Sasha Obama....!!!

Impressive, that means you're not bound to conformity like the majority
 
Impressive, that means you're not bound to conformity like the majority
Well, you can say that....yes.

I consider myself as a rebel.

Rebel with a cause.

I'm rebelling against all fallacies promoted by wicked people and bad mind.

Social assumptions should be challenged. Because most of our basic assumptions about reality might be in an error.

Life is choices....you know.

And everyone of us has his/her choices.

I have my opinion but I can't tell people what to think.

Freedom is where I choose to live man.
 
Wazungu wanamambo Sana huwa sipati picha mzazi kuona uchi wa mwanae.
wenzetu wamestarabika. kuna movie niliona zama za 90's COMING TO AMERICA. madeko ya lisa kwa babake-sijui mzee nani huyo nilikuwa sijajua lugha za malkia, ila mzee alikuwa na hotel. alionekana kumpokea mchumba wa lisa na kuwapisha waendelee na mazungumzo. njoo sasa kwetu uswahilini, mzee wa watu akubambe na binti yake, utachezea bakora km za kifimbo cheza
 
ningekuwa mchawi ningejibadili popobawa nikale mzigo hapo wakat kamelala kajikute asubuhi bao 3 zimemwagwa
 
Halafu huyo mzee aliyekujia juu alipokuona na binti yake ndie huyo huyo huwa kimbele mbele kukusanya michango ya send off ya bintiye ukitangaza ndoa. Hakuna ndoa bila kutongoza, hata askofu aliye na mke basi jua mtongozo ulihusika sana tu.
 
hivi hawa watoto wa viongozi huwa wanagongwa na sisi walala hoi kweli.nani anajua mbinu za kuwapata tuanzie tanzania hapa hapa.
 
Nyani Ngabu Watanzania (Wana JF) tunakutuma KAZI....

Sisi wengine tutakuwa Nyuma Yako...
Na MKAKATI wa kwanza ni kwenda katika CHIMBUKO...

Tutaingia Kenya kwa ajili ya kwenda kijijini kwao (tukiongozwa na Mshana Jr) kuamsha "DUDE" kwa nia ya KUMLAINISHA, ili Kenya watuite SHEMEJI...

Nenda Kijana wetu Nyani Ngabu..Sasha anahitaji FARAJA..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Maisha na muziki....!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…