Sata amwalika Rais mstaafu wa Malawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sata amwalika Rais mstaafu wa Malawi

Discussion in 'International Forum' started by rosemarie, Oct 23, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kitendo cha sata kukataa kumwalika rais wa malawi na badala yake kumwalika rais mstaafu kimeacha maswali mengi,
  President Micheal Chilufya Sata has shunned Malawi President Bingu wa Mutharika at his country’s 47th independence celebrations but extended his invitation to vice president Joyce Banda and former president Bakili Muluzi.
  “I will be honoured for your presence so that I can express my thanks for the support you rendered to me during difficult time,” he said.
  je uhusiano wa zambia na malawi utakuwaje siku za mbele?
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  mutharika alimtendea jambo lisilo la kiungwana jamaa, he (mutharika) should take a fone, ring the guy and talk
   
 3. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Sata hataki unafiki,ndio maana anamuonyesha kabisa mutharika kuwa hana mpango naye
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Alimfanyia nini mazee?
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  sata alipokuwa kinara wa upinzani alimtembelea rafiki yake malawi, mutharika aliamuru polisi imkamate sana wamchukue kwa ving'ora mpaka boarder na wakafanya hivyo. alimdhalilisha sana, it is his payback time
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,770
  Trophy Points: 280
  umesahau Akampiga PI Mshenzi yule na ndio maana alipoalikwa majuzi alimwambia rais wa malawi siwezi kuja mpaka nipate barua kuonyesha nimeruhusiwa kuingia malawi ,,akadai na waandike kwenye magazeti sata yuko free kuingia malawi atafikiria hilo nje ya hapo choko mchokonoe pweza Binadamu....Huto..........
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  serves him right! Unafiki wa nini bana!
   
Loading...