Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

Ngoma inogage, 2015 ccm itashinda kwa kuchakachua hakuna njia mbadala
 
Peoples.........Power...!!ukweli mtupu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hatutashika panga,shoka wala bunduki lakini wakija kwa karate na mchakamchaka lazima wakae,hah hah hah naona chadema imeamua kutumia nguvu kazi inayotoka JKT vizuri!!!!
 
...Kwa wanafiki kama wewe wasaliti wa nchi kwa pesa ndogo sana ni gazeti la udaku lakini kwa wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu tunajua Tanzania Daima si gazeti la udaku. Nenda kasome Uhuru na Mzalendo magazeti ya CCM yanayoandika unafiki kila kukicha.
zemaproko, kati ya gazeti la Tanzania Daima na Uhuru, lipi ni gazeti la Udaku? Gazeti linaloongelea habari ya CCM tu? Afadhari Tanzania Daima , gazeti linalopendwa na watanzania. Gazeti la uhuru hata wewe hununui? Kwa nini?
 
Mkuu nawe unanichekesha! Hujui kuwa hao jamaa bado wako kizazi cha Analogia? Wao ni mabingwa katika mipasho tuu!

habari zao zinadoda. Si nilisikia walikuwa wanatunishiana misuli walipotaka kufukuzana? Kweli magamba ni genge, hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake. Nidhamu 0.
 
Napenda sana Mh. Mbowe akiwa kwny jukwaa jamaa analitumia vizur yan mwanzo mwsho hangaiki na karatasi kama mwenyekiti wa magamba.
 
Ndio utakapogundua lile bomu alijirushia mwenyewe ili ajipigie promo


Hata Nape alisema hivyo na mjomba wako Lukuvi akatoa zawadi ya 100m/- kwa atakaye mpata mrushaji!! CCM bana wote akili zenu kama za SNAILS!!!
 
hata nape alisema hivyo na mjomba wako lukuvi akatoa zawadi ya 100m/- kwa atakaye mpata mrushaji!! Ccm bana wote akili zenu kama za snails!!!

hiviii.... Zile mil 100 bado hazijampata muhusika????
 
Back
Top Bottom