Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

Sasa vita mpya CHADEMA, CCM

Mwenzenu yupo kazini anaingiza buku saba ninyi mnapoteza rasilimali nguvu kubishana naye? Huyo hastahili hata kujibiwa, anayo haki ya kupuuzwa tu.

Naelewa hilo,lakini unafahamu athari ya uongo kurudiwa mara nyingi?

Kuna shahidi nyingi tu ambapo uongo umerudiwa mara nyingi na ukawa uweli
 
Mbowe ni kamanda Mkuu ameongea maneno yenye hekima na busara nyingi.

Hakuna maneno ya hekima wala hakuna vita yeyote mnachofanya ni kujiliwaza.
 
Mtaweweseka sana mwaka huu lakini CHADEMA ndio inazidi kupaa na hivyo kuwavutia Watanzania wengi katika kila kona ya Tanzania.

Hakuna maneno ya hekima wala hakuna vita yeyote mnachofanya ni kujiliwaza.
 
Naelewa hilo,lakini unafahamu athari ya uongo kurudiwa mara nyingi?

Kuna shahidi nyingi tu ambapo uongo umerudiwa mara nyingi na ukawa uweli

Lengo lao ni kutuondoa sisi tusijadili mambo ya msingi yanayostahili kujadiliwa na kupatiwa suluhu, wao kazi yao kubwa ni kuleta uzushi na longolongo tu. Wangekuwa na nia ya kujenga wangekuwa wanajibu hoja zinazowahusu. Tukiwapuuza watakosa cha kuandika. Usihofu kuhusu uongo wanaouandika kwani uko wazi sana na watu wanafahamu kuwa ni uongo.
 
Back
Top Bottom