tanzania daima ni gazeti la udaku...
maskini wa mungu ulisoma lakini hukuelimika afadhari urudi kuhudumia wodi ya vichaa
tanzania daima ni gazeti la udaku...
Uongo mwingine unatia kichefu-chefu. Super hero?
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Inawwzekana kweli ni la udaku lkn kila nikicheki mtaani naona kama watu wanalinunua sana,sasa huku kununuliwa sana maana yake ni kuwa watu wanalisoma sana na wakilisoma sana naamini wanapata kitu kizito mfano hiyo hotuba ya Mbowe......nafikiri msiishie kuliita tu gazeti la udaku pia mfuatilie watu wanalipokea vp?
nakubaliana na wewe ila point yangu ni kuwa wanaposoma huo udaku hawatoki bure ila kuna kitu wanapata, mfano hiyo habari iliyoandikwa kuhusu mkutano wa mbowe huko songea hata kama umeandikwa na gazeti la udaku kama unavyoamini,huoni kwamba msomaji atakuwa keshasoma hotuba yote ya mbowe na kuona ubaya wa serikali?Magazeti ya udaku jina lake jingine ni magazeti PENDWA. Haya ndio magazeti yanayoongoza kwa kununuliwa. Watu wanapenda zaidi habari za UDAKU. Ndio maana shigongo ametajirika na Tanzania Daima linauzika.
mziki huu Kinana keshachoka kuucheza.
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Uongo mwingine unatia kichefu-chefu. Super hero?
Sawa ni la udaku lakini ilicholipoti hakina ukweli? We jamaa badilika.Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...
Uongo mwingine unatia kichefu-chefu. Super hero?