[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi alipotelea wapi?Deo Kisandu anamfaidi sana huyu mrembo
Well, niseme tu sentensi yangu haina ukweli sana kuhusu US.Matukio ya ubakaji US ni "almost non existent"?
Are you sure about that?
WhateverWith thier uchi uchi you mean!!
Well, niseme tu sentensi yangu haina ukweli sana kuhusu US.
Lakini matukio ya ubakaji hapa home Tz bado ni tatizo kubwa.
Kitu nimegundua familia nyingi zinafundisha watoto wakike au niseme wanawake "kuonea aibu miili yao"Kama matukio ya unyanyasaji wa wanawake hadharani mchana kweupe yanatokea pasipo na hatua zozote kali za kisheria kuchukuliwa, hayo ya ubakaji sitaki hata kufikiria kabisa!
Cha ajabu kuliko yote ni kuona wanawake wanaounga mkono wanawake wenzao kunyanyaswa hadharani.
Huwa sielewi kabisa.
Matukio ya ubakaji US ni "almost non existent"?
Are you sure about that?
hahaha mkuu hapo kwa askofu umeua. 'muonja asali hu......'Halafu huyo mzee aliyekujia juu alipokuona na binti yake ndie huyo huyo huwa kimbele mbele kukusanya michango ya send off ya bintiye ukitangaza ndoa. Hakuna ndoa bila kutongoza, hata askofu aliye na mke basi jua mtongozo ulihusika sana tu.
Atakuwa jela yule.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi alipotelea wapi?
Hahah jessie wa udom?Wala Hamfikii Jesca huyu!
Deo Kisandu anamfaidi sana huyu mrembo
Da!! Kumbe mkuu hadi kimombo uko vizuri.Started from the bottom now.....
HahahaDa!! Kumbe mkuu hadi kimombo uko vizuri.
Hahaha mkuu...cha kuungaunga hicho si unajua tenaDa!! Kumbe mkuu hadi kimombo uko vizuri.
Mkuu naona ile kampeni yetu ya NALIMI aende kule makao makuu ya nchi katika ile hosptali ambayo yeye ilibidi aende na tulipigana sana aende imezaa matunda.Deo Kisandu anamfaidi sana huyu mrembo
Teh tehHahaha mkuu...cha kuungaunga hicho si unajua tena
Waonyeshe mkuu, walikuwa wanasema mara hooh mkuu Joseverest anakionea kiswahili, mara hooh hajawahi replay kwa kimombo.,, uwanja wako mkuu, chafua chafuaHahaha mkuu...cha kuungaunga hicho si unajua tena