Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

Haya ni maneno yenye busara na weledi wa hali ya juu..!!!!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bomu smg, bastola. Bado yu hai! imekuwa ni Toy Story.

Kama si uongo ni nini hicho?
Kwa tuliopoteza ndugu zetu wa damu kwenye tukio analoliongela mbowe na unavyoikejeli stori hii ni insult kubwa sanaa na kuchezaa ngoma ya kikwenu juu ya makaburi ya wahanga wa matukio haya. PLEASE QUITE THE JOKE IS NOT FUNNY!!!! Unatia hasiraa na achaa mipasho this is not the laughing matter!!! Hujapendezwa na mifano yake potezea si lazima uchangie... Do you know the difference between the content and context of the massage??!! Unatotonesha vidonda wakati bado marehemu bado wabichi kabisaa....
 
Hivi vyote hivyo, yeye awe hai? inakuingia akilini? hiyo ni Toy Story. JF huwa wanasema anajitekenya mwenyewe halafu anacheka.
 
Hivi vyote hivyo, yeye awe hai? inakuingia akilini? hiyo ni Toy Story. JF huwa wanasema anajitekenya mwenyewe halafu anacheka.

Ishia hapo hapo maana naona wewe mipashooo ni speciality yako na utakesha hapo-hapo mwaka mzima... Kama hivyo vifo anavooongela ni toy story hewalaah mama.... Thanks to computer and internet u can talk shit and insult other peoples pain and suffering and live for another day to talk about it!!!!!! RAMADHAN KARIM
 
Wewe usijidai una hasira sana na kuindisha maneno, umesoma Mbowe au uanhorojoka tu. Bila internet wewe utanifanya nini? eboo, nikirudi ntakwambia, kwangu ni Lumumba na Udoe njoo kama mwanamme kweli.

Waliokufa walazwe wanapostahili lakini Mbowe asituletee Toy Story eti kapigwa na mabomu na smg na risasi, hiyo ni Toy Story kama bado yu hai.

Tena ujuwe sisi hatutishwi na kifo, tunatembea nacho, tunakipenda kifo kama vile nyinyi mnavyoyapenda maisha.
 
Kama unapenda kifo na kutembea nacho chukua kisu umchinje mwanao na akisha kufa chukua sumu ya panya unywe then kabla hujafa ndio uje ucheze ngoma kwenye kaburi la dada yangu; nitakuwa nakusuburi nikusindikize huko unakokupendaa.. Mimi si mgomvi na naheshimu sanaa watuu hata nisiowajua, but I never tolerate insult... Huwa sitishii mtuu na wala sina muda huo,
 
kukifuta cdm ni sawa kukifuta tanzania katika ramani ya dunia kitu ambacho akiwezekani.
 
Kwahiyo Mbowe hakusema hayo yaliyoripotiwa na Tanzania Daima?

Ama hufahamu maana ya "gazeti la udaku"?

Udaku ni habari zisizo za ukweli,Tanzania Daima limeripoti alichosema Mbowe.

Na pia alichosema Mbowe ni ukweli.Hivyo Mbowe naye si mdaku.

Fikiria kabla ya kubonyeza keyboard.

Mwenzenu yupo kazini anaingiza buku saba ninyi mnapoteza rasilimali nguvu kubishana naye? Huyo hastahili hata kujibiwa, anayo haki ya kupuuzwa tu.
 
vichwa vya senene hawa .akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa hata mara moja "kamanda msingwa".wapo hapa wakitumia akili ndogo,siasa siku hiz ni fact sio uwongo waliokuwa wanatumia siku zote.nawaasa waende shule ndio waje hapa JF.kama sivyo tutawaburuza sana sana hapa bila huruma.
 
Huyu jamaa hukurupuka bila kutafakari kwa kina na kuandika ----- wake kuhusu CHADEMA. Ni mtu mwenye akili nzuri sana lakini ameamua kutotumia kabisa akili yake na hivyo kuandika madudu kila uchao. Siku za nyuma alikuwa anaandika vitu ambavyo vilikuwa vinaonyesha uwezo wake katika kuchanganua mambo ila siku hizi ameamua naye kuingia katika kundi la wakurupukaji ambao huandika kwa madhumuni ya kuganga njaa.

Kwa hiyo yaliyoandikwa humo ni udaku? nlikuwa nataka kujua source ya hiyo habari... kujua kama ni tanzania daima nimefarijika sana maana ujumbe utawafikia asilimia 95 ya wasomaji wa magazeti maana ndio gazeti linaloongoza kwa kuuzwa...
 
Wakuu,

Sioni sababu ya CHADEMA kutaka kuwa CCM!

Ni kwanini CHADEMA nao wafanye yale ya CCM?

Ni kwanini wasiajili makampuni ya ulinzi yaliyo sajiliwa badala ya kuanzisha au kuimarisha kikundi chao wenyewe cha kujilinda?

Jambo lililo kosewa tangu awali ni matamshi ya Mbowe ambayo ni msimamo wa kamati kuu kuhusu kuimarishwa kwa hicho kikosi.

Nitoe wito, sheria ya vyama vya siasa ambayo imeeleza wazi kabisa kuhusu uwezo wa msajili kufuta chama cha siasa bila uamuzi wake kuhojiwa, iwe ni tahadhali kwa CHADEMA hasa katika kufanya maamuzi.
 
Bomu smg, bastola. Bado yu hai! imekuwa ni Toy Story.

Kama si uongo ni nini hicho?

Kweli unafikiri kidemu demu..wewe ndio wale hata kutoka mkae vibarazani ktk grill, lazima muombe ruhusa kwa mwanaume yeyyote aliyepo..hata katoto kadogo kenye fikra za kuchungulia wasichana rangiz ao za chupi.

Sasa km bado unaamini mwili wako kila mahali ni uchi "..Yaani km katikati yya miguu." huwei kuwa na akili timamu.Wala huweji tambu akitu..si ajabu hata ubongo wako ni uchi.
 
Bavichaa utwajuwa tu, hata ukiwatia ndani ya chupa watanyoosha kidole.
 
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...

We ndie mdaku Wa jf. Kwa akili yako ya udaku unadhani Habari isipotolewa Na Uhuru, Habari Leo Au TBC basi unadhani ni udaku. Pinda akisema wapigwe tu tumechoka ndio Habari!
 
Peeeeeeeeeeeeepooooooooooooooooopawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....Hakika mtiti huu mpaka kieleweke.
 
Back
Top Bottom