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  kwani jk si anasafiri mara nyingi kwa ajili ya kukimbia matatizo ya wananchi wake.
  Satta anadili na matatizo ya wananchi wake.
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Labda yeye sio mcheza kamari, sasa aende kucheza kamari Aussie ili iweje?
   
 9. M

  Marytina JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  big up SATA
   
 10. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Si tu amefikiria kuhusu wingi wa kazi, kiuchumi pia. Msafara wa rais unakuwa na kenge, mamba na mijuzi wengi, lakini wa makamu wa rais au waziri mkuu, wanakuwa wachache.

  Halafu mikutano kama hiyo haina tija kabisa they are merely talk show.
  Kama Common wealth ndiyo haina maana kabisa siku hizi maana UK imeshajifunua wazi kuwa ni Great Ally wa USA tu.
   
 11. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 280
  Asipoenda nani atabembea? Me hujiuliza kama ni goodtimes anafuata kashindwa nini kuzijenga hapa kwetu? Ufukwe upo, milima ipo, tambarare, mbuga na mengine. Zingejengwa hapa na wageni zingeleta.

  Na kama ni picha kafuata hapa si kuna kina Kanumba apige nao?
   
 12. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mwacheni Rais wetu jamani aende akatuombee vyandarua kwa ajili ya kujikinga na malaria
   
 13. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  na huku bado tuna shule full suit nyasi na ubao kipande cha bati!
   
 14. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 641
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jk kweli ni janga la kitaifa. sina swali
   
 15. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,142
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  ff anamuita et ni handsome fisadi
   
 16. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  ndugu yangu, nimeiona hii jana. nilisikitika sana kwa kweli. inaonesha jinsi "tulivyothubutu, tukaweza na kusonga mbele" kwa dhati katika miaka yetu 50 ya uhuru...
   
 17. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Unashangaa hii; mbona husemi zile za ujirani mwema ambazo angeweza kuwakilishwa na mkuu wa mkoa wa mpakani
   
 18. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kama jk anawakilisha wanaume wa pwani basi asilimia kubwa ni mabwege
   
 19. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,078
  Trophy Points: 280
  ......hana kazi nyumbani, afanye nini hapa. Bado anajifunza wajameni...
   
Loading...